Je inachukua muda gani hadi account kua banned?

Je inachukua muda gani hadi account kua banned?

Mtoa mada ame assume na mimi nimemuuliza kwa kuzungumzia reality
Kosa liko wapi? Sawa mimi kapuku haya wewe utajiri wako uko wapi
Unazungumzia reality ipi..kwamba unadhani Tanzania hakuna transaction watu wanatumiana fedha tena billions kwa billions...eti Hali ya sasahivi ..Hali Gani...toka magetoni utafute hela
 
Back
Top Bottom