Je inachukua muda gani hadi account kua banned?

Unazungumzia reality ipi..kwamba unadhani Tanzania hakuna transaction watu wanatumiana fedha tena billions kwa billions...eti Hali ya sasahivi ..Hali Gani...toka magetoni utafute hela
Hapana mkuu tusifikie huko🙏

Vp kama hauna maelezo ya kutosha unafanyaje au ni maamuzi magumu tu ya kubuy crypto coins?
 
Mpunga lazima utumwe wote kwa maramoja na sio mafungu mkuu
Hio ni pesa ndogo sana kwa nchi hii haswa kipindi hiki Cha mama Samia SULUHU HASSAN...kama ni legitimate issue una was was wa nini ..ikiingia we nenda kafanye transactions zako ukiona huwez kutoa ndio ukawaone uwape uhakikisho kua pesa zimetoka kwenye legitimate source by the way lazima kama watataka ku make sure lazima watakupigia simu
 
Unazungumzia reality ipi..kwamba unadhani Tanzania hakuna transaction watu wanatumiana fedha tena billions kwa billions...eti Hali ya sasahivi ..Hali Gani...toka magetoni utafute hela
Sawa tajiri, hope hapo ulipo una mansions za kutosha, viwanda, private jets na una miamala ya billions kwenye account. Na bado unapata muda wa kubishana humu jf
 
Nimebishana na nani kapuku mwenzangu? Wewe unadhani kila mtu ni kapuku hata kutuma mere hundred millions unaona haiwezekani ndio mana nimekuambia tutoke magetoni ili mtu akitamka milioni 100 usipate mshtuko wa moyo...
 
Unajidhalilisha dogo... Hizo hundreds million transaction ulizozoea kuzisikia na hazikupi mshituko ulizionea wapi ndugu yetu....
 
Hapana mkuu nahitaji tugawane kidogo nilichovuna nikiwa gheto kaka si kwa ubaya

Wewe kuuliza halikuwa kosa kwa sababu sio kawaida ama haijawahi kutokea kwako kupokea muamala wa ukubwa huo... Iweje yeye ambae "labda" ni kawaida kwake alete "shobo" kwa wengine...
Sawa mkuu,sasa kama hauna maelezo ya kutosha ya source ya pesa option nyingine ni ipi?
 
Sawa nitatoka ila unaweza nitumia acc number PM nikufanyie Ihsani kidogo mdogo wangu🙏🙏🙏 si kwa ubaya
Mbona umefunga pm Sasa ..

NB: na Mimi sio kwa ubaya wanaume tunatakiwa tutafute pesa sana sio jambo la kawaida ikitajwa kiwango flan unashtuka au unawaza haiwezekani, ndio mana watu wengi wakija kutafuta ushauri wanawaza kukebehiwa na kuambiwa chai mara uongo..Yan tunawaza tu utapeli..

Fungua pm Mimi Sina ego
 
Huko PM akikupa hiyo hela, na mie nigawiee.
😂😂😂😂😂
 
Mbona umefunga pm Sasa ..

NB: na Mimi sio kwa ubaya wanaume tunatakiwa tutafute pesa sana sio jambo la kawaida ikitajwa kiwango flan unashtuka au unawaza haiwezekani, ndio mana watu wengi wakija kutafuta ushauri wanawaza kukebehiwa na kuambiwa chai mara uongo..Yan tunawaza tu utapeli..

Fungua pm Mimi Sina ego
Mkuu nipe hints vp nireport kua nimepokea pesa kutoka unknown source or nibuy crptocoin za 100m tsh ? Maana sina maelezo yakujitosheleza

Zee la michongo.
 
Mbona umefunga pm Sasa ..

NB: na Mimi sio kwa ubaya wanaume tunatakiwa tutafute pesa sana sio jambo la kawaida ikitajwa kiwango flan unashtuka au unawaza haiwezekani, ndio mana watu wengi wakija kutafuta ushauri wanawaza kukebehiwa na kuambiwa chai mara uongo..Yan tunawaza tu utapeli..

Fungua pm Mimi Sina ego

Inawezekana una exposure mkuu lakini wa hivyo mpo wachache kati ya wengi nchini. Mfano mdogo tuu ukimtajia mtu mshahara anaolipwa Meneja wa Vodacom Tanzania ama CRDB ukakutana na ubishani wa nguvu wakiamini hakuna mtu anaelipwa kiwango hicho cha mshahara...

NB:TUHESHIMU MAWAZO YA KILA MTU
 
Back
Top Bottom