cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Wee mbna sioni muamala ktk acc angu, afu nimekutumia acc namba mda tu. Au huna hela wewee?Sawa mkuu
๐๐๐๐๐
Wee mbna sioni muamala ktk acc angu, afu nimekutumia acc namba mda tu. Au huna hela wewee?Sawa mkuu
Una uwezo wa kupokea kiwango chochote cha pesa hata billion ila inategemea na declaration yako uliyotoa wakati wa kufungua account kwamba una uwezo wa kuingiza kiasi gani kwa mwezi na kwa mwaka kama ni mfanyabiashara au kama ni mshahara ni kiasi gani. Kikizidi kiwango chako ulichojaza wakati wa kufungua akaunti lazima ilete hoja. Uliandika una uwezo wa kuingiza 10M kwa mwaka halafu wanakuta imeingia 100M kwa mkupuo lazima uhojiwe.Sawa mkuu
Umepokea pesa kutoka AEY Inc.Wanakuchunguza vp mkuu sijaelewa hapo
Aha ha haaaa.... Daaah nimecheka sana,Aisee hata kutoa msaada wa ushauri si ajabu wadau wanaogopa. Unasamehe 80M kabisa, we kweli zee la michongo
Nitawajib siifaham mwenyew nimeshangaa kuingiziwa pesa kama hizi๐Umepokea pesa kutoka AEY Inc.
Unasema AEY Inc hauifahamu.
Amount 100K dollars ni ngumu kuingia kwa mtu huku hamjuani.
So uchunguzi ni kuconfirm ikiwa hauifahamu AEY Inc.
Mfano unaifahamu na hata transaction unaijua.
Uchunguzi ni kuconfirm hiyo transaction siyo kwaajili ya kufund uhalifu au shughuli zingine za kinyume na sheria.
Wewe subiri za cabbage acha kua na harak๐Wee mbna sioni muamala ktk acc angu, afu nimekutumia acc namba mda tu. Au huna hela wewee?
๐๐๐๐๐
Bas sawaaWewe subiri za cabbage acha kua na harak๐
Ni kweli na hasa kama huna maelezo ya wapi ilikotoka na kwa madhumuni gani. Hii inaitwa kutakatisha fedha, kosa ambalo halina dhamana. Utaswekwa lupango hadi hapo uchunguzi utakaponesha vinginevyo.Naskia ukiwekewa pesa ndefu wanaban
Nasweka vp na nimeenda kureport mwenyew kua nimeingiziwa pesa kimakosa??Ni kweli na hasa kama sins maelezo ya wapi ilikotokans kwa madhumuni gani. Hii inaitwa kutakatisha fedha, kosa ambalo halina dhamana. Utaswekwa lupango hadi hapo uchunguzi utakaponesha vinginevyo.
Nilifikiri upo serious wakati nakujibu.Nitawajib siifaham mwenyew nimeshangaa kuingiziwa pesa kama hizi๐
Sababu?Naskia ukiwekewa pesa ndefu wanaban
๐๐๐Watu wana miradi yao mjini inawezekana ikawa inawalipa mamilioni.Upokee hela kutoka kwa nani usawa huu
Kwahiyo milion 100 acc haiwifungi?Pesa ya kutoka nje haiingiii kimakosa kama vile umetumia mpesa.
Kule pesa inapotoka kuna fomu inajazwa ikieleza hiyo pesa inaenda kufanya nini? Au lengo la kuituma pesa nini?
Pili. Pesa itaingia kwenye acc yako lakini accnt yako inauwezo wa kupokea kiasi hicho? Kama sio maana yake pesa utaina ila hutoweza kuitoa.
Hapo ndipo itabidi uwaone wahusika uwapatie maelezo pesa imetoka wapi na inakuja kufanya nini?
Usije kuwa unafadhili vikundi vya kigaidi.
NB. 100m ni pesa ndogo sana hata mkulima anaweza kuipata kwa msimu 1.
Nimetoka zangu kupokea dolla 500.
Ni pesa ndogo ila itategemea imeingia acc ya nani.Kwahiyo milion 100 acc haiwifungi?
Utatakiwa uwaambie huifahau au wairudish ilikotokaNi pesa ndogo ila itategemea imeingia acc ya nani.
Mf. Acc yako hsijawahi kupokea hata zaidi ya 5M. Unategemea nini? Hapo lazima waipaune acc yako iweze kupokea kiasi hicho cha pesa.
Katika kuipanua hapo ndipo itabidi uitolee maelezo.
Tofauti na hivyo pesa itaingia ila hutoi ng'ooo
Unachukulia mambo kiwepesi hivyo siyo? .Utatakiwa uwaambie huifahau au wairudish ilikotoka
Sasa private jet imekujaje hapo jamni ๐๐๐๐๐๐๐Sawa tajiri, hope hapo ulipo una mansions za kutosha, viwanda, private jets na una miamala ya billions kwenye account. Na bado unapata muda wa kubishana humu jf
West union hawasumbui au??Unachukulia mambo kiwepesi hivyo siyo? .
Wambie wakutumie west union. Njia nyepes
Zee la michongo linafanya collabo na Malaika wa Kifo dadeki noma hiyo ๐๐Aha ha haaaa.... Daaah nimecheka sana,
Zee la michongo ni PM tupige huo mchongo, tutatumia Account yangu