Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,203
- 79,500
Wanaconfiscate, watakuchunguza na wewe mpokeaji piaVp ukireport kua umepokea ela na hunui source yake?
Wanaconfiscate, watakuchunguza na wewe mpokeaji piaVp ukireport kua umepokea ela na hunui source yake?
Wanakuchunguza vp mkuu sijaelewa hapoWanaconfiscate, watakuchunguza na wewe mpokeaji pia
nazionea huko mitaani kwa watu wafanya biashara na pia benki nimeshawahi kufanya kazi benki ..Kuna mwamba alishawai kuja ku withdraw milioni 900 kwaio unatakiwa kupata exposure na outside world ....hujawahi kujiuliza kwanini vijana asilimia kubwa wanamchukia chief godlove hata kama ni anaonekana tapeli.. sababu hua tukiambiws ukweli tunajua WAKALI na kuonekana tunatafuta shoboUnajidhalilisha dogo... Hizo hundreds million transaction ulizozoea kuzisikia na hazikupi mshituko ulizionea wapi ndugu yetu....
Kwani mkuu hizo pesa zimekuja bila wewe kujua ama unajua zimetoka wapi..tuanzie hapa kwanza ili nijue Cha kukushauri mana mim nshafanya kazi benki hizi ishu zilikua zinatokea sometimes..Mkuu nipe hints vp nireport kua nimepokea pesa kutoka unknown source or nibuy crptocoin za 100m tsh ? Maana sina maelezo yakujitosheleza
Zee la michongo.
Najua zinakotoka mkuu ni USAKwani mkuu hizo pesa zimekuja bila wewe kujua ama unajua zimetoka wapi..tuanzie hapa kwanza ili nijue Cha kukushauri mana mim nshafanya kazi benki hizi ishu zilikua zinatokea sometimes..
Karibu tu ndugu.Najua zinakotoka mkuu ni USA
Tunaweza kuongea zaid pm
Umefunga pmKaribu tu ndugu.
Umefunga pm
Sorry for that ...Karibu muda huu,Umefunga pm
Done✅Sorry for that ...Karibu muda huu,
Zinakuwa si zakoZimeingia kimakosa mi sijui zimetoka wapi
Coz lazima nikareport
Hicho ndio wanakitaka. Na hazitakuwa pesa zako.Vp ukireport kua umepokea ela na hunui source yake?
Watafanyanye mkuu watazichukua wao au?Hicho ndio wanakitaka. Na hazitakuwa pesa zako.
Kaka unajua zinakotoka haina shida ila itabidi maelezo kwanini akutumie hizo pesa zote. Kukiwa na sababu za msingi hakuna shidaNajua zinakotoka mkuu ni USA
Tunaweza kuongea zaid pm
Watachukua wenye nchi.Watafanyanye mkuu watazichukua wao au?
Dah inauma sana😁 na hata ya soda hawakupiWatachukua wenye nchi.
Hulambi hata miaDah inauma sana😁 na hata ya soda hawakupi
Akili ya ziada yafaa kutumikaHulambi hata mia
Maelezo yako tu yanyookeAkili ya ziada yafaa kutumika
Sawa mkuuMaelezo yako tu yanyooke