Je, inakubalika kuomba kazi tena utumishi wakati nipo kweme tasisi ya serikali kwa mwaka mmoja wa matazamio (probation)?

Jibu ni ndio unaweza.....maombi yako ya kazi yapitie kwa mwajiri wako
 
Inawezekana ku apply kazi tena utumishi na huku nipo kwene tasisi ya serikali ndani ya mwaka wa kwanza wa matazamio (probation)
Kwani ajira za utumishi zina Probation sio ukishapatiwa barua ni kuanza tu kazi
 
Nadhani huelewi maana ya probation,kuanza kazi haina maana hakuna probation mkuu,hiki ni kipindi cha matazamio taasisi zingine zinafanya miezi 6 na kwingine mwaka huko huko serikalini ukimaliza hicho kipindi unapewa barua ya kuthibitishwa kazini,serikalini wanafanya hivyo mkuu
 
Kweli kabisa
 
Wengii wanadhani ukianza serikalini ndo umeanza😂😂😂😂..... Hadi upate confirmation letter ndo rasmi yan
 
Tena waambie baada ya PP kuisha km Mwajiri wako hajaridhika na Utendaji wako, anakurudisha UTUMISHI wakupeleke watakapoona panafaa!
 
Duu mkuu sio Baki hapohapo mpaka upate Confirmation maana huku wahitimu Nafasi mojaa tunaenda Mia. Komaa tuu ukipata confirmation ufanye Uhamisho hata Kwa kuonga
 
Back
Top Bottom