Je inakupa tafsiri gani makamu wa rais wawili wanajiuzulu ndani ya miaka miwili ?!

Ndio kujiuzulu huko.
Aliandika barua mapema akaomba amalizie mpaka uchaguzi.
Kimsingi alijiuzuli mapema.
Me naona kama yule alimaliza muda wake kama ilivokua kwa Kassimu majaliwa
 
Me naona kama yule alimaliza muda wake kama ilivokua kwa Kassimu majaliwa
Hapana mkuu.
Aliomba kujiuzulu kabla muda wake haujaisha.
Ingekuwa hivyo unavyoona kama asingeandika barua ya kuomba kupumzika.
 
Inanipa tafsiri kazi iyendelee
CCM mbere kwa mbere
 
Yule bibi,hata mume wake hajulikani aliko,alishakimbia na kuoa mke mwingine!
Ni mtu aliyeshindikana na wanaume na wanawake
Ohoooh! Hii ni hatari na nusu. Au kale kajamaa kanakotabasamu muda wote ndiyo kamejimilikisha jimbo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…