Unakaribia 40 na bado una utahira kiasi hiki. Kila siku tunaambiwa humu, tunasema humu, kila siku wanaume tunakumbushana humu kuhusu single mothers ila watu HAMUELEWI, akili hamna. Mnapagawa na sura na matako.
Mkuu, mbegu zako mwanaume ni nguvu zako, kuzaa hovyo ni kujitafutia stress huko mbeleni, kwa sasa unaona kawaida ila subiri muda ufike utajionea, hujawahi kufanya hata tafiti za wanaume wanaozaa hovyo ukaa nao kisha wakakuambia?
Sorry kwa maneno yangu kama yamekukera ila sina la kukushauri zaidi ya kuacha dunia ikufundishe kwa upumbavu huu ulijikusudia kabisa kuufanya.
Kila siku humu ndani single mother single motherrrr