0653400400
Senior Member
- May 13, 2018
- 124
- 38
Wewe unasemaje yupo au hayupo.Mtu anakwambia Mungu yupo. Kwa sababu watu wote wanazaliwa na viungo sawa.
Wakati hajui kwamba kuna watu wanazaliwa bila mikono.
Ukimwambia kwa msingi huo, Mungu hayupo.
Kwa sababu kuna watu wanazaliwa bila mikono.
Hataki hata kukubali kwamba kakosea.
Ubishi tu.
Mungu anayesemwa kuwa muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote, aliyeumba ulimwengu, hayupi. Ninhadithi tu. Ni dhana.Wewe unasemaje yupo au hayupo.
Binadamu asili yao ni wapi? hujajibu hili swali ! Unarukaruka tu.Matendo yote unayisema yanaonesha Mungu yupo, unasema hivyo kwa sababu hujayachambua kwa undani.
Umesema Mungu yupo kwa sababu watu wote wanazaliwa na viungo sawa.
Nikakwambia kama watu wote kuzaliwa na viungo sawa kunaonesha Mungu yupo, basi Mungu hayupo.
Kwa sababu kuna watu wanazaliwa bila viungo.
Unakubali hilo?
Ukiuliza watu wanatoka wapi, kama vyote vilivyopo ni lazima viwe na chanzo kwenye kingine, nimekuuliza Mungu naye katoka wapi?
Hujajibu.
Hujibu maswali yangu.
Hukubali pale ambapo unakosea wazi kabisa.
Unalazimisha hoja.
Kwa sababu huyo Mungu unayemsema yupo, hayupo.
Nikikwambia sijui, hilo halithibitishi Mungu yupo.Binadamu asili yao ni wapi? hujajibu hili swali ! Unarukaruka tu.
Kwanini hujui?Nikikwambia sijui, hilo halithibitishi Mungu yupo.
Zaidi, linaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendobwote hayupo. Angekuwepo asingetuachia maswali ambayo majibu yake hatuna.
Na wewe huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha watu asili yao ni Mungu.
Na zaidi, ukishikilia habari ya kwamba kila kilichopo kina asiki yake kwenye kingine, nitakuuliza, Mungu wako asili yake ni wapi?
Mungu wako asili yake wapi?
Unaweza kujibu?
Naweza kukuthibitishia kama Mungu yupo.Na wewe huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo.
Nishawahi kutoa pepo mwenye jina lako wakati nko o leveleti Mungu!
Asili yake nikusikojulikana.Mungu wako asili yake wapi?
Unaweza kujibu?
Kwa sababu sina habari kamili za kunifanya nijue.Kwanini hujui?
Kwa sababu hajatenda memaSasa mbona mtu akitenda dhambi Mungu anamhukumu?
Kama huna habari za Mungu kwanini usitulie ukaelekezwa?Kwa sababu sina habari kamili za kunifanya nijue.
Wapi nimesema sina habari za Mungu? Unajua kusoma wewe?Kama huna habari za Mungu kwanini usitulie ukaelekezwa?
Asili ya dhambi ni wapi?Kwa sababu hajatenda mema
EdeniAsili ya dhambi ni wapi?
NawezaUnaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Thibitisha Mungu yupo.Naweza
Unaamini kila kitu ni mpango wa Mungu?Edeni
Weka picha yako hapa ni kuthibitishie Mungu yupo.Thibitisha Mungu yupo.
Nikishindwa kuweka picha yangu hapa huwezi kuthibitisha Mungu wako yupo?Weka picha yako hapa ni kuthibitishie Mungu yupo.
Kila kitu ni mpango wa Mungu ila kwa sababu binadamu tumeumbwa na akili nyingi mpaka inasababisha wakati Mwingine binadamu anakuwa na mipango yake binafsi hivyo anachelewesha aua kughailisha kabisa kusudi la MunguUnaamini kila kitu ni mpango wa Mungu?