blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
- Thread starter
- #461
Viungo hujui bado tena unaniuliza? Utaelewa kweli?Viungo ni nini kwani?
Unakubali, unakataa, unakubali, unakataa kwamba kuna watu wanazaliwabila viungo fulani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viungo hujui bado tena unaniuliza? Utaelewa kweli?Viungo ni nini kwani?
Unakubali, unakataa, unakubali, unakataa kwamba kuna watu wanazaliwabila viungo fulani?
Kukuuliza wewe maana yake sikwamba sijui, maana yake nataka wewe uniambie unavyojua wewe ili tujadiliane sawa.Viungo hujui bado tena unaniuliza? Utaelewa kweli?
Kama umeamua kutoamini kupitia unayoyaona na kukuzunguka bila kuleta kicho ndani yakoHujathibitisha Mungu yupo. Hujaeleza kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambaomabaya yanawezekana.
Huwezi kuthibitisha kwamba Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote yupo.Kama umeamua kutoamini kupitia unayoyaona na kukuzunguka bila kuleta kicho ndani yako
Hata Mungu ashuke utamuona kama alien aliyekuja kutusabahi viumbe wake.
Hivyo usijisumbue kudai Uthibitisho kutoka kwa Mtu kama mimi_'sahau'.
Na nishakueleza kwamba uumbaji unaendelea
Kama ungekua umeisha vilema wa maswali ya Ajabu ajabu juu ya Muumba wasingekuwepo
Raha kama hii ya kutype ningeipata wapi na kufanya hili ninalofanya..!?
Swali lenye sehemu A na BHuwezi kuthibitisha kwamba Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote yupo.
Kwa sababu hayupo.
Hapo mwishoni ni wachache watakokuelewa,lakini umenena vemaImani Yangu Ni Kwamba Mungu ametengeneza kanuni (Principles) Hapa Dunia,...
Kama unaposema (Water is made up of two hydrogen atoms and one oxygen atom) kwa ndo upate maji lazima hii kanuni ifuatwe
Hivi kuna principles nyingi zipo,..
_kama hujui kuendesha gari sio ngumu ww kupata ajali
_ngono zembe na mtu aliyeathirika inaweza kusababisha ww pia kuathirika
_kula vyakula ovyo na lifestyle mbaya inaweza kusababisha magonjwa mengi
Basi Maisha yetu yanafuata hizi kanuni kwamba kama upo hai leo jua ww ni zao la mwanamke na mwanaume,...
Mungu haendi nje ya izi kanuni,...''what others see as work of miracles are just principles of physics and mathematics" huu ni msemo wa mwana sayansi NIKOLA TESLA
Basi ata ukiwafufua wazee wa zamani wakaona the technological advancement wanaweza sema ni miujiza kumbe ni kanuni za hesabu na fisikia tu...
Nafikiri 'Ni Mpango Wa Mungu' ni statement rahisi yakusema 'Sijui kuelezea kilichotokea'
'Mungu amempenda zaidi' ni statement nyingine ya kusema aliyekufa amechukulia na mipango ya Mungu na kwa mara nyingi kifo ni sababu ya uvujanji kanuni hizi (Old age, diseases, accidents and so forth)
'Lets ask ourselves hard questions like why life span in US is at 70 and here at home is at 45'
Hujathibitisha Mungu yupo, thibitisha au sema huwezi kuthibitisha kabla ya kuniuliza mimi swali.Swali lenye sehemu A na B
Toka umezaliwa mpaka umepata umri huo ulio nao
Umewahi kuona Mtu anayeweza yote.?
Au labda wewe mwenyewe kuhisi unaweza yote.?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?Imani Yangu Ni Kwamba Mungu ametengeneza kanuni (Principles) Hapa Dunia,...
Kama unaposema (Water is made up of two hydrogen atoms and one oxygen atom) kwa ndo upate maji lazima hii kanuni ifuatwe
Hivi kuna principles nyingi zipo,..
_kama hujui kuendesha gari sio ngumu ww kupata ajali
_ngono zembe na mtu aliyeathirika inaweza kusababisha ww pia kuathirika
_kula vyakula ovyo na lifestyle mbaya inaweza kusababisha magonjwa mengi
Basi Maisha yetu yanafuata hizi kanuni kwamba kama upo hai leo jua ww ni zao la mwanamke na mwanaume,...
Mungu haendi nje ya izi kanuni,...''what others see as work of miracles are just principles of physics and mathematics" huu ni msemo wa mwana sayansi NIKOLA TESLA
Basi ata ukiwafufua wazee wa zamani wakaona the technological advancement wanaweza sema ni miujiza kumbe ni kanuni za hesabu na fisikia tu...
Nafikiri 'Ni Mpango Wa Mungu' ni statement rahisi yakusema 'Sijui kuelezea kilichotokea'
'Mungu amempenda zaidi' ni statement nyingine ya kusema aliyekufa amechukulia na mipango ya Mungu na kwa mara nyingi kifo ni sababu ya uvujanji kanuni hizi (Old age, diseases, accidents and so forth)
'Lets ask ourselves hard questions like why life span in US is at 70 and here at home is at 45'
Nilishakuambia Uthibitisho unapatikana kupitia vinavyooneka tena vilivyokuzungukaHujathibitisha Mungu yupo, thibitisha au semahuwezikuthibitisha kabla ya kuniuliza mimi swali.
Nimekuuliza swali unaniuliza mimikabla ya kunijibu?
Mimi nawezakukujibu kwa kukuambiahakuna mtu wala Mungu anayeweza yote, ndiyo maana kusema Mungu huyoyupo ni uongo.
Vinavyoionekana na kunizunguka ni magonjwa, vita, njaa, shida, majonzi, kifo.Nilishakuambia Uthibitisho unapatikana kupitia vinavyooneka tena vilivyokuzunguka
Kama huoni huo Uthibitisho Tatizo ni lako si langu
Na mimi nimekuuliza habari ya mtu au wewe mwenyewe sio Mungu
Usijisafirishe kabla sijakupa lift sawa.
Neno "hakika" maana yake bila shaka,kweli. Hivyo ukisema kwamba kuamini ni kutokuwa na hakika,maana yake una mashaka,na kuona hilo jambo si kweli.1. Kuaminimaana yake ni kutokuwa na hakikakama jambonikweli, halafu ukalikubali tu bila hakika.
2. Ukisemaunaamini maana yake umekubali jambo bila kuwa na hakika kwamba ni kweli
3. Ukisema unaamini ni kweli, huelewi kuamini ni nini wala kweli ni nini. Nikama umesema "sinahakika kama ni kweli, nakubali tu bila hakika kwamba nikweli, lakini, nina hakika ni kweli". Unaji contradict mwenyewe.
Maana yake nina mashaka kwamba kuamini ni kutokuwa na hakika au maana yake kuamini ni kuwa na mashaka na kutokuwa na hakika?Neno "hakika" maana yake bila shaka,kweli. Hivyo ukisema kwamba kuamini ni kutokuwa na hakika,maana yake una mashaka,na kuona hilo jambo si kweli.
Sasa sijui nani anajichanganya kati ya mimi na wewe?
Hebu liweke vizuri hili swali lako nilielewe ili niweze kukujibu.Maana yake nina mashaka kwamba kuamini ni kutokuwa na hakika au maana yake kuamini ni kuwa na mashaka na kutokuwa na hakika?
Imani maana yake nini?Hebu liweke vizuri hili swali lako nilielewe ili niweze kukujibu.
Wanazaliwa na nani na kwanini wazaliwe?Unaelewa kwamba kuna watu wanazaliwa bila mikono?
Wanazaliwa na nani na kwanini wazaliwe?
Mkuu tupo hapa kujifunza si kwamba majibu yako sija kujibu! Sote tujifunze kwaupole na utaratibu hatushindani. Maswali yangu yana lenga mwanadamu katoka wapi kwanza kabla ya hao vilema kuzaliwa, umenijibu hao vilema wamezaliwa na wazazi wao baada yakukutana kwenye tendo la ndoa! Jibu safi kabisa. Je unakubali dunia ilianza na watu wawili mwanaume na mwanamke kupitia kwao watu waliongezeka kupitia tendo la ndoa?Mbona hunijibu swali langu unataka mimi nikujibu wewe tu?
Tukiendelea hivyo, tutashindwa kujadiliana. Mimi sitaki niwe nakujibu wewe tu wakati wewe hutaki kujibu mswali yangu.
Wanazaliwa na mama zao (hili nishajibu, unarudia kuuliza vile vile tu, kwa nini?) kwa sababu baba zao na mama zao wamekutana kimwili.
Umekubali kwamba hoja kwamba watu wote wanazaliwa na viungo sawa ni potofu?
Umekubali kwamba kutumia hoja kwamba watu wote wanazaliwa na viungo sawa kuonesha Mungu yupo, kumetuonesha kwamba Mungu hayupo, kwa sababu watu wote hawazaliwi na viungo sawa, kuna wengine wanazaliwa bila mikono?
Unakubali kwamba hii hoja ya watu wanavyozaliwa na viungo inaonesha Mungu hayupo?
Sasa unapokata kunijibu maswali yangu, tutajifunza vipi?Mkuu tupo hapa kujifunza si kwamba majibu yako sija kujibu! Sote tujifunze kwaupole na utaratibu hatushindani. Maswali yangu yana lenga mwanadamu katoka wapi kwanza kabla ya hao vilema kuzaliwa, umenijibu hao vilema wamezaliwa na wazazi wao baada yakukutana kwenye tendo la ndoa! Jibu safi kabisa. Je unakubali dunia ilianza na watu wawili mwanaume na mwanamke kupitia kwao watu waliongezeka kupitia tendo la ndoa?
Mkuu punguza mwemko! Hatugombani, sema wewe asili ya binadamu ni wapi?Sasa unapokata kunijibu maswali yangu, tutajifunza vipi?
Kama mimi nina cha kujifunza kutoka kwako, na wewe hujibu maswali yangu, nitajifunza vipi?
Dunia ilianza na watu wawili? Unaelewa kwamba kisayansi na kidini dunia ilikuwepo kabla ya watu?
Unaposema dunia ilianza na watu wawili umejuaje hilo? Una uhakika gani? Una ushahidi gani? Mtu ni nani?
Kama unashikilia sana habari ya mwanzo wa vyote, na unasisitiza kila kitu kina mwanzo, Mungu alianzaje?
Ndio maana yakeKwahiyo kila kitu ni mpango wa Mungu?