Mjadala si kuhusu mimi. Mimi nikishukuru au nisiposhukuru si muhimu. Mimi ni mtu mmoja tu.
Mjadala wa muhimu kabisa ni kuhusu kuwapo kwa Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na uoendo wote.
Kama yupo, na unatumia usawa wa viungo vya watu kama uthibitisho kwamba yupo, huoni kwamba wanaozaliwa vilema wanaonesha hayupo?
Kwa nini Mungu mjuzibwa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote aumbe ulimwengu ambao watu wengine wanazaliwa wazima, wengine wanazaliwa vilema?
Mungu gani wa uoendeleo hivyo?
Alishindwa kufanya watu wote wazaliwe bila vilema?