hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
basi"" usikubali kirahisi rahisi tu " unapoambiwa kuwa binaadamu ana free will""...Kuna matendo ya mazingirà ambayo huwezi kuzuia hill Ni mojawapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi"" usikubali kirahisi rahisi tu " unapoambiwa kuwa binaadamu ana free will""...Kuna matendo ya mazingirà ambayo huwezi kuzuia hill Ni mojawapo
Free will ni hadithi tu, watu waliousoma ubongo unavyofanya kazi na wanafalsafa washaandika sana kuhusu hii habari.Kuna matendo ya mazingirà ambayo huwezi kuzuia hill Ni mojawapo
Unatafsiri VP freewillbasi"" usikubali kirahisi rahisi tu " unapoambiwa kuwa binaadamu ana free will""...
Dah! Sasa mkuu hujui vilivyomo kwenye dunia hii hujui viliko toka, pia wewe mwenyewe hujui ulipo toka!! Eti! Unataka kujua Mungu kama yupo, vitu vidogo tu hivi vina kuchemsha vikubwa utaviwezea wapi!!?Nikikwambia sijui,hilohalithibitishi Mungu yupo,linathibitisha sijui asili ya vote nivionavyo.
Na ukishikilia sana kwamba kila kilichopo kina asiliyake,utajifunga mwenyewe kwa sheria yakohiyo, kwa maana kwamba sheria yakohiyo itatuambia huyo unayemuita Mungu naye ana asili yake tofauti na yeye mwenyewe, na kwa sababu hiyo, siMungu.
Kwa kifupi, maswali ya "kitu fulani asili yake nini?" yakiwa na kusudi la kuonesha Mungu yupo, bila kuelewa, yanaonesha Mungu hayupo.
Ni kutoweza kufikiri nje ya box alilolelewandani yake tangu mtoto.hahaha anshindwa kujiuliza mswali madogo kama hayo "" ama hakika sijui ana matatizo gani ""!?
Wewe huwezi kuandika ya kwako?Free will ni hadithi tu, watu waliousoma ubongo unavyofanya kazi na wanafalsafa washaandika sana kuhusu hii habari.
Tataizo hatufuatilii haya mambo.
Sasa hapa naweza kutoa link ya article inayoelezea hili, kwa Kingereza, halafu watu ninaobishana naowengi Kiingereza cha manati au hata kama wanajua kusoma kituo cha polisi.
Nam challenge mtu anayetaka kubishana kimantiki kuhusu article hii ya Scientific American kuhusu freewill.
Linkhiyo hapo chini.
c hearly
Is Free Will an Illusion?
Mtu yeyote kutokujua jibu la swali lolote analoweza kujiuliza au kuulizwa ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendowote hayupo.Dah! Sasa mkuu hujui vilivyomo kwenye dunia hii hujui viliko toka, pia wewe mwenyewe hujui ulipo toka!! Eti! Unataka kujua Mungu kama yupo, vitu vidogo tu hivi vina kuchemsha vikubwa utaviwezea wapi!!?
Wewe huwezi kutumia internet ya kwako ya kugundua mwenyewe na kuandika kwa alphabet yako?Wewe huwezi kuandika ya kwako?
Mushi92 ....majibu ya swali lako nadhani uneshayapata ....""Free will ni hadithi tu, watu waliousoma ubongo unavyofanya kazi na wanafalsafa washaandika sana kuhusu hii habari.
Tataizo hatufuatilii haya mambo.
Sasa hapa naweza kutoa link ya article inayoelezea hili, kwa Kingereza, halafu watu ninaobishana naowengi Kiingereza cha manati au hata kama wanajua kusoma kituo cha polisi.
Nam challenge mtu anayetaka kubishana kimantiki kuhusu article hii ya Scientific American kuhusu freewill.
Linkhiyo hapo chini.
c hearly
Is Free Will an Illusion?
Mkuu wewe bado uko "gizani" mno.... anyways, wacha nikuache na hilo giza lako, labda ipo siku utautafuta "mwanga" na siku ukiutafuta hakika utauona.duuuuhhh"" hahahaaa "" uwongo mwingine bwana ""... eti kageuzwa ng'ombe "" .... mbona kule sumbawanga kuna story za watu kibao kujigeuza simba"",, je unawazungumziaje na hao "" watakuwa na nasaba ya u mungu ""!?
kwani wewe "" hizo si labi "" unazozitumia ni zakwako ""..! ?Wewe huwezi kuandika ya kwako?
Mtu yeyote kutokujua jibu la swali lolote analoweza kujiuliza au kuulizwa ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendowote hayupo.
Angekuwepo, asingekuwa mkatili hivyo wa kumpa mtu swali ambalo jibu lake hana.
Angempa kila mtu majibu ya maswali yote anayoweza kujiuliza.
Mtu kuweza kupata swali ambalohana jibu, ni ishara kwamba Mungu huyo hayupo.
Si ishara kwamba Mungu huyo yupo.Kwa sababu Mungu huyo wa upendo hana asili ya uchoyo awanyime viumbe wake majibu ya maswali yao.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo? Hujathibitisha.
Kafiri mkuu hiki ni cheo nilicho kupa! Hapa kidogo umechemka, kutokujua jibu la swali haimaanishi kuwa jibu lake halipo.
Wakatimwengine hoja zako hua naziogopa hata kuzisom.
Sasa tatizo lipo wapi mtu kusema anachokiamini ni kweli?Si hakika lina maana si ujuzi, ni kisio.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Kukwita Kafiri sio dharau, KAFIRI maana yake ni mpigaji/mkanushaji. Nilivyokuelewa wewe unapinga/kanusha uwwpp wa Mungu.Mtu mmoja kumuita mwingine kafiri pia ni ishara Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendowote hayupo.
Angekuwepo, angeumba duniayenye upendo tu na hakuna kiumbe wake anayeweza kumuita mwingine kafiri kwa dharau.
Zaidi.
Hata hoja niliyoieleza hujaielewa.
Siajandika kwamba kutokujua jibu la swali inamaanisha jibu lake halipo.
Unachopinga si nilichoandika, na nilichoandika hujakielewa.
Hebu rudia kusoma.
haya maneno "mbona " naona kama unajiambia mwenyewe ""...!!?Mkuu wewe bado uko "gizani" mno.... anyways, wacha nikuache na hilo giza lako, labda ipo siku utautafuta "mwanga" na siku ukiutafuta hakika utauona.
ha haha hahaWewe huwezi kutumia internet ya kwako ya kugundua mwenyewe na kuandika kwa alphabet yako?
Ni thibitishe vipi wakati Mungu upo nae hapo ulipo!!?Mtu yeyote kutokujua jibu la swali lolote analoweza kujiuliza au kuulizwa ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendowote hayupo.
Angekuwepo, asingekuwa mkatili hivyo wa kumpa mtu swali ambalo jibu lake hana.
Angempa kila mtu majibu ya maswali yote anayoweza kujiuliza.
Mtu kuweza kupata swali ambalohana jibu, ni ishara kwamba Mungu huyo hayupo.
Si ishara kwamba Mungu huyo yupo.Kwa sababu Mungu huyo wa upendo hana asili ya uchoyo awanyime viumbe wake majibu ya maswali yao.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo? Hujathibitisha.
Kama anaweza kuthibitisha, hakuna tatizo.Sasa tatizo lipo wapi mtu kusema anachokiamini ni kweli?