Je, inawezekana kufanya mtihani wa Biology A level kama private candidate ili kupata credit ya kusomea medicine?

Surveyor_1

Member
Joined
Jan 2, 2022
Posts
58
Reaction score
52
Habari wana JF, natumai muwazima.

Nina jambo limenitatiza naomba ufafanuzi.

Swali ni kuwa, kwa mtu ambae A level alisomaga PCM na akafaulu vizuri,je inawezekana kama akihitaji kusomea medicine akafanya mtihani wa Biology A level ili kupata credit (kwa kuzingatia anahitaji mchepuo wa PCB kwa ajili ya madomo ya udaktari)
 
Possible kabisa hiyo.
 
inawezekana kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…