Tanzania for Majority
Member
- May 28, 2025
- 15
- 36
Habari Wana JamiiForums, The home of great thinkers.
Moja kwa moja niende kwenye mada. Kuna dogo yeye anasoma chuo fulani Cha diploma kozi ya diagnostic radiography cha private. Sasa kutokana na kile chuo kutokuwa na facilities za kutosha anahitaji kuhama kwenda vyuo vingine vya serikali maana hichi ada yake ni kubwa sana almost 2.6M.
Sasa nauliza kama inawezekana kuhama kutoka chuo kilipo under NACTVET kwenda vyuo vingine vilivyo chini ya TCU, kama Muhimbili, Bugando na Benjamin Mkapa. Yaani akishamaliza mwaka wa kwanza, mwaka wa pili ndo akaanzie huko.
Je, kama inawezekana, process zake za kuhamia ni zipi?