We umenielewa vizuri,kwa Tanzania diploma ya radiology ilikuwa inatolewa muhimbili na Bugando ambavyo vipo chini ya TCU,lakini mwaka huu Yan 2024/2025 ndo kwa mara ya kwanza NACTVET wame offer radiology kwenye colleges zake,na ukiachana na Benjamin hakuna chuo Chochote Cha serikali kinachofundisha radiology ukiachana na hivyo vilivyo under TCU,.Sasa tatizo ni kuhama kwenda hivyo vyuo, maana hicho chuo chake hakuna facilities kabsa,hakina ultrasound Wala x ray machine for practical,Yani Wana learn more theoretically, kwahiyo mwenye yuko na experience anieleweshe?