Aende Mbeya itamfaa japo ndo wameanzisha mwaka huu ila uzuri wa pale ni atafanyia mazoezi Rufaa so inakupa urahisi wa kulearn kitu.We umenielewa vizuri,kwa Tanzania diploma ya radiology ilikuwa inatolewa muhimbili na Bugando ambavyo vipo chini ya TCU,lakini mwaka huu Yan 2024/2025 ndo kwa mara ya kwanza NACTVET wame offer radiology kwenye colleges zake,na ukiachana na Benjamin hakuna chuo Chochote Cha serikali kinachofundisha radiology ukiachana na hivyo vilivyo under TCU,.Sasa tatizo ni kuhama kwenda hivyo vyuo, maana hicho chuo chake hakuna facilities kabsa,hakina ultrasound Wala x ray machine for practical,Yani Wana learn more theoretically, kwahiyo mwenye yuko na experience anieleweshe?
Hakuna degree iliyochini ya nactvet utakua unachanganya mambo kijana kajifunze zaidiMkuu nahisi unaubishi sana, Degree za. Taasisi zote zipo chini ya NACTVET wao wanaziita Level 8
Haiwezekani ndo jibu sahihi. Labdakajisajili upyaMnaosema mifumo tofauti mnaangalia registration portal au mnaangalia protocol za uhamisho. Maana kuna vyuo vikuu vinatoa hadi Masters na bado havijasajiliwa TCU vipo NACTVET.
Hakuna degree iliyochini ya nactvet utakua unachanganya mambo kijana kajifunze zaidi
Kama DIT, au NIT zipo under TCU basi nakubaliana nawewe ila kama hazipo basi kubali hoja zangu, Na mwisho unaelewa nino kuhusu NACTVET!??Hakuna degree iliyochini ya nactvet utakua unachanganya mambo kijana kajifunze zaidi
mkuu mbona kama uelewi nmekuambia hakuna kozi ya digrii iliyochini ya NACTVET Kwa hapa Tanzania hakunaKama DIT, au NIT zipo under TCU basi nakubaliana nawewe ila kama hazipo basi kubali hoja zangu, Na mwisho unaelewa nino kuhusu NACTVET!??
Shida una ujuaji usio na maana mkuu yaan Chuo hakihusiki nachochote kile hakifanyi regulation yoyote ile kwako useme haya endelea na Ujuaji mzeemkuu mbona kama uelewi nmekuambia hakuna kozi ya digrii iliyochini ya NACTVET Kwa hapa Tanzania hakuna
Sna ujuaji wowote kozi zote za degree zipo kwenye TCU guidebook nawao ndo wanaosimamia Haijalishi inatolewa na chuo Gani, lkn kama Kuna kozi ya degree IPO chini ya NACTVET nipe ushahidi sio kuongea bila uthibitisho.Shida una ujuaji usio na maana mkuu yaan Chuo hakihusiki nachochote kile hakifanyi regulation yoyote ile kwako useme haya endelea na Ujuaji mzee