🤣🤣 Mkuu kweli ya ex wako au ni yakwako tu,,maliza deni bhana wakikufuma wenyewe utakuwa wa mfanoKuna simu alikuwa anaitumia X girlfriend wangu. Baada ya kuachana kanirudishia simu. Aliniomba laki 3½ anunue simu.
Baada ya kuachana jana kanipigia simu nataka kuonana na wewe. Nikaruhusu tuonane naye bar jirani na kwake.
Baada ya maongezi akasema hataki tena kumbukumbu zangu. Hebu shika simu yako.
Nikamwambia mimi sijawahi kukupa simu. Nilikupa hela ukanunue simu. Akainuka kwa hasira na kuibwaga hapo mezani.
Nikaichukua na kwenda nayo home. Nilipoiwasha nikakuta ina mkopo wa watu. Imefungwa.
Je naweza kuiformat nimpe mdogo wangu awe anaitumia?
Lipa deniKuna simu alikuwa anaitumia X girlfriend wangu. Baada ya kuachana kanirudishia simu. Aliniomba laki 3½ anunue simu.
Baada ya kuachana jana kanipigia simu nataka kuonana na wewe. Nikaruhusu tuonane naye bar jirani na kwake.
Baada ya maongezi akasema hataki tena kumbukumbu zangu. Hebu shika simu yako.
Nikamwambia mimi sijawahi kukupa simu. Nilikupa hela ukanunue simu. Akainuka kwa hasira na kuibwaga hapo mezani.
Nikaichukua na kwenda nayo home. Nilipoiwasha nikakuta ina mkopo wa watu. Imefungwa.
Je naweza kuiformat nimpe mdogo wangu awe anaitumia?
Anamuuzia dogo mavi adakwe yeyeDemu ukampa 350k ila mdogo wako unaona ugumu kumpa hela akanunue, unataka kumpasia msala
Si ajabu ni ya wizi, na hajui alieikopa ni nani.Demu ukampa 350k ila mdogo wako unaona ugumu kumpa hela akanunue, unataka kumpasia msala
Ulimbukeni tuUsifanye mchezo na nguvu ya mbunye
Endelea ulipoishiaJe naweza kuiformat nimpe mdogo wangu awe anaitumia?