FestoKaguo
Senior Member
- Apr 1, 2022
- 128
- 202
Habari wakuu,
Kama wewe ni mwanafunzi wa elimu ya juu, au unajiandaa kuandika research proposal, dissertation au thesis, kuna swali moja ambalo wengi huwa wanajiuliza lakini majibu yake yanaonekana kama yanatatanisha hivi;
Mtu anajiuliza swali kama, “Naweza kuwa na Independent Variables zaidi ya tatu kwenye research yangu?
Vipi kuhusu Dependent Variables, nazo zinaweza kuwa zaidi ya moja?”
Sasa kwa kifupi naweza kusema ndiyo unaweza, lakini sio kila wakati inashauriwa. Unahitaji kuzingatia mambo yafuatayo:
1. Je, Lengo la research yako lina Ruhusu Variables Nyingi?
Usijaze variables ili tu uonekane 'una research kubwa'. Kila variable inapaswa kuchangia kujibu swali la utafiti.
2. Una Tools Sahihi za Kuisimamia Taarifa Hiyo?
Je, unatumia MANOVA, regression, SEM au descriptive analysis tu? Statistical method yako ina athari kubwa kwenye kiasi cha variables kinachopendekezwa.
3. Sample Size Yako Inaruhusu?
Ukiweka variables 6 lakini una respondents 50 tu, analysis yako itakuwa dhaifu. Kumbuka: Variable nyingi = data kubwa zaidi = need for more respondents.
4. Clarity vs Complexity
Research nzuri ni ile inayoeleweka, siyo ile yenye data nyingi zisizoeleweka. Sometimes, less is more.
BONUS: Tumechambua swali hili kwa kina kwenye YouTube!
Tazama video fupi kutoka Smart Research Academy:
“Can You Have 3 Independent and 3 Dependent Variables in One Study?”
👉 Angalia hapa YouTube
Katika video hiyo, tunachambua:
Tofauti kati ya Independent variables (IVs) na Dependent variables (DVs)
Wapi unaweza kuwa na zaidi ya variable moja
Tools na mbinu unazotakiwa kutumia kuandaa strong variables
Common mistake ambayo huwatokea wanafunzi wengi
👇 Tuambie:
Wewe ulishawahi kutumia variable zaidi ya tatu?
Ulitatuaje changamoto za analysis?
Ungependa video gani ifuate kuhusu research design?