Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Labda kama mb.o0.o sio kipaumbele chako..... tofauti na hapo hiyo ni ngumu
wanawake mnanishangazaga mnavyoset priorities...mb0.0.0w na yenyewe iko amongst the list ? πŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ahahahaha
Lipia tangazo.
Ila kweli hawa viumbe undefined
 
Hauwezi amini ipo kwenye list
 
Doh mkuu unajuaje kama mwanamke anakazwa na jini mahaba?
 
Tena Mwanaume wa hivyo ukimsitiri utakula mema ya nchi [emoji108]

Kwanza risks nyingi zinakuwa hazipo.

Hawezi kuchepuka na kupoteza fedha na rasilimali za familia.

Hawezi pata magonjwa.

Yaani inakuwa salama.

Wewe mwenyewe mwanamke utafanya maarifa yako mengine ilimradi ufanye kwa usiri mkubwa na staha.
 
sa bila hiyo mnakuwa mnahusiana na nini?
 
Wanawake wanaokazwa na majini mahaba ni tatizo sana, mpaka upambane kwanza kulitowa jini mahaba ndio mtaelewana.
Kwahiyo tukubaliane lawama sasa hatupeleki kwenye chips yai ni kwa majini na mashweeitani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…