Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Nikipata hilo tatizo, nitatafuta ufumbuzi, ikishindikana basi bora muachane tu kwa kutengeneza mazingira
 

Lipia tangazo.
 
Tofauti ni nini mkuu?
Nguvu za kiume ni uwezo wa mwanaume kumpa mimba mwanamke, yaan kama mbegu za huyo mwanaume zinaweza kutungisha mimba kwa mwanamke basi hana tatizo la nguvu kiume, ila kusimamisha ni ule uwezo wa penis kusimama au urijali(kupanda mtungi) mtu anaweza akawa anasimamisha vizuri tu ila hana nguvu za kiume.
 
Sikuwahi kufahamu hili, nilidhani ina maana moja😀
 


Uvuvi[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…