Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

PEDI MAELEZO KIPEPERUSHI- YUSTINO-001.jpg


HII PEDI NDO SULUHISHO KAMILI KWA MATATIZO YOTE YANAYOWATESA AKINA MAMA. UKIITUMIA HUTATAMANI TENA KUTUMIA PEDI YA AINA NYINGINE TOFAUTI NA NEPLILY PLUS!!
TRY IT, HUTAJUTA KAMWE!!

HICHO KITU CHA KIJANI HAPO KATIKATI YA PEDI NDO DAWA YENYEWE HIYO YA KUTIBU MAGONJWA KIBAO KWA WANAWAKE. IMEWEKEWA ANION CHIP!!
 
Atoto nimepigwa kipupwe moja hapa unexplainable mpk nimekimbilia google. Lahaulaaa nawakuta hapa 😂😂

Nina zaidi ya 3yrs niko nao. Sijanote shida.. pantliner uwa natumia za kotex. Zikaisha, napochukuaga hawakuwa nazo. Nikasema nitest HC,, daah! Ni kama ubaridi wake ukoo juu kulinganisha na pad.. mpk nikaogopa 😁😁

Ila through hizi comments itabidi nianze uchunguzi.
 
Atoto nimepigwa kipupwe moja hapa unexplainable mpk nimekimbilia google. Lahaulaaa nawakuta hapa 😂😂

Nina zaidi ya 3yrs niko nao. Sijanote shida.. pintliner uwa natumia za kodtex. Zikaisha, napochukuaga hawakuwa nazo. Nikasema nitest HC,, daah! Ni kama ubaridi wake ukoo juu kulinganisha na pad.. mpk nikaogopa 😁😁

Ila through hizi comments itabidi nianze uchunguzi.
😂😂😂😂😂😂
Umenichekesha!!
 
Usicheke kwenye vitu vya huzuni
Hata nilishazisahau kama zipogo. Zilinitendaga, nikaachana nazo na sikurudi teeena!!

Hicho kipupwe nina mashaka nacho kwakweli.
 
ACHANENI NA MAPEDI YANALETA SHIDA NYINGI SANA.

Tumieni njia za asili.
Tuulo na vitambaa safi.
 
Back
Top Bottom