ππππππAtoto nimepigwa kipupwe moja hapa unexplainable mpk nimekimbilia google. Lahaulaaa nawakuta hapa ππ
Nina zaidi ya 3yrs niko nao. Sijanote shida.. pintliner uwa natumia za kodtex. Zikaisha, napochukuaga hawakuwa nazo. Nikasema nitest HC,, daah! Ni kama ubaridi wake ukoo juu kulinganisha na pad.. mpk nikaogopa ππ
Ila through hizi comments itabidi nianze uchunguzi.
Usicheke kwenye vitu vya huzuniππππππ
Umenichekesha!!
Hata nilishazisahau kama zipogo. Zilinitendaga, nikaachana nazo na sikurudi teeena!!Usicheke kwenye vitu vya huzuni