johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Swali gani hili na wakati haukubaliani na Bagonza?Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA?
Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana?
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa....... Maendeleo hayana vyama!Hiki ndo tulichabikiza!View attachment 1485474
Jecha atapambana na maalimu Seif urais wa Zanzibar mwezi October!Uliza Jecha
Mnakera sana wafuasi wa Ccm na serikali yake. Kama Unajua wasimamizi hawatatenda haki kwa nini kuitisha uchaguzi ?!. Ni kumhadaa nani ?!Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA?
Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana?
Maendeleo hayana vyama!
Inashangaza kada wa ccm anakuwa msimamizi wa uchaguzi kweli Tz hakuna demokrasia kabisa.Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA?
Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana?
Maendeleo hayana vyama!
Membe amekili hayoNajiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA?
Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana?
Maendeleo hayana vyama!
CCM ni chama Dola....... Wapinzani ndio wasanii wanadanganya wananchi!Mnakera sana wafuasi wa Ccm na serikali yake. Kama Unajua wasimamizi hawatatenda haki kwa nini kuitisha uchaguzi ?!. Ni kumhadaa nani ?!
Yohana mbatizaji nimekuuliza unaitisha uchaguzi wa nini ?! Kama wananchi siyo wa kuamua uchaguzi wenyewe ?!CCM ni chama Dola....... Wapinzani ndio wasanii wanadanganya wananchi!
Uchaguzi umeitishwa na Katiba ya JMT siyo CCM!Yohana mbatizaji nimekuuliza unaitisha uchaguzi wa nini ?! Kama wananchi siyo wa kuamua uchaguzi wenyewe ?!
Mambo ya chama dola hayamuingizii mtu yeyote siku
Endeleeni kufaidika na uoga wa WaTz , elimu ya uraia duni, umasikini wa wananchi nk nk .Uchaguzi umeitishwa na Katiba ya JMT siyo CCM!
Bwashee huu upinzani uliletwa na Nyerere wa CCM kwahiyo ni upinzani wa kipekee duniani usiofananishwa!Endeleeni kufaidika na uoga wa WaTz , elimu ya uraia duni, umasikini wa wananchi nk nk .
Nakumbuka sana mkutano huo wa kuruhusu vyama vingi 20% > 80% . Wengi ndani ya chama walimpinga, lakini Mzee alisema wachache hao wana hoja. Lakini wale wengi wamepiga kwa uoga, wamepotoshwa, na hoja zao ni dhaifu. Leo watu wanataka Tume huru nani wa kusimama kama Nyerere ?!. Hayupo.Bwashee huu upinzani uliletwa na Nyerere wa CCM kwahiyo ni upinzani wa kipekee duniani usiofananishwa!
Hiki ndo tulichabikiza!View attachment 1485474
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani alipaswa kulisimamia hili siyo hadi mzee Mkapa na Membe waseme!Nakumbuka sana mkutano huo wa kuruhusu vyama vingi 20% > 80% . Wengi ndani ya chama walimpinga, lakini Mzee alisema wachache hao wana hoja. Lakini wale wengi wamepiga kwa uoga, wamepotoshwa, na hoja zao ni dhaifu. Leo watu wanataka Tume huru nani wa kusimama kama Nyerere ?!. Hayupo.
Wasimamizi huwa wanakula kiapo cha kusimamia uchaguzi bila upendeleo kwa mujibu wa sheria. Ndio maana hata vyama vya upinzani vilishinda wabunge na madiwaniMnakera sana wafuasi wa Ccm na serikali yake. Kama Unajua wasimamizi hawatatenda haki kwa nini kuitisha uchaguzi ?!. Ni kumhadaa nani ?!