Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hicho kilikuwa ni kipindi cha awamu ya 4 ambapo angalau Ccm ilikuwa tayari kushindana ktk ngazi za kata na Jimbo . Siyo hii mtu anamuapisha mkurugenzi na kumpa maelekezo ya kutoshindwa !!.Wasimamizi huwa wanakula kiapo cha kusimamia uchaguzi bila upendeleo kwa mujibu wa sheria. Ndio maana hata vyama vya upinzani vilishinda wabunge na madiwani
Mami mambo mengine hayahitaji kutetea . Huwezi kujua kesho