Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hicho kilikuwa ni kipindi cha awamu ya 4 ambapo angalau Ccm ilikuwa tayari kushindana ktk ngazi za kata na Jimbo . Siyo hii mtu anamuapisha mkurugenzi na kumpa maelekezo ya kutoshindwa !!.Wasimamizi huwa wanakula kiapo cha kusimamia uchaguzi bila upendeleo kwa mujibu wa sheria. Ndio maana hata vyama vya upinzani vilishinda wabunge na madiwani
Ahaaa. Hamna mkurugenzi aliyepewa hayo maagizo. Uchaguzi ni process ndefu ndio maana kuna mawakala wa kila chama ambao wanahakikisha hakuna wizi. Na mawakala wanakuwepo katika ngazi zote.Hicho kilikuwa ni kipindi cha awamu ya 4 ambapo angalau Ccm ilikuwa tayari kushindana ktk ngazi za kata na Jimbo . Siyo hii mtu anamuapisha mkurugenzi na kumpa maelekezo ya kutoshindwa !!.
Mami mambo mengine hayahitaji kutetea . Huwezi kujua kesho
???Hatutoi nchi kwa karatas
Je inawezekana 1 + 2 jibu likawa 7 ?Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA?
Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana?
Maendeleo hayana vyama!
The very missing point in the equationHatutoi nchi kwa karatas
Kuna wabunge wa CHADEMA act na NCCRYohana mbatizaji nimekuuliza unaitisha uchaguzi wa nini ?! Kama wananchi siyo wa kuamua uchaguzi wenyewe ?!
Mambo ya chama dola hayamuingizii mtu yeyote siku
Unakumbuka kuna kanuni mwaka huu imepitishwa ya wakala kutopewa nakala rasmi ya matokeo kutoka kituoni ?!. Think out of the box, Mami .Ahaaa. Hamna mkurugenzi aliyepewa hayo maagizo. Uchaguzi ni process ndefu ndio maana kuna mawakala wa kila chama ambao wanahakikisha hakuna wizi. Na mawakala wanakuwepo katika ngazi zote.
Umefuatilia kanuni zilizopitishwa mwaka huu ?!Kuna wabunge wa CHADEMA act na NCCR
Je wame ingiaje bungen ikiwa wasimamiz ni Hao makada wa CCM tuanze hapa kwanza
Au ilo limeanza Leo la Hao wasimamiz??
Jaduong hilo jambo haliwezekani. Ni upinzani kutafuta kisingizio tu baada ya kujua watashindwa na Ccm. Kwa nini usipewe nakala ya matokeo? Hii ni ngumu. Hamna kauli ya Nec juu ya hili suala, zaidi ya mnyika kupotosha watu.Unakumbuka kuna kanuni mwaka huu imepitishwa ya wakala kutopewa nakala rasmi ya matokeo kutoka kituoni ?!. Think out of the box, Mami .
mzee kama hujuwi sababu ni kuhadaa jumuiya ya kimataifa tu ili wasije wakategwaMnakera sana wafuasi wa Ccm na serikali yake. Kama Unajua wasimamizi hawatatenda haki kwa nini kuitisha uchaguzi ?!. Ni kumhadaa nani ?!
Kama issue ni kanuni ya Mwaka huu basi msingi wa Mada yako inge kuwa kanuni iliyo wekwa Mwaka huuUmefuatilia kanuni zilizopitishwa mwaka huu ?!
Mngetamba kupendwa na hatimaye kushinda uchaguzi laiti play ground ingekuwa leveled . Lakini hii ya kufanya kila kitu kwa favour yako halafu majigambo kibao !!!. Daahh [emoji107]Jaduong hilo jambo haliwezekani. Ni upinzani kutafuta kisingizio tu baada ya kujua watashindwa na Ccm. Kwa nini usipewe nakala ya matokeo? Hii ni ngumu. Hamna kauli ya Nec juu ya hili suala, zaidi ya mnyika kupotosha watu.
Kugoma kuliisaidia nini Cuf 2016 ?!. Au upinzani kwa ujumla wake serikali za mitaa 2019 ?!.Kama issue ni kanuni ya Mwaka huu basi msingi wa Mada yako inge kuwa kanuni iliyo wekwa Mwaka huu
Mimi na amin kabisa kuwa ikiwa CHADEMA wa naona upo ugumu basi ni bora wagome kuliko kushiriki ukijua hakuna utakacho Pata
Wame goma wengine wakashiriki hivyo ime vunja ule mgomoKugoma kuliisaidia nini Cuf 2016 ?!. Au upinzani kwa ujumla wake serikali za mitaa 2019 ?!.
Tatizo la Tz ni kujaribu ku practice u communists ambayo haiwezi kututoa mrisi
Hicho kilikuwa ni kipindi cha awamu ya 4 ambapo angalau Ccm ilikuwa tayari kushindana ktk ngazi za kata na Jimbo . Siyo hii mtu anamuapisha mkurugenzi na kumpa maelekezo ya kutoshindwa !!.
Mami mambo mengine hayahitaji kutetea . Huwezi kujua kesho
Mnyika ameelezea kanuni zilizowekwa kinyamela,na siyo hiyo tu.Jaduong hilo jambo haliwezekani. Ni upinzani kutafuta kisingizio tu baada ya kujua watashindwa na Ccm. Kwa nini usipewe nakala ya matokeo? Hii ni ngumu. Hamna kauli ya Nec juu ya hili suala, zaidi ya mnyika kupotosha watu.
Unadhani hao waliishiriki, walishiriki bahati mbaya ?! . Angalia baada ya ushiriki wao walitunikiwa uwaziri .Wame goma wengine wakashiriki hivyo ime vunja ule mgomo
Shida ya upinzan ni woga
Hoja hapa likiwa kupambana kutafuta suruhu mapema na si pale tuu unapo karibia uchaguzi
Unapo pambana na chombo DOLA ni lazima uwe na tactics ya kukuwezesha
Mzee mgaya anasemaje kwenye hiliNajiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA?
Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana?
Maendeleo hayana vyama!
Ni jukumu la mahakama kusema mgombea wa CCM ameshindwa siyo la msimamizi.Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA?
Kiukweli wapinzani kama wanalijua hili wamechukua hatua gani au wanadhani 2015 na 2020 zinafanana?
Maendeleo hayana vyama!