nimefatilia kwa uchache baadhi ya page za thread hii, na nimegundua yafuatayo.
1. asilimia 99 ya wafuatiliaji/wachangiaji ni layman wa mambo ya afya, na hasa HIV/AIDS. wanafanya kuburuzwa tu na hizo wanazoziita fact, ilihali hawaelewi foundation ya hizo "fact". and trust me, arguments za Deception haziko founded, wala haziko documented, na wala hawezi kuzi prove.
2. watu always wanatafuta the easiest way out, someone or something to put blame on. lets face the facts, ukimwi upo na unaua. hiyo iko proven beyond reasonable doubt
3. ushabiki maandazi hausaidii, tena kama unashabikia mtu kwa kuangalia volume ya maneno katika post zake, kwa concepts ambazo wewe na yeye wote hamzielewi.
4. kiasi napata picha kwanini babu wa loliondo aliweza kutushika masikio, sababu ya akili zetu mbovu. we are very easily manipulated, wala hatufikiri.
5. tusicheze na taaluma za watu, tena hasa when it comes to diseases with severe mortality and morbidity. tuwe na huruma na hawa wanaohangaikia maisha yao.
6. the subject of HIV is very broad, na sio rahisi kama wengine humu wanavyotaka kuamini. mi nawaita waganga wa kienyeji. sasa wewe nenda kavu uone kama hatukuziki. ni nani humu hajaguswa na ugonjwa wa HIV maishani? do you still think its a myth? acheni kuaibisha taaluma za watu kwa kumanipulate laymen