warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
nadhani ambacho huelewi ni kuhusu matokeo ya vipimo kabla na baada ya kuanza dawa, na tafsiri yake in medical terms. ni vizuri pia kuelewa mechanism ya dawa kufanya kazi na mda mpaka kuonekana effect ya dawa. pia, naomba utaje hizo dawa hapa jamvini tupeane elimu
pili, unaposema "alipewa dawa ya malaria na UTI", halafu unaongelea sumu,, una maana gani hapo? ulivyoiweka ni kama vile mwanao alipewa sumu ya panya kwa mchanganyiko huo!! inataka watu waamini kwamba hizi dawa ni sumu zaidi, na side effect zake zina outweigh faida zake?
now kwa swali langu la msingi: kupima HIV ni hiari, ila in some circumstances inategemea na historia ya ugonjwa, na viashiria vingine. kwa situation kama hiyo, daktari anaweza kushauri kufanya kipimo cha HIV. Swali langu ni kwamba, je kama mwanao angepima HIV mwanzoni wakati kapelekwa hosp, unadhani majibu yangekuwa +ve ilihali baada ya matibabu majibu yalikuwa -ve? maana we unadai vipimo ni feki
Drug abuse is the use of drugs for the purpose which is not intended, ukipewa dawa yeyote ambayo haihusiani na ugonjwa wako inaenda kutengeneza SUMU katika mwili wako.