Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?


Toafutisha Kunywa NA na Kunywa Dawa Yenyewe bila NA... Sasa Jamaa Alisema TDF zenyewe bila NA zinasababisha Liver problem
 

Hahahahah
 

Kuwa dokta haimaanishi kuwa unajua magonjwa yote apa duniani, unaweza ukawa daktari wa watoto, ngozi, moyo,mifupa na nk. Wewe unaweza kuwa dokta wa mifugo (mfano tu ) na mwingine akawa ame specialize kwenye masuala ya madawa tu. Apo kamwe hamuwezi kuwa sawa japokuwa wote ni madaktari, bado tunakuheshimu kama daktari ila inawezekana hii kitu haipo kwenye taaluma yako au hukusomea hivyo vitu.
 
Umeniuliza kama vile nina mamlaka flani hivi, anyway mie ni mwananchi wa kawaida kikubwa ARV ni hatua ya mwisho kabisa kikubwa hata sie tunaojiona wazima tunatakiwa tuzingatie kanuni za afya ikiwa pamoja na kugonga menu balanced kibongobongo hata kama tutaambukizwa tusifikie huko kwenye ARV mapema pamoja na kuupumzisha mwili tu ili hata ikifika hatua ya kwenda hospitali ni kuandikiwa dawa ya kutibu ugonjwa nyemelezi na sio special diet tena
 

Mara Nyingi Darasani hatuelezwi madhara ila. faida kwa sana..

Hivi Kubadili Genetic make up ya mmea uliokuwa unazaa Kwa mwaka mara moja uwe unazaa Hata Mara Tatu hakuna madhara katika kupunguza ubora wa kinachozalishwa?
 

usilo lijua lita kusumbua sana Medical ni science pana sana tafuta maana ya MD na specialist...utajua nini.kina anza badae knafuata kipi....acha ushabiki maandazi ujui kitu...jitahidi urudi kwenye majukwaa yako ya MMU& UDAKU...nlikuona uki mwandama GEORGEOUSMIMi...ivi ivi..ila kumbuka elimu siyo vita unajikuta unaropoka kuliko alie anzsha uzi...Tufikie hitimisho sisi madoctor tumeshindwa kwenye huu uzi ..siyo kwamba nimeshindwa kwa hoja za mkuu hapo juu ...bali kwa mm binafsi nmeamua kujitoa kwenye huu uzi kwajili ya kiherehere chako unavyoruga wengine wanaotaka kupata knowledge juu ya tatizo hili....

NOTE: no matter sumu utakayo mezeshwa ukfanya unsafe sex lazma upate maambukizi na CD4 ztakapo shuka ARVs utakunywa tuu tena bila kulazmishwa..
 

Mkuu, nina swali dogo, HIV/AIDS ni Man made virus? Yaani umetengenezwa maabara kwa madhumuni maalum? Au ni virusvya asili?
 

ahahah, nilijua naongea na dokta...

Ukimwi upo na unaua na unatisha sana, cha muhimu ni kuijali afya yako kwa kula vizuri na kufanya mazoezi mara kwa mara bila kusahau kupima mara kwa mara , either umeathirika au lah!. BInafsi sipingani na Ukimwi, ila najaribu tu kuziangalia izo ARV kwa upande wa pili, isije ikawa Ukimwi hauui ila izo ARV ndizo zinazoua, tujaribu na kupenda kuwa wadadisi kuhusu Afya zetu wenyewe, sisi vijana ndio tupo kwenye changamoto zaidi kuhusu hili gonjwa la ukimwi.
 
Mkuu, nina swali dogo, HIV/AIDS ni Man made virus? Yaani umetengenezwa maabara kwa madhumuni maalum? Au ni virusvya asili?

This idea, which is based on the belief that
HIV is man made, is largely disproved by
the similarities between HIV (Human
Immunodeficiency Virus) and SIV (Simian
Immunodeficiency Virus). It has been
scientifically proven that HIV is most likely a
viral descendant of SIV. For example in
1999 scientists in Alabama discovered a
strain of SIV which was very similar to the
HIV-1 strain.
It is well established that it is possible for
some viruses to jump from animals to
humans. SIV was transmitted to humans
through humans eating the flesh of SIV
infected apes or monkeys. Another way the
virus could have been passed to humans is
through infected ape or monkey blood
getting into open wounds and cuts on the
human body.
 

Hii ndo aina ya madocta wetu...lazima tufe tu...
 

Kwakweli kama madocta wenyewe ndo hawa tutakufa tu..
 

Kuna mtoto wangu wa kike almst 8 years,nampenda sana,na wakati huo tayari nilishajua ukweli wa mambo haya.Angalia faida yake sasa:

Wakati niliposafiri,aliumwa sana,wakampeleka hospitali wakagundua alikuwa na malaria na UTI.Wakampa dozi zote mbili,nadhani mnajua sumu aliyoipata hapo,ofcourse ndiyo tiba yenyewe huwezi pinga.Kuna dalili chache zikatoweka lakini aliendelea kuumwa homa mara kwa mara kila siku.Homa ilikuja na kutoweka kama mara tatu kwa siku moja.Alikuwa ktk hali hiyo kwa wiki mbili,niliporudi nikampeleka hospitali mwenyewe.
Hospitali ya kwanza niliwaelezea historia yote pamoja na dozi alizotumia.Wakampima wakamkuta na UTI kidogo sana ila malaria hana.Wakamwandikia tena dozi kali zaidi ya ile ya mwanzo(wakati huo akili yangu ilikuwa ikijua kwamba tatizo la mtoto litakuwa ni sumu ya dawa).Basi nikarudi nyumbani lakini sikumpatia mtoto zile dawa nikiogopa kumuonezea sumu mwilini,nilikuwa nafikiria njia nyingine ya kufanya.Kesho yake nikaenda Hosp mbili kushtakia tena,lakini zote zilikataa kumhudumia eti mpaka apime HIV.Mimi nikakataa kabisa na kumpeleka hospitali nyingine huku nikidictate wampime ini.Ile hospitali wakampima kwa siri HIV pamoja na ini.Lakini alikuwa HIV- kwa vipimo vyao feki,ila walikuta ini lina matatizo makubwa,hivyo wakampa dawa ya kuondoa sumu dozi ya siku 8.Baada ya kutumia dozi siku 3 homa ikakatika kabisa na haikurudi tena.Nikaendelea kumpa diet nzuri na hadi leo yuko poa.
Hebu chukulia kama angepimwa HIV halafu wangemkuta ni HIV+ na vipimo vyao na kumpa ARVs,halafu changanya kwamba na mimi nisingekuwa najua ukweli huu.Nadhani jibu unalo.
 

Watafute watu wafuatao halafu wasome machapisho yao.
Robert Gallo,Dr leonard George Horowitz, Dr Peter Duesberg.
 

Ujinga wa hali ya juu..hakuna ugonjwa mmoja unaitwa Ukimwi,mjumuiko wa magonjwa tofauto tofauti kwann wasitibu haya magonjwa badala yake wanakimbilia ARVs? Ivi ukishatumia arv hutaugua tena maisha yako yote? Kama ndo ivyo kwann wasiseme watu wote tutumie izo arv ili tusipate magonjwa?
 

Are you a doctor by professional?, why are you involving gossip forums into this? Umekosa hoja so unatafuta njia ya kunifedhehesha? then you are completely mistaken my Dear doctor.

I'm commenting on this thread, sio kwa sababu najifanya najua sana, ila kwa sababu mimi ni MJINGA na ninataka ujinga wangu uondoke niwe na ufahamu ambao pengine ata wewe dokta hauna na nina uhakika hauna, maandishi yako yanaweza yakawa ushuhuda tosha kuonyesha jinsi ulivyokuwa na ufahamu mdogo kuhusu UKIMWI na ARV, sio mbaya mimi na wewe tukajifunza kutoka kwa Deception na watu wengine wenye hoja zenye mashiko. Karibu tujifunze wote.
 
Last edited by a moderator:

Sitaki kukupeleka mbali sana kwa kuwa nitakuchanganya.Siku zote penye ukweli uongo hujitenga.Hebu chukua hiyo postulate namba 3 peke yake.

3.Germ lazima asababishe ugonjwa huo huo kama akidungwa kwenye host mwingine mwenye afya.

Sasa nakuuliza wewe.Je,Kila mtu mwenye HIV ana ukimwi?
 

nadhani ambacho huelewi ni kuhusu matokeo ya vipimo kabla na baada ya kuanza dawa, na tafsiri yake in medical terms. ni vizuri pia kuelewa mechanism ya dawa kufanya kazi na mda mpaka kuonekana effect ya dawa. pia, naomba utaje hizo dawa hapa jamvini tupeane elimu
pili, unaposema "alipewa dawa ya malaria na UTI", halafu unaongelea sumu,, una maana gani hapo? ulivyoiweka ni kama vile mwanao alipewa sumu ya panya kwa mchanganyiko huo!! inataka watu waamini kwamba hizi dawa ni sumu zaidi, na side effect zake zina outweigh faida zake?
now kwa swali langu la msingi: kupima HIV ni hiari, ila in some circumstances inategemea na historia ya ugonjwa, na viashiria vingine. kwa situation kama hiyo, daktari anaweza kushauri kufanya kipimo cha HIV. Swali langu ni kwamba, je kama mwanao angepima HIV mwanzoni wakati kapelekwa hosp, unadhani majibu yangekuwa +ve ilihali baada ya matibabu majibu yalikuwa -ve? maana we unadai vipimo ni feki
 

Aahahaha ahah hilo nalo neno, watuambie na sisi tuanze dozi ya ARV tusipate magonjwa nyemelezi kwa kweli khaa!!, Halafu nahis nina maralia, sijui nikachukue ARV nianze dozi na mimi?

Sio kwamba tunawashawishi watu vibaya, ila tujaribu kuwa wadadisi kuhusu afya zetu, hakuna aliyekatazwa kutumia ARV, we tumia tu tani yako na kwa raha zako, mwili si wako na maisha si yako?, namshukuru Mungu kwa kuniumba kupenda kuwa mdadisi kuhusu vitu mbali mbali

Hii ni Elimu tu, we kama unaijali afya yako kapime, ukikutwa anza kutumia dawa kama utakavyoelekezwa na wataalamu kwa kuzingatia kila kitu, Deception alikuwa anajaribu kutufahamisha tu kuhusu UKIMWI na ARV ila maamuzi yote yapo mikononi mwetu, akili kichwani mwako
 
Last edited by a moderator:

Mbona kwa Tanzania wapo wengi tofauti na tafiti hizo?Yaani ni wengi sana kiasi kwamba hata humu JF wapo.
 

Habari doctor.Naomba kwanza kabisa uniambie unataka evidence kuhusu nini,halafu pia uniambie evidence inakuaga vipi,yaani ili ujue hii ni evidence inatakiwa iweje.Naogopa usije kuikataa ukasema kwamba sio evidence.Nakusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…