Niambie specifically unataka link inayozungumzia nini?Jitahidi haraka kidogo nahitaji kutoka.
Hata mi natamani kujua. Sioni sababu ya kuogopa kuja hadharani hadi kukimbilia pm isitoshe tunatumia fake id's shuhuda zao zingesaidia watu wengi sana kupata uelewa wa hili gonjwa. Ili kuokoa watu wengi mana uu Uzi wengi wanapita kimya na kukimbilia pm hamna siri duniani bana.
KUna watu humu ni mabingwa wa kutumia ARV wakisikia hvyo wanajiarishia, ahahaha ahaha khaa, ila sio mbya kama watakuwa wamepitia humu au kuambiwa, ni vizuri kufikiria mara mbil kabla ya kufanya maamuzi ya ARV, maisha matamu nyie, ukifikiria kufa yani utamu wote wa naniliu huupati tena sio mchezo lazima uchanganyikiwe
Mkuu nikumbushe,maana mambo mengi.Unataka link au nakala inayothibitisha kuhusu nini?
waache wamalize shida zao pm mkuu, ndiyo maana ikawepo pm kwa ajili ya privacy.
Lengo la Uzi ni kujifunza waje na I'd ambazo hazijazoeleka then waitupe kapuni. Naheshimu sana privacy ya mtu lengo ni kujifunza zaidi basi.
hahaaa, mnataka kuwapa kazi ya ziada moderators! nadhani anayepokea hizo pm anapowajibu kule maswala yao binafsi kama anaona yana manufaa ya jumla kwa jamii anayajumuisha kwenye posts zake huku hadharani, au mpaka awataje na majina ndiyo inoge?
UTAFITI WAKO KUHUSU UKIMWI mkuu, asante.
Lengo la Uzi ni kujifunza waje na I'd ambazo hazijazoeleka then waitupe kapuni. Naheshimu sana privacy ya mtu lengo ni kujifunza zaidi basi.
Sijaufanyia documentation bado,haya ninayoeleza hapa pamoja na link na scientific papers nilizotumia ndio content ya utafiti wangu.Hivyo haya yanatosha pia kwa wewe kusoma na kuelewa wakati unasubiri documentation.Karibu mkuu.
Nahitaji kuweka summary ya mambo yote lakini kila kukicha wanaingia wachangiaji wapya na kunirudisha nyuma.Hii summary itasaidia kupunguza maswali mengi na wale ndugu zangu wa kutafuniwa watakuwa wamepata mkombozi.
Hata mi natamani kujua. Sioni sababu ya kuogopa kuja hadharani hadi kukimbilia pm isitoshe tunatumia fake id's shuhuda zao zingesaidia watu wengi sana kupata uelewa wa hili gonjwa. Ili kuokoa watu wengi mana uu Uzi wengi wanapita kimya na kukimbilia pm hamna siri duniani bana.
Huu Uzi umenifungua macho aisee nilikua nawazaga bila kupata majibu yani kila siku umeze mavidonge mengi sasa sijui ni vingapi humeza kwa siku bila kuwa na effects kubwa mwilini. Mara mastory mtaani wengi wanaotumia hizo dawa hufa ghafla zikiwakataa ila nimepata jibu tosha aisee.
hahaaa, mnataka kuwapa kazi ya ziada moderators! nadhani anayepokea hizo pm anapowajibu kule maswala yao binafsi kama anaona yana manufaa ya jumla kwa jamii anayajumuisha kwenye posts zake huku hadharani, au mpaka awataje na majina ndiyo inoge?
Huwezi kujua jitihada za kuimaliza au ugunduzi wa dawa kama unavysoema wakati umelala kijana, unataka nani akufuate kwako akwambie dawa ya ukimwi imepatikana? Do you think properly? changamsha akili yako, Ujinga wako ndio utakaokuponza, unaweza kujishaua apa unaogopa ukimwi kumbe unao tayari
ukisoma vizuri humu utajua jinsi ya kujikinga na magonjwa mbali mbali kwa kuzingatia lishe bora hata kama huja athirika, kama unataka kujifunza ni bora ukaja na maswali yenye mashiko sio unaongea kama umekunywa viroba.
Khaa am above your league kido! And am smelling something on u!why always you....whining..yapping for this bullsh*ts anyway?
Well, its among of its side effects! Getting angry for nothing eh?
Unaposema hakuna HIV ni feki unatoa elimu gani au ujumbe gani kwa Wale waliochagua C kwa ABC za ukimwi? Unafikiri kuchochea ngono zembe ni mpaka utamke wazi wazi hadharani? La hasha....hapa ni kampeni ya kuwafanya watu waone HIV/UKIMWI ni kama mafua tuu
Ukimwi upo na madhara yake yanaonekana sasa unapokazania watu waende huko unakotaka wewe si sawa!
Let's say madoctor wamekuwa brainwashed kutokana na mafunzo na elimu waliyopitia kuhusu HIV/AIDS ndio maana wako rigid to copy this new education, sasa huoni na wewe utakuwa brainwshed ni hizi theory na kutoka nje ya medical parameters? What will be the conclusion kido?
Note: Sina tabia ya ku comment more than twice kwenye thread moja so pita hivi.........nishavuka mchangani
Sent from JamiiForums

Yani bado narudi pale kwamba ndugu yetu kauliza mambo ya msingi sana. Na yawezekana umeshajibu huko awali na post ni nyingi, ila unazijua zako. Ishu ni kwamba, Kwa nini Bukoba walikufa sana kuanzia baba, mama, watoto, mahawara, n.k? tena kwa dalili zile zile? Nasikia pia wapo watu wanaoitwa carrier (sijui kama ni sahihi). Hawa wanaambukiza tu ila hawaugui HIV.Yaani inaonekana kabisa kwa upeo wangu kwamba wew una nia ya kujua mambo tofauti,na hiyo attitude yako ndiyo itakayokukomboa kutoka hali hii ya sasa.
Sasa hapa najibu maswali mengi sana na PM pia,halafu nahitaji kutoka kwenda mihangaikoni.Naomba unipe muda nikutafutie baadhi ya hizo link.Ila naomba uulize specific question na mimi nitalitolea jibu kwa uthibitisho.Nadhani huu ndio utakuwa utaratibu mzuri.Unaonaje?
Ukifanya hivo itakua vizuri na ita save time pia kuliko kurudia rudia uliyo kwisha eleza mwanzo ili watu waelewe vizuri.