Msuya Jr.
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 1,691
- 899
Kwa kweli huu uzi toka nikifuatilia, deception Ana point Za msingi kabisa, japo nimeona case Za waathirika, Kuna possibility ya kuwa arv ni shida. Maana mimi pia nina mfano halisi, Kuna mke wa kaka yangu alifariki kwa ugonjwa huu miaka kadhaa iliyopita kama 6 hivi, tukajua na bro ndo basi tena, but hamaki jamaa alienda Pima Ili aanze arv but majibu yalikuwa v-, so Kuna siri kubwa nyuma ya hili swala. So tufanye tafiti binafsi tujue ukweli. Na sio kuropoka bila uthibitisho, maana haswa watanzania ni wazuri katika hili.