Raper Easy E alikufa na ukimwi miaka ya 90.....
Ninyi ndio wale mnao pop up kwenye uzi huu,mkijibiwa hamuonekani tena,mnarudi siku nyingine ambayo mada imeshafika mbali.Mna matatizo sana ninyi.Angalia sasa unavyojichanganya,eti "Easy E alikufa kwa ukimwi" so what?
Wewe kwanza hujui hata nini maana ya ukimwi,hujui hata unazungumza nini wewe.Watu kama ninyi ni vigumu sana kubadilika hata kama mtapewa facts,hata kama utajua moyoni mwako kwamba hii ni fact,huwezi kukubali hadharani.
Najua huwezi kung'amua nina maana gani kutokanana na uelewa wako.
.....michael johnson akajitangaza ana HIV na mpaka leo anadunda na dozi....
We una uthibitisho kwamba Michael/Magic Johnson ana HIV?Yaani wewe uko mafichoni sana na huwezi kugundua hilo kwa kuwa huna nia.Hujui hata kama Michael/Magic Johnson ni HIV propaganda missile inayotumika kusambaza HIV/AIDS myth.Hebu ngoja nikuache hapa na hiyo IMANI yako,najua hutanielewa,hii elimu ni nzito sana kwako.
..So badili heading yako andika ARV inasaidia unapopata mlo kamili.....
Ha ha haaa,yaani unapotea hivihivi nakuona.Ningekua na ubongo kama wa kwako,kweli ningeandika kama unavyosema hapo juu.Lakini mimi niko tofauti kabisa na wewe,hunijui, ndio maana unanichukulia kirahisi sana,unaweza kupata bahati ya kujua baadaye sana kuhusu uwezo wangu wa kufikiri,hapo ndipo utakapojiona kwamba wewe hujui kitu.
Usiongeze chochote .........Babu wa loliondo alianza hivi hivi akapata wagonjwa nchi mzima hadi nchi jirani....... Huyu sasa anakuja na style ya kuwa kafanya utafiti....
Wewe utakuwa unatumia utumbo mpana kufikiri.Ni kitu gani kinachokuthibitishia kwamba mimi nataka kufanya biashara hapa,umeona nimetoa namba ya simu au chochote kile kuashiria kwamba nataka kufanya biashara?Babu wa Loliondo alitumia imani zaidi,haya ninayoeleza mimi hapa ni sayansi,wewe huoni tofauti?
Sijui ni kwanini unahangaika hivyo,au nimewashika pabaya,au nimegusa maslahi?
..Mimi namuuliza kafanya utafiti lini, wapi na chuo gani...
Akili ndogo bwana!!
Sasa ukijua nimefanya utafi lini,wapi na chuo gani, hivyo vina msaada gani kwako ili kujua ukweli,kwani utafiti lazima ufanyike chuoni?Taabu sana ninyi.
Kama binafsi je ana vifaa...
Vifaa gani?
..Wapi paper zake ili watu wazipitishe kisayansi . Paper huna unatumia paper za watu harafu unashauri watu waache kula dawa ....
Wewe unataka paper zangu au unataka paper?Na hizo paper unazosema kwamba ni za watu je,ulizisoma?Na kama ulizisoma je,unazikubali?Kama unazikubali basi hutakiwa kusema haya yote,kama huzikubali basi hata paper zangu huwezi kuzikubali kwa maana ili paper yako ikubalike lazima uoneshe ref kutoka kwenye paper za watu wengine.Umeelewa mdogo wangu eenh?
... Harafu kuna swali nilimuuliza akalikwepa kabisa .....ukimwi haupo tanzania wala africa peke yake . Ukimwi upo China ,India , Thailand , UK, Marekani tena upo mwingi sana washngton state . In short ukimwi upo dunia nzima ....
Nani amekataa kwamba ukimwi haupo dunia nzima?Wewe bado hujui maana ya ukimwi ni nini dogo.
..Sasa swali je huko wanatumia dawa za kupunguza makali yaani kama hizi ARV au hawatumii...
Uvundo tena!!
Wewe umeona wapi ukimwi unatibiwa kwa kula dawa za kupunguza makali kama ARVs?,na pia unaweza kuthibitisha kama ARVs zinapunguza makali ya huo ukimwi unaoujua wewe?Wewe hujui kitu kabisa,hujui hata unapinga kitu gani.Yaani wewe umekuja kupinga tu bila kujua hata unapinga nini.Hii ni sayansi bwana,hatutumii hisia hapa.
..Na kama hawatumii katika utafiti wako ambao sasa nauita FAKE je wanatumia dawa gani..
Maandishi yako peke yake yanadhihirisha jinsi usivyokuwa na nia ya kuelewa.
..Mimi nimeshawahi kuona kwa macho yangu mchina anakunywa dawa same ARV lakini katoka nayo kwao China . Na anameza nadhani kila mwezi kidonge kimoja au kila mwaka na nilipomuhoji alisema atameza maisha yake yote . Bei yake ni kama dola 100 kwa kidonge ......achana na huyo . Kuna viongozi wa ngazi za juu na hata wabunge wangapi na wafanyabiashara wangapi wana HIV na wapo katika dozi hiyo hiyo ya ARV na wanadunda coz wana hela na wanafuatilia ratiba ya afya . Hawa watu wanaokufa wenye vipato vidogo ni kutokana na kunywa dawa bila chakula bora na hiyo inatokana na uchumi duni . Dawa yeyote ili ifanyekazi lazima iende na chakula bora otherwise itakutesa sana . Maana inaweza kuwa hata sumu...
Doctor Kairuki alikuwa hali vizuri?
...Acha kutafuta utajiri wa haraka haraka kupitia watu masikini kwa kisingizio cha eti umefanya utafiti. Kama umefanya utafiti weka paper upewe uprofesa . Achana na utapeli uchwara
Una uthibitisho gani kwamba mimi natafuta utajiri hapa?
Yaani nakuonea huruma sana,unakosa vitu vingi sana bila kujijua,na utaendelea kukosa mambo mengi zaidi ya haya ambayo yangekuwa msaada kwako na kwa familia yako.Jaribu kubadilika na kupenda kuhoji.Hata kama huamini kile ninachosema,basi unaweza tu kusikiliza na kufuatilia halafu kama huoni ukweli basi unaacha,lakini unaacha hata bila ya kufuatilia kwa undani haya ninayosema.Ngozi nyeusi tuna attitude chafu sana.