Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Ndio kipo,kirusi kinachoitwa HIV kipo,ila hakuna kirusi chenye sifa ya kuitwa HIV.Ila historia ya ugunduzi wake ni very tricky na ina mikanganyiko mingi sana,sitaki kwenda huko sasa kwa kuwa wewe bado ni mchanga kwenye mambo haya,ukikomaa sawasawa labda.
Ndio,hakisababishi AIDS.
Retrovirus aliyepachikwa jina feki la HIV alikuwapo tangu enzi na enzi na aliishi na anaendelea kuishi kwenye host wengi akiwemo binadamu na hajawahi kusababisha ukimwi enzi zote hizo.Kutokana na probability ya kumpata huyu virus kwenye damu ni vigumu sana kuambukizwa kwa njia nyingine kama vile sex(inakaribia kutowezekana),njia ambayo ni typical ni ile ya kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto nayo pia ni ndogo sana.CDC report inasema mtoto ana uwezekano wa kupata huyu kirusi kutoka kwa mama kwa 25% tu,ambayo bado sio significant.Na hata ukiwa na huyu kirusi si jambo la ajabu au kutisha kwa kuwa hana uwezo wa kusababisha AIDS,na pia awali ya yote hudhibitiwa na kinga ya mwili.
Sisi tumekuwa brainwashed kuaminishwa kwamba huyu kirusi ndiye anayesababisha AIDS,kitu ambacho si kweli na kuna scientific proofs nying sana kuthibitisha hilo.Sisi kwenye miili yetu kuna bifidus bacteria ambao husaidia digestion,lakini siku Obama akisema kwenye TV fulani kwamba bifidus bacteria ndiye anayesababisha cancer ya utumbo wote tutaamini bila kuhoji kwa kuwa Obama kasema,siku nikitokea mimi kajamba nani nikipinga kwa vielelezo watu watasema napotosha.Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa huyu HIV feki.Yupo maisha yote,lakini tumeanza kumwogopa mwaka 1984 alipotangazwa kwamba ndiye "probable cause of AIDS",aliyekuwa probable cause na watu wakaamini kwamba ni probable cause sasa hivi amekuwa real cause of AIDS.Kwa kweli inahitaji jitihada na upeo wa hali ya juu sana wa kuelewa ukweli wa jambo hili.
Kwa mujibu wa Deception huyu kirusi yupo tangu zamani sana na nimeshasoma mahojiano kibao sana ya madaktari wakithibitisha hili
Huyu kirusi haambukizwi kutoka binadamu mmoja kwenda mwingine bali kwa njia nyingine tu ndio anaambukizwa
Huyu kirusi hana madhara kwa binadamu jwa sababu kwanza mwili una uwezo wa kumuangamiza huyu kirusi bila kunywa kidonge chochote kile
Kama una maradhi ya.mara kwa mara kula lishe bora na pia pima maradhi kama malaria,pumu,TB n.k na kama utakutwa na maradhi haya yatibu yenyewe na afya yako itarejea bila kujali kama mwili wako una retrovirus (HIV?) Wa aina yoyote ile na utaishi hadi uzee
Kwa kifupi ni hayo kwa mujibu wa mkuu Deception
Mambo.mengine kwakweli naweza kusema tumelishwa uongo na hawa watu tunaowaamini kama watu wa magharibi
Kinachotikea huku mitaani ni tofauti ba wanachotuambia
Mpaka sasa nakubaliana na mkuu Deception...
Mkuu nipo tu ....
Haya mashughuli yetu yanatupoteza sana mkuu.......
Mkuu nashukuru kwa majibu mazuri, naomba kuuliza swali dogo la nyongeza;
Nahisi kuna sehemu nimechanganya, post zako kule nyuma nimeelewa kuwa kinachoreact kwenye kipimo ni aina flani ya protein tu ambazo mtu yeyote anaweza akawa nazo, hii virus yenyewe inaonekanaje mwilini ikiwa kinachoreact ni kuwepo kwa aina flani ya protein na wala sio HIV?
Majukumu ni muhimu sana kiongoziUsijali mkuu.Mimi mwenyewe kama vile nipo likizo, ndio maana na pop mara kwa mara,ila soon nitaanza kupoteapotea.
Unasema umefuatilia uzi huu halafu unauliza swali ambalo limeshajibiwanimeifuatilia sna huu uzi.naomba kuuliza je kusex na mtu mwenye ukimwi haupati ukimwi?ningeshukuru ningepata majibu
Unasema umefuatilia uzi huu halafu unauliza swali ambalo limeshajibiwa
Kaazi kweli kweli....
nimeifuatilia sna huu uzi.naomba kuuliza je kusex na mtu mwenye ukimwi haupati ukimwi?ningeshukuru ningepata majibu
Yaani we acha tu.....Watanzania ni wavivu wakusoma mkuu...
Mpaka kufikia hapa Deception katoa ushahidi kuwa ugonjwa wa ukimwi watu wanaweza kuupata bila sex na wala hautishi kwani dawa yake ni lishe boraUsijaribu ndugu, endelea kujitunza na kuijali afya yako, tumia kinga kila wakati
Mpaka kufikia hapa Deception katoa ushahidi kuwa ugonjwa wa ukimwi watu wanaweza kuupata bila sex na wala hautishi kwani dawa yake ni lishe bora
Ushahidi huo hakuna ambae ameweza kuupinga hadi sasa kwa hoja na ushahidi,lakini pia ushahidi huu wa Deception uko back up na kile ambacho kinatokea huku mitaani kwetu kuhusu wanaodaiwa wana ugonjwa uliosababishwa na kijidudu cha HIV,Hakuna maelezo ya kutosha kuelezea huu mgongano ....
Kufikia hapa naweza kusema ukimwi hautishi na wala hauambukizwi kwa ngono kwasababu hakuna ushahidi wa hili
Sasa ya nini tuogope kitu ambacho hakina madhara kwetu?
Safi sana mkuu ....ukiachilia mbali ukimwi ,bado kuna magonjwa mengi ya zinaa yanayotokana na ngono zembe, bado kujikinga ni muhimu
Mpaka kufikia hapa Deception katoa ushahidi kuwa ugonjwa wa ukimwi watu wanaweza kuupata bila sex na wala hautishi kwani dawa yake ni lishe bora
Ushahidi huo hakuna ambae ameweza kuupinga hadi sasa kwa hoja na ushahidi,lakini pia ushahidi huu wa Deception uko back up na kile ambacho kinatokea huku mitaani kwetu kuhusu wanaodaiwa wana ugonjwa uliosababishwa na kijidudu cha HIV,Hakuna maelezo ya kutosha kuelezea huu mgongano ....
Kufikia hapa naweza kusema ukimwi hautishi na wala hauambukizwi kwa ngono kwasababu hakuna ushahidi wa hili
Sasa ya nini tuogope kitu ambacho hakina madhara kwetu?
Mkuu ongezea na hofu .....Yaani mkuu kama wengine wangeelewa kama wewe, nisingepata shida yote hii.Wapo wachache wengine wameelewa vizuri sana,lakini ni wachache.Mimi nachotaka ni watu waelewe kile ninachowasilisha tu basi,suala la kukubaliana au kutokukubaliana na yale niliyowasilisha ni uamuzi wa mpokeaji mwenyewe.
Lakini kama mtu ameelewa tu kile nilichosema inatosha.Maana yangu ni kwamba,kama ameelewa lakini hakubaliani na yale niliyoeleza,nina uhakika knowledge hiyo itabaki kichwani kwake na lazima ipo siku itajidhihirisha na atakubaliana nayo bila hata kushawishiwa na mtu mwingine.Shida ya watu wengi ipo kwenye kuelewa nilicho present.Na kizuizi kikubwa kinachofanya watu wengi wasielewe ni UVIVU WA KUSOMA,KASUMBA na HISIA.
ukiachilia mbali ukimwi ,bado kuna magonjwa mengi ya zinaa yanayotokana na ngono zembe, bado kujikinga ni muhimu
Mkuu ongezea na hofu .....
Hofu ni mbaya sana mkuu...
Hili suala la ukimwi nilikuwa nalishtukia tangu siku nyingi sana kuanzia sinema ya Magic Jonson hadi kufikia kwa Thabo Mbeki kuamua kusema ukweli
Hakika Yesu hakukosea aliposema "hakuna lililofichika ambalo halitafunuliwa"....!!
Watanzania ni wavivu wakusoma mkuu...
Mkuu ongezea na hofu .....
Hofu ni mbaya sana mkuu...
Hili suala la ukimwi nilikuwa nalishtukia tangu siku nyingi sana kuanzia sinema ya Magic Jonson hadi kufikia kwa Thabo Mbeki kuamua kusema ukweli
Hakika Yesu hakukosea aliposema "hakuna lililofichika ambalo halitafunuliwa"....!!
Yaa nilii bypass hofu mkuu.Hofu ni shauri nyingine.Kwa mfano unaweza kumchukua mtu yeyote aliyekubali mambo yote niliyosema na akaamini kabisa.Lakini mwambie njoo tukudunge damu ya mtu mwenye HIV uone balaa lake,ha ha haaa kweli hofu ni balaa.
Halafu kuna mtu ali pop up na stori yake ya Magic Johnson hapa halafu katoweka,anaweza kuja tena kuchafua uzi baadaye sana wakati watu wameshafika mbali.Yaani ana pop anakimbia,ana pop anakimbia,inachekesha sana,lakini pia inahuzunisha kuona watu ni wazito sana kusikiliza au kusoma mambo tofauti na yale waliyoyazoea.
Kama ulivyosema,watu kama hawa kwa kusoma vitabu vya hadithi hawajambo,siku 7 anamaliza vitabu 7,si mbaya ni burudani,kila mtu ana burudani yake,lakini ni muhimu pia kufuatilia masuala ya msingi katika afya zetu.