Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?


HIV/AIDS nahisi ni mpango wa biashara ya ARVs na Condoms..
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma hii topic kwa muda mrefu bila kuchangia chochote, sasa ni muda muafaka nami nichangie.

U = Upungufu wa
KI = Kinga
MWI = Mwilini

Swali:
Upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na nini?

Je! Unasababishwa na HIV?

Je! Unasababishwa na malnutrition?

Upungufu wa Kinga MWIlini Unaambukizwa?
 
dawa yake ni mlo kamili ila epuka kula nyama na vyakula vya kusindika.kula matunda masaa mawili kabla ya kula au baada.
 

Hawa jamaa wanatupa hofu kumbe hata kumbe HIV(feki) hata hasababishi UKIMWI...

Wanatengeneza tatizo halafu wanaanza kuuza midawa yao...

Nimeona madaktari wamekuja wamepanic wameshindwa kujibu hoja...
 

Mbona haya yote yameshajibiwa, hata TB inaweza sababisha huo upungufu wa kinga, ila unatibika ukishafanyia chanzo cha upungufu wa kinga...
 

Mkuu hilo jambo ni tofauti kabisa, Ni somo jipya. Damu ya mtoto huwa haihusiani kabisa kabisa na damu ya mama. Ndio maana group ya damu ya mtoto inaweza kutofautiana na ya mama.
 

Madaktari wanasema ni mpango wa Mungu...
 

Hakuna direct connection ya damu kati ya mama na mtoto wakati wa mimba.Ila kuna interaction fulani ambayo ni complicated kidogo kati ya mama na mtoto wakati wa mimba ambayo ndio inahusika kumfanya mtoto apate maambukizi ya HIV kutoka kwa mama yake kama mama yake ana HIV.

NOTE/ANGALIZO;
Maneno hayo hapo juu ni valid tu kama kweli HIV anayepimwa kwenye vipimo wanavyotumia is real.

Sasa tuchukulie HIV is real.Ukichukulia HIV is real swali lako lina mashiko sana,ila jibu la madaktari watakwambia kwamba mtoto hakupata maambukizi kwa kuwa mama yake alikuwa anatumia ARVs hivyo viroload/kiwango cha virusi ni ndogo hivyo ni vigumu mtoto kuambukizwa.Lakini wanasahau kwamba kuna kina mama wamepimwa HIV+ na hawatumii ARVs lakini watoto wamezaliwa bila HIV,hapa nako watajibu kwamba hata kama mama hatumii ARVs bado chance ni ndgo mtoto kuambukizwa ambayo ni 25% kama mama hatumii ARVs.Lakini pia hawazungumzii watoto waliozaliwa na huyu HIV hata kama mama zao walikuwa wanatumia ARVs.

Ukweli ni kwamba HIV wa kwenye vipimo vyao ni wa kufikirika.Ndio maana kuna mikanganyiko mingi sana.Na hata wenyewe wanajua hivyo,na wanajua kwamba kwa kuwa huu ni uongo,hivyo specifically kwa suala hili la mama na mtoto kuna uwezekano mkubwa watu wakaanza kuwa na mashaka na kupoteza imani zao kuhusu ugonjwa huu.Na hii ndio sababu mojawapo iliyowafanya waanzishe sheria ya kulazimisha mama wajawazito wapime HIV kwa lazima kwa kisingizio eti wanatupeeenda saaana ili kama mama ni HIV+ waanze kumpa ARVs ili wanusuru maisha yake na ya mtoto atakayezaliwa,ili sisi tukiona mtoto kazaliwa bila HIV basi tujue kwamba ARVs alizotumia mama ndizo zimemuokoa mtoto na maambukizi ilihali watoto wanazaliwa ki asilia kabisa bila maambukizi hata kama mama zao hawatumii ARVs.

Hawa jamaa wana majibu ya kila swali tata watakaloulizwa,na masuala mengine tata ambayo hawana majibu yake wanaendelea kuyatafutia majibu ya kufoji.Hawa ni watu wabaya sana kwa kweli lakini sisi tunawaona kwamba ndio weeema saaana,eti wanatupenda sana kuliko sisi tunavyojipenda wenyewe.Kama wanatupenda sana kwa nini haohao wanaomiliki viwanda hivi vya madawa ndio haohao wanaua watu wasio na hatia kwenye vita ya Iraq,Siria,Afghanistan na kwingineko?
 
Mkuu kunasehemu umenichanganya, umesema kwa wanaotumia hizo ARV's ndio hupata Ukimwi, je wakishaupata hawawezi kuuambukiza? Kama hawawezi kwakuwa wameshapa ugonjwa je ugonjwa huo (ukimwi) utakuwa unaambukizwa kwa njia gani? Je baada ya mgonjwa wa ukimwi kuupata kutokana na maelezo yako akipimwa ili uonekane atapimwa sampuli gani? damu, mate, choo, mkojo, au nini?
 

Kiukweli nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa tu naendelea kufatilia mada kwa karibu sana
 
Nimetafakari sana kuhusu upungufu wa kinga mwilini

MTU akiwa na kansa kinga ya mwili inashuka
MTU akiwa na tb pia kinga ya mwili inashuka maana yake anakuwa na upungufu wa kinga mwilini lakini hana HIV

Naamini upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na magonjwa au malnutrition hivyo kama MTU akitibiwa hayo magonjwa na akapata lishe bora basi kinga ya mwili itapanda na mwili utakuwa na afya bora

My take;ni bora kutibia magonjwa husika na kupata lishe bora kuliko kuhangaika na ARV ambazo zinadaiwa kufubaza hicho wanachoita HIV badala ya kutibu magonjwa nyemelezi..

Ni mtazamo tu,wakuu msijenge chuki haya mawazo tu!!
 
Jiambie mwenyewe ukimwi upo kwako siokwetu. Jeshi la nchi fulani linapovamia nchi nyingine na maafa vifo, majeruhi njaa na mengineyo kutokea ni nini hutangulia kati ya vita na huduma za kifya chakula na mengineyo? Watu hujipanga, tunasababisha hichi ili tufanikishe hichi, hii hainatofauti na kusababisha vita ili kuuza silaha.
 
huu uzi ni muhimu sana kwa taifa na dunia kwa ujumla, binafsi Deception nilishamuelewa kitambo sana kwenye nyuzi zingine huko na hapa naongezea tu nyama, ila yuko sahihi kwa kila alichosema mkuu Deception mchango wako ni mkubwa sana ktk hili na umewafungua watu wengi sana.
 
Last edited by a moderator:

Noted.

Mkuu hiyo avatar yako nadhani itakuwa ile movie ya drunken master ya Jack Chan,au nimekosea?Ha ha haaaa...hapo alikuwa anapigana na yule jamaa wenye kichwa kama chuma...he he heee..
 

Haswaaa! hata yule 'mungu' wa watu wanaoamini HIV,yaani yule mgunduzi wa huyo HIV anasema vivyo hivyo kama hapo kwenye nyekundu.
Kinachonishangaza mimi ni kwamba,kwa nini madaktari na watu wengine wanaoamini kwenye HIV wanapingana na 'mungu' wao?
Ama kweli kasumba ni kitu kibaya sana.
 

Wewe unajua sana kuunganisha matukio,safi sana kwa kuuona mlinganyo huo.

1.Wanasingizia HIV feki ili wauze ARVs na madawa ya kuzuia magonjwa nyemelezi.
2.Wanasingizia uzazi wa mpango ili wauze dawa za uzazi wa mpango.
3.Wanasingizia magonjwa ambayo kinga ya mwili inaweza kuyadhibiti ili wauze chanjo.

Halafu ukishatumia madawa ya hapo juu unasababisha magonjwa mengine mwilini kama vile cancer nk.Halafu unakuwa mteja wao tena kwa kuuziwa dawa za magonjwa mengine.Kama umepata cancer,watakuuzia tiba ya cancer ambayo si rahisi ikakuponya kwa kuwa dawa zenyewe za cancer zinasababisha cancer kama zilivyo dawa za kupunguza makali ya ukimwi zinavyosababisha ukimwi.

Ukifuatilia vizuri utagundua kwamba biashara ya HIV/AIDS inaendana sana na biashara ya cancer na zote hizi zinaendana sana na biashara ya kisukari.Kama hatuna uelewa wa kutosha kwenye mambo kama haya tutaendelea kuwa watumwa mpaka mwisho dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…