Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Mpaka kufikia hapa Deception katoa ushahidi kuwa ugonjwa wa ukimwi watu wanaweza kuupata bila sex na wala hautishi kwani dawa yake ni lishe bora

Ushahidi huo hakuna ambae ameweza kuupinga hadi sasa kwa hoja na ushahidi,lakini pia ushahidi huu wa Deception uko back up na kile ambacho kinatokea huku mitaani kwetu kuhusu wanaodaiwa wana ugonjwa uliosababishwa na kijidudu cha HIV,Hakuna maelezo ya kutosha kuelezea huu mgongano ....

Kufikia hapa naweza kusema ukimwi hautishi na wala hauambukizwi kwa ngono kwasababu hakuna ushahidi wa hili

Sasa ya nini tuogope kitu ambacho hakina madhara kwetu?

HIV/AIDS nahisi ni mpango wa biashara ya ARVs na Condoms..
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma hii topic kwa muda mrefu bila kuchangia chochote, sasa ni muda muafaka nami nichangie.

U = Upungufu wa
KI = Kinga
MWI = Mwilini

Swali:
Upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na nini?

Je! Unasababishwa na HIV?

Je! Unasababishwa na malnutrition?

Upungufu wa Kinga MWIlini Unaambukizwa?
 
dawa yake ni mlo kamili ila epuka kula nyama na vyakula vya kusindika.kula matunda masaa mawili kabla ya kula au baada.
 
Mkuu ongezea na hofu .....

Hofu ni mbaya sana mkuu...

Hili suala la ukimwi nilikuwa nalishtukia tangu siku nyingi sana kuanzia sinema ya Magic Jonson hadi kufikia kwa Thabo Mbeki kuamua kusema ukweli

Hakika Yesu hakukosea aliposema "hakuna lililofichika ambalo halitafunuliwa"....!!

Hawa jamaa wanatupa hofu kumbe hata kumbe HIV(feki) hata hasababishi UKIMWI...

Wanatengeneza tatizo halafu wanaanza kuuza midawa yao...

Nimeona madaktari wamekuja wamepanic wameshindwa kujibu hoja...
 
Nimesoma hii topic kwa muda mrefu bila kuchangia chochote, sasa ni muda muafaka nami nichangie.

U = Upungufu wa
KI = Kinga
MWI = Mwilini

Swali:
Upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na nini?

Je! Unasababishwa na HIV?

Je! Unasababishwa na malnutrition?

Upungufu wa Kinga MWIlini Unaambukizwa?

Mbona haya yote yameshajibiwa, hata TB inaweza sababisha huo upungufu wa kinga, ila unatibika ukishafanyia chanzo cha upungufu wa kinga...
 
Kwa thread hii naanza kukubaliana na wewe kama HIV inaambukizwa kwa damu iweje mtoto aliyetumboni kwa mama asipate wakati damu anayozaliwa nayo kaitoa kwa mama mwenye HIV ? Naanza kuelewa sasa naendelea kusoma kwa makini hii mada kama imenigusa sana na kunifundisha nisivovijua

Mkuu hilo jambo ni tofauti kabisa, Ni somo jipya. Damu ya mtoto huwa haihusiani kabisa kabisa na damu ya mama. Ndio maana group ya damu ya mtoto inaweza kutofautiana na ya mama.
 
Kwa thread hii naanza kukubaliana na wewe kama HIV inaambukizwa kwa damu iweje mtoto aliyetumboni kwa mama asipate wakati damu anayozaliwa nayo kaitoa kwa mama mwenye HIV ? Naanza kuelewa sasa naendelea kusoma kwa makini hii mada kama imenigusa sana na kunifundisha nisivovijua

Madaktari wanasema ni mpango wa Mungu...
 
Kwa thread hii naanza kukubaliana na wewe kama HIV inaambukizwa kwa damu iweje mtoto aliyetumboni kwa mama asipate wakati damu anayozaliwa nayo kaitoa kwa mama mwenye HIV ? Naanza kuelewa sasa naendelea kusoma kwa makini hii mada kama imenigusa sana na kunifundisha nisivovijua

Hakuna direct connection ya damu kati ya mama na mtoto wakati wa mimba.Ila kuna interaction fulani ambayo ni complicated kidogo kati ya mama na mtoto wakati wa mimba ambayo ndio inahusika kumfanya mtoto apate maambukizi ya HIV kutoka kwa mama yake kama mama yake ana HIV.

NOTE/ANGALIZO;
Maneno hayo hapo juu ni valid tu kama kweli HIV anayepimwa kwenye vipimo wanavyotumia is real.

Sasa tuchukulie HIV is real.Ukichukulia HIV is real swali lako lina mashiko sana,ila jibu la madaktari watakwambia kwamba mtoto hakupata maambukizi kwa kuwa mama yake alikuwa anatumia ARVs hivyo viroload/kiwango cha virusi ni ndogo hivyo ni vigumu mtoto kuambukizwa.Lakini wanasahau kwamba kuna kina mama wamepimwa HIV+ na hawatumii ARVs lakini watoto wamezaliwa bila HIV,hapa nako watajibu kwamba hata kama mama hatumii ARVs bado chance ni ndgo mtoto kuambukizwa ambayo ni 25% kama mama hatumii ARVs.Lakini pia hawazungumzii watoto waliozaliwa na huyu HIV hata kama mama zao walikuwa wanatumia ARVs.

Ukweli ni kwamba HIV wa kwenye vipimo vyao ni wa kufikirika.Ndio maana kuna mikanganyiko mingi sana.Na hata wenyewe wanajua hivyo,na wanajua kwamba kwa kuwa huu ni uongo,hivyo specifically kwa suala hili la mama na mtoto kuna uwezekano mkubwa watu wakaanza kuwa na mashaka na kupoteza imani zao kuhusu ugonjwa huu.Na hii ndio sababu mojawapo iliyowafanya waanzishe sheria ya kulazimisha mama wajawazito wapime HIV kwa lazima kwa kisingizio eti wanatupeeenda saaana ili kama mama ni HIV+ waanze kumpa ARVs ili wanusuru maisha yake na ya mtoto atakayezaliwa,ili sisi tukiona mtoto kazaliwa bila HIV basi tujue kwamba ARVs alizotumia mama ndizo zimemuokoa mtoto na maambukizi ilihali watoto wanazaliwa ki asilia kabisa bila maambukizi hata kama mama zao hawatumii ARVs.

Hawa jamaa wana majibu ya kila swali tata watakaloulizwa,na masuala mengine tata ambayo hawana majibu yake wanaendelea kuyatafutia majibu ya kufoji.Hawa ni watu wabaya sana kwa kweli lakini sisi tunawaona kwamba ndio weeema saaana,eti wanatupenda sana kuliko sisi tunavyojipenda wenyewe.Kama wanatupenda sana kwa nini haohao wanaomiliki viwanda hivi vya madawa ndio haohao wanaua watu wasio na hatia kwenye vita ya Iraq,Siria,Afghanistan na kwingineko?
 
Ndio maana nikasema kwamba kutokana na ufeki wa ugonjwa huu kuna mikanganyiko mingi sana,we mwenyewe umejionea au kusikia kama ulivyoeleza hapo juu.Maneno yako hapo juu hata wenyewe wanakubali kwamba si rahisi mtoto kuambukizwa na wametoa asilimia 98% kama mama atakula ARVs na 75% kama mama hatakula ARVs kuonesha uwezekano wa mtoto kuepuka maambukizi haya ambayo mimi kwangu ni feki.Hongera kwa kuhoji hilo,maana kujihoji ni mwanzo wa kuelewa ukweli.

Unajua mkuu,hawa jamaa wanajua hii ndio starehe ya watu wengi,na ndio maana wameng'angania kwamba unaambukizwa kwa njia hii kwa kuwa kila mtu akiambiwa anao atakuwa na uwezekano mkubwa kwamba alishawahi kufanya ngono hivyo hata mtu mwenyewe hatapinga akiambiwa kwamba anao.Mkuu wewe furahia maisha tu,wasitufanye tuwe watumwa wa asili yetu.Wanajifanya hao ndio miungu,tumeshabaini ukweli na tuko huru.

Hata ukiwa na manjonjo ya aina gani,fanya mbwembwe zote unazozijua duniani kwenye ngono,huwezi kupata ukimwi/VVU.Kuonekana kwamba una VVU ni matokeo ya vipimo feki na si kwamba kweli una VVU.VVU hayupo kiuhalisia hivyo basi ukimwi hausababishwi na VVU.Fuatilia vizuri post zangu utaelewa au watu kama mavado wanaweza kukusaidia pia.Ukijua sayansi inayotumika katika vipimo vya VVU utajua ukweli uko wapi.Na ndio maana niliwahi kusema kwamba,ukitaka ukimwi uishe,basi watu wasijitokeze kupima VVU,au wagome kabisa kupima VVU na badala yake mtu akiumwa apimwe ugonjwa wake halisi tu na kupewa tiba halisi kama zamani,hapo ukimwi utakuwa umeisha.Lakini kwa kampeni hizi feki za kutuonesha kama vile wanatupenda saaaana na wanajali saaaana maisha yetu,watu watapimwa VVU na vipimo feki,wataonekana VVU+ na hatimaye watapewa dawa za ARVs ambazo ndio hasa zinazosababisha ukimwi kwa wanaozitumia halafu tunamsingizia VVU.Ukijua mtego huu basi utakuwa umejikomboa na janga hili.Njombe wanaongoza kitakwimu kwa VVU/Ukimwi kwa sababu wanajitokeza sana kupima VVU,hawaogopi kupima na kuchukua majibu,hii ndio sababu kubwa na hamna sababu nyingine,lakini kwa mtu anayechukulia mambo kiurahisi hataelewa ninachosema,labda watu kutoka njombe waje kuthibitisha wenyewe hapa.
Mkuu kunasehemu umenichanganya, umesema kwa wanaotumia hizo ARV's ndio hupata Ukimwi, je wakishaupata hawawezi kuuambukiza? Kama hawawezi kwakuwa wameshapa ugonjwa je ugonjwa huo (ukimwi) utakuwa unaambukizwa kwa njia gani? Je baada ya mgonjwa wa ukimwi kuupata kutokana na maelezo yako akipimwa ili uonekane atapimwa sampuli gani? damu, mate, choo, mkojo, au nini?
 
Hakuna direct connection ya damu kati ya mama na mtoto wakati wa mimba.Ila kuna interaction fulani ambayo ni complicated kidogo kati ya mama na mtoto wakati wa mimba ambayo ndio inahusika kumfanya mtoto apate maambukizi ya HIV kutoka kwa mama yake kama mama yake ana HIV.

NOTE/ANGALIZO;
Maneno hayo hapo juu ni valid tu kama kweli HIV anayepimwa kwenye vipimo wanavyotumia is real.

Sasa tuchukulie HIV is real.Ukichukulia HIV is real swali lako lina mashiko sana,ila jibu la madaktari watakwambia kwamba mtoto hakupata maambukizi kwa kuwa mama yake alikuwa anatumia ARVs hivyo viroload/kiwango cha virusi ni ndogo hivyo ni vigumu mtoto kuambukizwa.Lakini wanasahau kwamba kuna kina mama wamepimwa HIV+ na hawatumii ARVs lakini watoto wamezaliwa bila HIV,hapa nako watajibu kwamba hata kama mama hatumii ARVs bado chance ni ndgo mtoto kuambukizwa ambayo ni 25% kama mama hatumii ARVs.Lakini pia hawazungumzii watoto waliozaliwa na huyu HIV hata kama mama zao walikuwa wanatumia ARVs.

Ukweli ni kwamba HIV wa kwenye vipimo vyao ni wa kufikirika.Ndio maana kuna mikanganyiko mingi sana.Na hata wenyewe wanajua hivyo,na wanajua kwamba kwa kuwa huu ni uongo,hivyo specifically kwa suala hili la mama na mtoto kuna uwezekano mkubwa watu wakaanza kuwa na mashaka na kupoteza imani zao kuhusu ugonjwa huu.Na hii ndio sababu mojawapo iliyowafanya waanzishe sheria ya kulazimisha mama wajawazito wapime HIV kwa lazima kwa kisingizio eti wanatupeeenda saaana ili kama mama ni HIV+ waanze kumpa ARVs ili wanusuru maisha yake na ya mtoto atakayezaliwa,ili sisi tukiona mtoto kazaliwa bila HIV basi tujue kwamba ARVs alizotumia mama ndizo zimemuokoa mtoto na maambukizi ilihali watoto wanazaliwa ki asilia kabisa bila maambukizi hata kama mama zao hawatumii ARVs.

Hawa jamaa wana majibu ya kila swali tata watakaloulizwa,na masuala mengine tata ambayo hawana majibu yake wanaendelea kuyatafutia majibu ya kufoji.Hawa ni watu wabaya sana kwa kweli lakini sisi tunawaona kwamba ndio weeema saaana,eti wanatupenda sana kuliko sisi tunavyojipenda wenyewe.Kama wanatupenda sana kwa nini haohao wanaomiliki viwanda hivi vya madawa ndio haohao wanaua watu wasio na hatia kwenye vita ya Iraq,Siria,Afghanistan na kwingineko?

Kiukweli nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa tu naendelea kufatilia mada kwa karibu sana
 
Nimetafakari sana kuhusu upungufu wa kinga mwilini

MTU akiwa na kansa kinga ya mwili inashuka
MTU akiwa na tb pia kinga ya mwili inashuka maana yake anakuwa na upungufu wa kinga mwilini lakini hana HIV

Naamini upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na magonjwa au malnutrition hivyo kama MTU akitibiwa hayo magonjwa na akapata lishe bora basi kinga ya mwili itapanda na mwili utakuwa na afya bora

My take;ni bora kutibia magonjwa husika na kupata lishe bora kuliko kuhangaika na ARV ambazo zinadaiwa kufubaza hicho wanachoita HIV badala ya kutibu magonjwa nyemelezi..

Ni mtazamo tu,wakuu msijenge chuki haya mawazo tu!!
 
ey try to get serious.... mi naona unapotosha watu tu na theory zako!!!

* HIV/AIDS Imeanza kuingia kabla hata ya ARVs kuuzwa, unavosema kuwa HIV/AIDS ni mradi wa kuuza ARVs unakosea sana.... ingeku hivyo basi ARVs zingekuja zamani sana pamoja na ugonjwa huo

* HIV/AIDS inasababishwa na ARVs.... seriously!??? wangapi ambao hawajaanza hata kutumia hizo dawa na tiari wanaugua ukimwi, haya tuseme vipimo ni fake hawana huo ukimwi then ni ugonjwa gani unaowadhoofisha mpaka kufa ambao bado hauna jina na ni nini dawa ya huo ugonjwa...

ukimwi upo jamani, acheni siasa kwenye mambo ya msingi
Jiambie mwenyewe ukimwi upo kwako siokwetu. Jeshi la nchi fulani linapovamia nchi nyingine na maafa vifo, majeruhi njaa na mengineyo kutokea ni nini hutangulia kati ya vita na huduma za kifya chakula na mengineyo? Watu hujipanga, tunasababisha hichi ili tufanikishe hichi, hii hainatofauti na kusababisha vita ili kuuza silaha.
 
huu uzi ni muhimu sana kwa taifa na dunia kwa ujumla, binafsi Deception nilishamuelewa kitambo sana kwenye nyuzi zingine huko na hapa naongezea tu nyama, ila yuko sahihi kwa kila alichosema mkuu Deception mchango wako ni mkubwa sana ktk hili na umewafungua watu wengi sana.
 
Noted.

Mkuu hiyo avatar yako nadhani itakuwa ile movie ya drunken master ya Jack Chan,au nimekosea?Ha ha haaaa...hapo alikuwa anapigana na yule jamaa wenye kichwa kama chuma...he he heee..
 
Nimetafakari sana kuhusu upungufu wa kinga mwilini

MTU akiwa na kansa kinga ya mwili inashuka
MTU akiwa na tb pia kinga ya mwili inashuka maana yake anakuwa na upungufu wa kinga mwilini lakini hana HIV

Naamini upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na magonjwa au malnutrition hivyo kama MTU akitibiwa hayo magonjwa na akapata lishe bora basi kinga ya mwili itapanda na mwili utakuwa na afya bora

My take;ni bora kutibia magonjwa husika na kupata lishe bora kuliko kuhangaika na ARV ambazo zinadaiwa kufubaza hicho wanachoita HIV badala ya kutibu magonjwa nyemelezi..

Ni mtazamo tu,wakuu msijenge chuki haya mawazo tu!!

Haswaaa! hata yule 'mungu' wa watu wanaoamini HIV,yaani yule mgunduzi wa huyo HIV anasema vivyo hivyo kama hapo kwenye nyekundu.
Kinachonishangaza mimi ni kwamba,kwa nini madaktari na watu wengine wanaoamini kwenye HIV wanapingana na 'mungu' wao?
Ama kweli kasumba ni kitu kibaya sana.
 
Jiambie mwenyewe ukimwi upo kwako siokwetu. Jeshi la nchi fulani linapovamia nchi nyingine na maafa vifo, majeruhi njaa na mengineyo kutokea ni nini hutangulia kati ya vita na huduma za kifya chakula na mengineyo? Watu hujipanga, tunasababisha hichi ili tufanikishe hichi, hii hainatofauti na kusababisha vita ili kuuza silaha.

Wewe unajua sana kuunganisha matukio,safi sana kwa kuuona mlinganyo huo.

1.Wanasingizia HIV feki ili wauze ARVs na madawa ya kuzuia magonjwa nyemelezi.
2.Wanasingizia uzazi wa mpango ili wauze dawa za uzazi wa mpango.
3.Wanasingizia magonjwa ambayo kinga ya mwili inaweza kuyadhibiti ili wauze chanjo.

Halafu ukishatumia madawa ya hapo juu unasababisha magonjwa mengine mwilini kama vile cancer nk.Halafu unakuwa mteja wao tena kwa kuuziwa dawa za magonjwa mengine.Kama umepata cancer,watakuuzia tiba ya cancer ambayo si rahisi ikakuponya kwa kuwa dawa zenyewe za cancer zinasababisha cancer kama zilivyo dawa za kupunguza makali ya ukimwi zinavyosababisha ukimwi.

Ukifuatilia vizuri utagundua kwamba biashara ya HIV/AIDS inaendana sana na biashara ya cancer na zote hizi zinaendana sana na biashara ya kisukari.Kama hatuna uelewa wa kutosha kwenye mambo kama haya tutaendelea kuwa watumwa mpaka mwisho dunia.
 
Back
Top Bottom