Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Unajua dawa zinakuwa metabolized kwa njia gani? MADAWA YOTE YANAPITIA KWENYE INI!Nikikupa list ya dawa zinazoweza kusababisha liver toxicity hutokula hata aspirini ukiumwa na jino au anti-malarias rafiki.Toafutisha Kunywa NA na Kunywa Dawa Yenyewe bila NA... Sasa Jamaa Alisema TDF zenyewe bila NA zinasababisha Liver problem
Nimependa hii ha ha ha!Umenifurahisha Dr.
Hakuna dawa isiyokuwa na side effects elewa nilichosema....kaishi miaka 12 ni dawa zimemrefushia maisha....Unadhani asingekula dawa angeishi miaka mingapi?Kwani dhumuni la dawa za ukimwi ni nini?Kuwapa watu side effects ili wafe haraka ama?ndicho unachojaribu kuproclaim??Doctor acha masikhara hujawah kukutana na mgonjwa akakueleza side effects za ARVs?
Mbona kwenye hizo dawa karatasi ya instruction ndan imeeleza kuwa zinaweza kuleta side effects na ni kwel hzo effects zinawapata wanaotumia.
Nna ndugu yangu alitumia hizo dawa almost 12 years mwishon kila kitu kwenye mwili wake kilifel ,mapafu ,ini,figo vyote vilifeli .
Chunguza kwa makini hao wagonjwa wako utajua wanapata effects gani kutokana na hizo dawa
Unaonaje ujitoe mhanga mr Deception ka alivyosuggest retroviridae tupate vithibitisho kuhusu maneno yako?Dr. za siku nyingi,nimeku miss sana.Lakini natumaini uko safi;
Dr.unaonaje na lile jibu nililompa jamaa kwenye hayo maswali yake,Je,limekufurahisha?
Hana majibu ndio maana anaspeculate hana evidence yoyote na anayoyasema ameamka tu kaanza kunadi Ukimwi hauexist ili auwe maelfu ya watu watakaomuamini.Sijui mtu utaishije na such guilty conscious dah its sad na nikiona watu wanavyomuamini nasikitika tu!!!
Unaonaje ujitoe mhanga mr Deception ka alivyosuggest retroviridae tupate vithibitisho kuhusu maneno yako?
Hakuna dawa isiyokuwa na side effects elewa nilichosema....kaishi miaka 12 ni dawa zimemrefushia maisha....Unadhani asingekula dawa angeishi miaka mingapi?Kwani dhumuni la dawa za ukimwi ni nini?Kuwapa watu side effects ili wafe haraka ama?ndicho unachojaribu kuproclaim??
Kila daktari anayeleta hoja hapa wote mnamuandama...Mmeshaamua kumuamini mr Deception!Mnaamini blah blah zake.WATANZANIA NDIO MAANA HATUENDELEI AND THIS IS WHY!!!huyo Deception anaulizwa maswali mengi lakini anazunguka mbuyu tu.Njoo ututhibitishie basi ukweli unaoujua wewe daktari, upo tayar kuona watu wanadanganywa wakati wewe upo na unaujua ukweli? Do something ili tuepuke huu uongo kama unavyodai, ila ukija bila hoja ya msingi, its no help
Unaonaje ujitoe mhanga mr Deception ka alivyosuggest retroviridae tupate vithibitisho kuhusu maneno yako?
Hana majibu ndio maana anaspeculate hana evidence yoyote na anayoyasema ameamka tu kaanza kunadi Ukimwi hauexist ili auwe maelfu ya watu watakaomuamini.Sijui mtu utaishije na such guilty conscious dah its sad na nikiona watu wanavyomuamini nasikitika tu!!!
Zamani watu wakila mitishamba kwasababu hakukuwa na advanced technology ya madawa.Na dawa nyingi zinatokea kwenye mimea ila zinakuwa synthethized na kuwekwa ingredients nyingine ili ziwe madhubuti zaidi.Au zinakuwa semi synthesized.Kwani we ulifikiri dawa inatokea wapi warumi?Khaa? Seriously? Kumbe mnajua kuwa zina madhara so why muendelee kuwapa watu? Kwa nini wasitafute njia mbadala ili watu waepuke na hayo madhara ya madawa? USijibu majibu mepesi dokta kwenye ishu nzito kama hii, go deep tufafanulie
Hakuna dawa isiyokuwa na side effects elewa nilichosema....kaishi miaka 12 ni dawa zimemrefushia maisha....Unadhani asingekula dawa angeishi miaka mingapi?Kwani dhumuni la dawa za ukimwi ni nini?Kuwapa watu side effects ili wafe haraka ama?ndicho unachojaribu kuproclaim??
Yeye ndo anayepinga kama ukimwi haupo ndo ajitoe tuthibitishe mimi NASEMA UKIMWI UPO NA UNAUA NA UKIAMINI HAUPO NA UNAKUNYWA JUISI YA MAEMBE NAKUSHESABIA SIKU ZA KUISHI!!Your argument are so cheap doctor, is that all what you can ask? Kwa nini usituthibitishie wewe daktari uliyesoma kuhusu unayoyapinga? Kwa nn na wewe usituletee vithibitisho vyako vya kumpinga Deception? Vinginevyo apa sioni hoja yeyote, mara mia deception katupa ushahid kutoka kwa wataalamu wenyewe waliogundua ukimwi, je nyie madaktari mna hoja gani ya kisayansi ya kumpinga?
Hana majibu ndio maana anaspeculate hana evidence yoyote na anayoyasema ameamka tu kaanza kunadi Ukimwi hauexist ili auwe maelfu ya watu watakaomuamini.Sijui mtu utaishije na such guilty conscious dah its sad na nikiona watu wanavyomuamini nasikitika tu!!!
Nilete ushahidi mara ngapi wewe acha kujitoa faham!!Vithibitisho viletewe mara ngapi?Huyo deception kaleta vithibitisho gani vya kisayansi hapa zaidi ya speculatons?Hakuna dawa isiyokuwa na side effects, nani asiyejua? Please doctor be a professional, ni bora uendelee kukaa kimya kuliko kuendelea kuiaibisha taaluma yako na wewe mwenyewe, kama wewe daktari umeshindwa kuja na uthibitisho wa kisayansi, ataweza Deception ambaye sio dokta kama wewe? Wewe ushahid wako uko wapi ili tukuamini wewe?
we endelea kumuamini Deception ka alivyosema definition amekupa sumu yake looolTupe evidence zako basi daktari, vinginevyo usiendelee kupoteza muda, kama wewe daktari unashindwa kuja na ushahid wa kidaktari unadhan tutakuamini?
Ndio wanachosema hivo hakuna kirusi anayeitwa ukimwi sasa sijui hakuna virusi kabisa maana wapo wengi teh......Kuna kichocho naona :becky:
Nimependa hii ha ha ha!Umenifurahisha Dr.
Yah mimi sijielewi na wanasayansi wote wanaopigana kuhusiana na vita ya ukimwi hawajielewi,wanaoresearch kutengeneza dawa ya kuua virusi hawajielewi....mnajielewa nyie wakina warumi au unaonaje??Halafu ka ulikuwa ukinisubiria ha ha ha nimekuja tu nawe umezuka looool mabwakuNa sisi tungependa zaidi ungekuja na urhibitisho wako ili tukuamini, vinginevyo nakuona shabiki tu usiyejielewa (samahani )