Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Toafutisha Kunywa NA na Kunywa Dawa Yenyewe bila NA... Sasa Jamaa Alisema TDF zenyewe bila NA zinasababisha Liver problem
Unajua dawa zinakuwa metabolized kwa njia gani? MADAWA YOTE YANAPITIA KWENYE INI!Nikikupa list ya dawa zinazoweza kusababisha liver toxicity hutokula hata aspirini ukiumwa na jino au anti-malarias rafiki.
 
Doctor acha masikhara hujawah kukutana na mgonjwa akakueleza side effects za ARVs?
Mbona kwenye hizo dawa karatasi ya instruction ndan imeeleza kuwa zinaweza kuleta side effects na ni kwel hzo effects zinawapata wanaotumia.

Nna ndugu yangu alitumia hizo dawa almost 12 years mwishon kila kitu kwenye mwili wake kilifel ,mapafu ,ini,figo vyote vilifeli .
Chunguza kwa makini hao wagonjwa wako utajua wanapata effects gani kutokana na hizo dawa
Hakuna dawa isiyokuwa na side effects elewa nilichosema....kaishi miaka 12 ni dawa zimemrefushia maisha....Unadhani asingekula dawa angeishi miaka mingapi?Kwani dhumuni la dawa za ukimwi ni nini?Kuwapa watu side effects ili wafe haraka ama?ndicho unachojaribu kuproclaim??
 
Hana majibu ndio maana anaspeculate hana evidence yoyote na anayoyasema ameamka tu kaanza kunadi Ukimwi hauexist ili auwe maelfu ya watu watakaomuamini.Sijui mtu utaishije na such guilty conscious dah its sad na nikiona watu wanavyomuamini nasikitika tu!!!

Njoo ututhibitishie basi ukweli unaoujua wewe daktari, upo tayar kuona watu wanadanganywa wakati wewe upo na unaujua ukweli? Do something ili tuepuke huu uongo kama unavyodai, ila ukija bila hoja ya msingi, its no help
 
Unaonaje ujitoe mhanga mr Deception ka alivyosuggest retroviridae tupate vithibitisho kuhusu maneno yako?

Naona umekuja kwa kasi mpya, ila bado hatujaona hoja zenye mashiko zaidi ya kubisha tu kama ambavyo mtu ambaye sio daktar anaweza kubisha, tufafanulie kiundani unavyojua wewe
 
Last edited by a moderator:
Hakuna dawa isiyokuwa na side effects elewa nilichosema....kaishi miaka 12 ni dawa zimemrefushia maisha....Unadhani asingekula dawa angeishi miaka mingapi?Kwani dhumuni la dawa za ukimwi ni nini?Kuwapa watu side effects ili wafe haraka ama?ndicho unachojaribu kuproclaim??

Khaa? Seriously? Kumbe mnajua kuwa zina madhara so why muendelee kuwapa watu? Kwa nini wasitafute njia mbadala ili watu waepuke na hayo madhara ya madawa? USijibu majibu mepesi dokta kwenye ishu nzito kama hii, go deep tufafanulie
 
Njoo ututhibitishie basi ukweli unaoujua wewe daktari, upo tayar kuona watu wanadanganywa wakati wewe upo na unaujua ukweli? Do something ili tuepuke huu uongo kama unavyodai, ila ukija bila hoja ya msingi, its no help
Kila daktari anayeleta hoja hapa wote mnamuandama...Mmeshaamua kumuamini mr Deception!Mnaamini blah blah zake.WATANZANIA NDIO MAANA HATUENDELEI AND THIS IS WHY!!!huyo Deception anaulizwa maswali mengi lakini anazunguka mbuyu tu.
 
Last edited by a moderator:
Unaonaje ujitoe mhanga mr Deception ka alivyosuggest retroviridae tupate vithibitisho kuhusu maneno yako?

Your argument are so cheap doctor, is that all what you can ask? Kwa nini usituthibitishie wewe daktari uliyesoma kuhusu unayoyapinga? Kwa nn na wewe usituletee vithibitisho vyako vya kumpinga Deception? Vinginevyo apa sioni hoja yeyote, mara mia deception katupa ushahid kutoka kwa wataalamu wenyewe waliogundua ukimwi, je nyie madaktari mna hoja gani ya kisayansi ya kumpinga?
 
Last edited by a moderator:
Hana majibu ndio maana anaspeculate hana evidence yoyote na anayoyasema ameamka tu kaanza kunadi Ukimwi hauexist ili auwe maelfu ya watu watakaomuamini.Sijui mtu utaishije na such guilty conscious dah its sad na nikiona watu wanavyomuamini nasikitika tu!!!

Dr.niliwahi kukurekebisha lakini nadhani bado hujagundua,nafikiri kwa sababu ya bias,lakini usijali,ni ubinadamu tu;

Mimi sikuwahi kusema kwamba ukimwi haupo,nilisema kwamba hakuna ukimwi unaosababishwa na HIV/VVU.Hivyo hoja zetu zilitakiwa ziegemee hapo.Nadhani sasa umenielewa.Ukimwi na VVU/Ukimwi ni mambo mawili tofauti,umeelewa sasa?

Haya twende hoja nyingine;

Hao unaowaheshimu wewe kwamba ndio wanajali maisha yetu na wale wanaopinga unaowadharau kwamba ndio hawajali maisha yetu ni kinyume chake.Huwezi kutambua hili mpaka uondoe utongo kwenye macho yako.Hebu jiulize,wale wanaopinga wanapata faida gani?Vipi kuhusu wanaotetea,obviously tunajua wanafaidika kwa kuendelea kuuza dawa za ARVs na zinazoendana nazo.Je,unajua wanapata jumla ya dola ngapi kwa mwaka kwa kuuza ARVs ambazo bado hazitibu chochote?

Na pia je,unajua kwamba ARVs zinaua watu wengi na zinaendelea kuua hadi muda huu tunaoongea?Unajua hilo?Huoni kama mimi napigania maisha ya watu hapa?

Mimi naweza kuthibitisha kwamba ARVs ndizo zinazoua,je,wewe unaweza kuthibitisha kwamba ARVs haziui?

Mbona Dr.unapenda kujadili hoja nyepesi sana halafu zile nzito unaziruka?Kwa nini?

Ushauri:
Ni jukumu lako kupinga,lakini ninakuomba,hata kama unaendelea kupinga lakini jaribu kufanya utafiti kuchunguza hili jambo.Wewe ni mtu unayetegemewa na jamii.Ni vizuri unaposikia jambo kama hili kulifanyia utafiti.Ukijua upande wa pili wa suala hili hata uwezo wako wa kuhudumia wagonjwa utakuwa mkubwa kuliko madaktari wa kawaida.
Ni ushauri tu.
 
Khaa? Seriously? Kumbe mnajua kuwa zina madhara so why muendelee kuwapa watu? Kwa nini wasitafute njia mbadala ili watu waepuke na hayo madhara ya madawa? USijibu majibu mepesi dokta kwenye ishu nzito kama hii, go deep tufafanulie
Zamani watu wakila mitishamba kwasababu hakukuwa na advanced technology ya madawa.Na dawa nyingi zinatokea kwenye mimea ila zinakuwa synthethized na kuwekwa ingredients nyingine ili ziwe madhubuti zaidi.Au zinakuwa semi synthesized.Kwani we ulifikiri dawa inatokea wapi warumi?
 
Last edited by a moderator:
Hakuna dawa isiyokuwa na side effects elewa nilichosema....kaishi miaka 12 ni dawa zimemrefushia maisha....Unadhani asingekula dawa angeishi miaka mingapi?Kwani dhumuni la dawa za ukimwi ni nini?Kuwapa watu side effects ili wafe haraka ama?ndicho unachojaribu kuproclaim??

Hakuna dawa isiyokuwa na side effects, nani asiyejua? Please doctor be a professional, ni bora uendelee kukaa kimya kuliko kuendelea kuiaibisha taaluma yako na wewe mwenyewe, kama wewe daktari umeshindwa kuja na uthibitisho wa kisayansi, ataweza Deception ambaye sio dokta kama wewe? Wewe ushahid wako uko wapi ili tukuamini wewe?
 
Last edited by a moderator:
Your argument are so cheap doctor, is that all what you can ask? Kwa nini usituthibitishie wewe daktari uliyesoma kuhusu unayoyapinga? Kwa nn na wewe usituletee vithibitisho vyako vya kumpinga Deception? Vinginevyo apa sioni hoja yeyote, mara mia deception katupa ushahid kutoka kwa wataalamu wenyewe waliogundua ukimwi, je nyie madaktari mna hoja gani ya kisayansi ya kumpinga?
Yeye ndo anayepinga kama ukimwi haupo ndo ajitoe tuthibitishe mimi NASEMA UKIMWI UPO NA UNAUA NA UKIAMINI HAUPO NA UNAKUNYWA JUISI YA MAEMBE NAKUSHESABIA SIKU ZA KUISHI!!
 
Hana majibu ndio maana anaspeculate hana evidence yoyote na anayoyasema ameamka tu kaanza kunadi Ukimwi hauexist ili auwe maelfu ya watu watakaomuamini.Sijui mtu utaishije na such guilty conscious dah its sad na nikiona watu wanavyomuamini nasikitika tu!!!

Tupe evidence zako basi daktari, vinginevyo usiendelee kupoteza muda, kama wewe daktari unashindwa kuja na ushahid wa kidaktari unadhan tutakuamini?
 
Hakuna dawa isiyokuwa na side effects, nani asiyejua? Please doctor be a professional, ni bora uendelee kukaa kimya kuliko kuendelea kuiaibisha taaluma yako na wewe mwenyewe, kama wewe daktari umeshindwa kuja na uthibitisho wa kisayansi, ataweza Deception ambaye sio dokta kama wewe? Wewe ushahid wako uko wapi ili tukuamini wewe?
Nilete ushahidi mara ngapi wewe acha kujitoa faham!!Vithibitisho viletewe mara ngapi?Huyo deception kaleta vithibitisho gani vya kisayansi hapa zaidi ya speculatons?
 
Na sisi tungependa zaidi ungekuja na urhibitisho wako ili tukuamini, vinginevyo nakuona shabiki tu usiyejielewa (samahani )
Yah mimi sijielewi na wanasayansi wote wanaopigana kuhusiana na vita ya ukimwi hawajielewi,wanaoresearch kutengeneza dawa ya kuua virusi hawajielewi....mnajielewa nyie wakina warumi au unaonaje??Halafu ka ulikuwa ukinisubiria ha ha ha nimekuja tu nawe umezuka looool mabwaku
 
Kila daktari anayeleta hoja hapa wote mnamuandama...Mmeshaamua kumuamini mr Deception!Mnaamini blah blah zake.WATANZANIA NDIO MAANA HATUENDELEI AND THIS IS WHY!!!huyo Deception anaulizwa maswali mengi lakini anazunguka mbuyu tu.

You might be right kabisa, ila tatizo lipo kwenu, nyie ndio mnatakiwa mtuelimishe sisi vizur, unadhani kwa nini watu wote humu wengi wanamwamin deception? Nyie hamna hoja kabisa mpo watupu kabisa, hilo ndio tatizo, yani mpo kiushabiki zaidi kuliko kutaka kututoa huu ukungu kwa vielelezo vya kuaminika
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom