Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?


Kaunga balanced diet ni alot of things not just dagaa and so forth kuna mboga za majani kwa wing, matunda ya kutosha antioxidants, mazoezi na kwenye swala la chakula I natakiwa kuangalia namna kinaandaliwa maana kuna watu wanapika mpaka wanapoteza virutubisho vyote kwenye chakula so balanced diet needs be careful kuhusu uandaaji wake pia
 
Afu most of you mnataka 2waoneshe research 2lizofanya zinazo mdisprove uyo dr.peter while nyie reference yenu ni deception ambae amegoogle evidences toka kwenye articles za huyo Dr...

Anyways...mi na wenzangu hapa 2lijitolea kufanya research kwa mkereketwa yeyote anaepinga kwamba HIV haisababishi AIDs kwa manufaa ya wote .. But toka asubui til now sioni mtu yeyote btn nyie mnaoongoza kwa ubishi na matusi aliejitolea kua lab rat
 
Dr.mbona unajichanganya sana?Au sio wewe?
Nimesema antibiotic inafanya kazi kuumua bacteria nyie mnachanganya na vingine lol eti antibiotic inasababisha upungufu wa kinga mwilini lol labda nimekosea kutype unaeza kusoma juu
 

Maelezo mazuri nafikiri gorgeousmimi anafuatilia.
Kwa vile TB ilikuwepo kabla ya hiv kugundulika (sijasema kuwepo), na umesema mtu ambaye kinga yake imepungua (mwenye Upungufu wa KInga MWIlini) basi ndio anaugua TB; kwa maneno mengine unapingana na Dr gorgeousmimi anayesema no HIV no Upungufu wa KInga MWIlini so ni next to imposible kwa mtu kupata TB?
 
Last edited by a moderator:

Personally huo mwandiko wako unanifanya nisikuchukulie serious hata kama una point. Unasomeka kama wale wanaorap au kuimba huku wameweka mkono kwenye sehemu za siri.
Anyway mimi ndicho nilichokuwa nakiomba, mtuwekee hizo scientific papers zinazocrush point zote au baadhi za huyo reknown viroligist
 

Mkuu hakuna mjadala ulio nichekesha kama huu yani mtu anapinga HIV haisababishi UKIMWI! Pengine kuna sehemu hamuelewani..

Watu kwanza wanatakiwa kujua kuwa tunaposema mtu ana UKIMWI ina maana amefika stage ya kuugua kabisa na katika stage hii mtu mwenye virusi vya ukimwi anakuwa ana shambuliwa na kila aina ya magonjwa maana kinga za mwili zinakuwa chini kabisa..na kimsingi anakuwa ana virusi lakini tunasema ana UKIMWI kwa kuwa anakuwa ameanza kuugua na kushambuliwa na kila aina ya Magonjwa kutoka na na upungufu wa kinga ya mwilini!

Pia tunatakiwa kujua si
kila mwenye TB basi ana virusi vya ukimwi.
Minafikiri elimu kuhusu UKIMWI na virusi vya Ukimwi ina hitajika sana maana 70% Ya walio hatari kupata maambukizi ya virusi hawana elimu hiyo kabisa ...na hujidanganya sana!
 

ahaaa lab rat..kama intra muscular ya known serum with HIV +. wame iogopa basi waje tuwaduge ya isolation ya microbacterium tuberclosis ili kuwa thibitishia they are normal flora and nat causative wa kinga mwilini kushuka.....!! wanakuja kuwa threaten disease after <200 CD4.
 

Kuna sehem ambayo Dr. Gorgeousmimi amesema (( no HIV no upungufu Wa kinga mwilini?????)) Nisaidie kuilocate coz siioni mie

Punguzeni ubishi na unafki
 
Last edited by a moderator:
Kuna sehem ambayo Dr. Gorgeousmimi amesema (( no HIV no upungufu Wa kinga mwilini?????)) Nisaidie kuilocate coz siioni mie

Rudi nyuma page mbili amenijibu hivyo. Si yupo apinge tu hapa hapa
 

Yaani mkuu nakushukuru sana kwa kujibu swali hili,big up sana mkuu,hata mimi jibu lako linaniingia akilini.Kumbe mtu anayepata TB huwa kinga yake inakuwa imeshukaaaaa! ok ok.Tuendelee;


Na hapo juu nimekuelewa vizuri sana,yaani umesema wale wenye HIV+ CD4 zao huwa zimeshuka na ndio maana wanapata TB.

Swali:
Vipi kuhusu wale wanaougua TB lakini hawana HIV?
 
You are better than this.
Deception hajasema ukimwi haupo. Amesema hiv ndio fake. Au pengine uelewa wako ni ukimwi = hiv na kwamba nje ya hiv hakuna ukimwi; tuweke sawa

Check hii halafu nitakuwekea alivyojibu
 

mfano nani umesha wahi msikia anaumwa TB ambaye ana HIV+ ebu npe mfano...??
 
Sasa HIV ni fake AIDs ni nini then?Unajua maneno yenu yanawafunga kamba wenyewe!

Kwamba kama HIV ni fake kutakuwaje na Ukimwi. Na more than once ameinterchange hiv na ukimwi mimi nikafikiri ni makosa tu ya kupitiwa kumbe ni synonymous
 

Pengine kama amesema hivi basi ameteleza maana kimsingi si kila mwenye TB ana virusi vya UKIMWI! Mtu anapo fikia stage ya UKIMWI anakuwa ana andamwa na kila aina ya magonjwa na kati ya magonjwa nyemelezi na TB hipo kati yao...lakini kila aina ya Magonjwa humuandama mtu mwenye UKIMWI....!

Lakini tunatakiwa kujua magonjwa hayo yanaweza mpata mtu hata kama hana virusi vya UKIMWI!

Nafikiri kuna sehemu hamuelewani lakini mnaongea lugha moja!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,unajua madaktari hawana uelewa wa kutosha kuhusu nutrition kwa kuwa hawajafundishwa kwa undani.Wanachojua wao ni kwamba karibu kila ugonjwa lazima uupoison.

Too sad umeongea hilo jambo bila kufatilia...
Hebu kafatilie list ya topics wanafunzi mwaka Wa pili wanazosoma na kuzifanyia research mwisho wa semester ya 4
 
mfano nani umesha wahi msikia anaumwa TB ambaye ana HIV+ ebu npe mfano...??

Jamani TB nimeisikia tangu napata akili na I am born in 70s.
Na kulikuwa na wimbo unasema "usivute sigara utapata TB..". Nakumbuka mama alikuwa ananikataza kuimba huu wimbo baba akiwepo maana alikuwa anavuta sigara.
Tell me about mkanda wa jeshi. Nao si wanasema kinga ikishuka ndio unaibuka just like tb? Na wenyewe haukuwepo kabla?
Au HIV alikuwepo back then but was not known to science?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…