Kuna binamu yangu yeye kilichomlaza ni maumivu ya kwenye uti wa mgongo. Wakasema ana sijui fungus kwenye uti wa mgongo na/au TB. Wakampima wakamkuta ni HIV+. Tukapewa mlundo wa madawa hadi nurse mmoja akatushauri tusimpe yote ila hatukumfuata maana tuliamini Dr anajua zaidi ya nurse. 4 days later he passed away. Alikuwa na watoto wawili kwa mama 2 tofauti, watoto wote walifariki wakiwa HIV+. Mmoja pnemounia mwingine fungal infection. Mkewe yuko kwenye arv baada ya yeye kuwa positive. Hapo niambie hiv is not real and not infectious. Usinipe habari za nutrition maana walikuwa wanakaa mwanza kwenye samaki, dagaa na majani ya kutosha. Uchumi wa kati
Kaunga balanced diet ni alot of things not just dagaa and so forth kuna mboga za majani kwa wing, matunda ya kutosha antioxidants, mazoezi na kwenye swala la chakula I natakiwa kuangalia namna kinaandaliwa maana kuna watu wanapika mpaka wanapoteza virutubisho vyote kwenye chakula so balanced diet needs be careful kuhusu uandaaji wake pia