Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Kuna binamu yangu yeye kilichomlaza ni maumivu ya kwenye uti wa mgongo. Wakasema ana sijui fungus kwenye uti wa mgongo na/au TB. Wakampima wakamkuta ni HIV+. Tukapewa mlundo wa madawa hadi nurse mmoja akatushauri tusimpe yote ila hatukumfuata maana tuliamini Dr anajua zaidi ya nurse. 4 days later he passed away. Alikuwa na watoto wawili kwa mama 2 tofauti, watoto wote walifariki wakiwa HIV+. Mmoja pnemounia mwingine fungal infection. Mkewe yuko kwenye arv baada ya yeye kuwa positive. Hapo niambie hiv is not real and not infectious. Usinipe habari za nutrition maana walikuwa wanakaa mwanza kwenye samaki, dagaa na majani ya kutosha. Uchumi wa kati

Kaunga balanced diet ni alot of things not just dagaa and so forth kuna mboga za majani kwa wing, matunda ya kutosha antioxidants, mazoezi na kwenye swala la chakula I natakiwa kuangalia namna kinaandaliwa maana kuna watu wanapika mpaka wanapoteza virutubisho vyote kwenye chakula so balanced diet needs be careful kuhusu uandaaji wake pia
 
Afu most of you mnataka 2waoneshe research 2lizofanya zinazo mdisprove uyo dr.peter while nyie reference yenu ni deception ambae amegoogle evidences toka kwenye articles za huyo Dr...

Anyways...mi na wenzangu hapa 2lijitolea kufanya research kwa mkereketwa yeyote anaepinga kwamba HIV haisababishi AIDs kwa manufaa ya wote .. But toka asubui til now sioni mtu yeyote btn nyie mnaoongoza kwa ubishi na matusi aliejitolea kua lab rat
 
Dr.mbona unajichanganya sana?Au sio wewe?
Nimesema antibiotic inafanya kazi kuumua bacteria nyie mnachanganya na vingine lol eti antibiotic inasababisha upungufu wa kinga mwilini lol labda nimekosea kutype unaeza kusoma juu
 
labda nisaidie jibu hili swali...!
nikwamba hali hii inatokana na swala la upungufu wa kinga mwilini niki maanisha kwamba mtu alie na kinga pungufu mwilini(cd4) ndiye atakaye pata TB(tuberclosis) ila kwa asye na upungufu wa kinga mwilini hawezi pata maambukizi ya TB...kwasababu kinga zake ziko vzuri

kuku thibitishia hili nakupa mechanism kidogo ya circle ya Microbacterium tuberclosis wanavyo mpata mtu adi jnsi anavyo kuwa infected.....M.tuberclosis ni normal flora(wadudu wasiyo na madhara) waishio kwenye ngozi ya binadamu na kwenye hewa hii ni kwasababu they are Anaerobic huweza kumpata mtu through inhalation ya air droplets from an infected individual ivyo basi kwakuwa ni anaerobic hukimbilia moja kwa moja kwenye mapafu(simanishi kuwa M.tuberclosis wana shambulia only upper pulmonary) wakiingia mwilini immune system huwatambua kama infected micro organism ivyo kinacho fanyika cells ambazo zko responsble kwajili yaku wazuia ni Microcytes ambazo moja kwa moja huenda kuzi enguf(phagocytosis..kuzimeza) TB ...kinacho fanyika ni kwamba m.tuberclosis bado wanakuwa hai ndani ya hiyo macrocytes ivyo CD4&cd8 znakuja saidia ku activw enzymes ambao wapo juu ya macrocytes ku release Toxic ambayo huzi angamiza M.tuberclosis ivyo basi iwapo mtu atakuwa na HIV+ cd4 zake ztashuka na ikimbukwe kuwa kutokana na process tajwa hapo juu m.tuberclosis(TB) wapo kwenye hewa ivyo asilimia 90% ya watu wote kila mtu anao tb ivyo baso immune system yako ikishuka kutakuwa amna destructipn tena ya hao Tb na ndiyo maana unakuta karbu kila HIV+ anayo TB...hii ni the same way with other OP(magonjwa nyemelezi) yote yapo mwilini mfano Candidias (fungi) wapo kwenye genital area ya mwanamke ila hawana madhara mpaka Cd4 zako ztakapo shuka....nafkiri utakuwa umenielewa kwanini watu wengine wanaweza ambukizwa TB na wengine hawawezi..!!

Maelezo mazuri nafikiri gorgeousmimi anafuatilia.
Kwa vile TB ilikuwepo kabla ya hiv kugundulika (sijasema kuwepo), na umesema mtu ambaye kinga yake imepungua (mwenye Upungufu wa KInga MWIlini) basi ndio anaugua TB; kwa maneno mengine unapingana na Dr gorgeousmimi anayesema no HIV no Upungufu wa KInga MWIlini so ni next to imposible kwa mtu kupata TB?
 
Last edited by a moderator:
Afu most of you mnataka 2waoneshe research 2lizofanya zinazo mdisprove uyo dr.peter while nyie reference yenu ni deception ambae amegoogle evidences toka kwenye articles za huyo Dr...

Anyways...mi na wenzangu hapa 2lijitolea kufanya research kwa mkereketwa yeyote anaepinga kwamba HIV haisababishi AIDs kwa manufaa ya wote .. But toka asubui til now sioni mtu yeyote btn nyie mnaoongoza kwa ubishi na matusi aliejitolea kua lab rat

Personally huo mwandiko wako unanifanya nisikuchukulie serious hata kama una point. Unasomeka kama wale wanaorap au kuimba huku wameweka mkono kwenye sehemu za siri.
Anyway mimi ndicho nilichokuwa nakiomba, mtuwekee hizo scientific papers zinazocrush point zote au baadhi za huyo reknown viroligist
 
Afu most of you mnataka 2waoneshe research 2lizofanya zinazo mdisprove uyo dr.peter while nyie reference yenu ni deception ambae amegoogle evidences toka kwenye articles za huyo Dr...

Anyways...mi na wenzangu hapa 2lijitolea kufanya research kwa mkereketwa yeyote anaepinga kwamba HIV haisababishi AIDs kwa manufaa ya wote .. But toka asubui til now sioni mtu yeyote btn nyie mnaoongoza kwa ubishi na matusi aliejitolea kua lab rat

Mkuu hakuna mjadala ulio nichekesha kama huu yani mtu anapinga HIV haisababishi UKIMWI! Pengine kuna sehemu hamuelewani..

Watu kwanza wanatakiwa kujua kuwa tunaposema mtu ana UKIMWI ina maana amefika stage ya kuugua kabisa na katika stage hii mtu mwenye virusi vya ukimwi anakuwa ana shambuliwa na kila aina ya magonjwa maana kinga za mwili zinakuwa chini kabisa..na kimsingi anakuwa ana virusi lakini tunasema ana UKIMWI kwa kuwa anakuwa ameanza kuugua na kushambuliwa na kila aina ya Magonjwa kutoka na na upungufu wa kinga ya mwilini!

Pia tunatakiwa kujua si
kila mwenye TB basi ana virusi vya ukimwi.
Minafikiri elimu kuhusu UKIMWI na virusi vya Ukimwi ina hitajika sana maana 70% Ya walio hatari kupata maambukizi ya virusi hawana elimu hiyo kabisa ...na hujidanganya sana!
 
Afu most of you mnataka 2waoneshe research 2lizofanya zinazo mdisprove uyo dr.peter while nyie reference yenu ni deception ambae amegoogle evidences toka kwenye articles za huyo Dr...

Anyways...mi na wenzangu hapa 2lijitolea kufanya research kwa mkereketwa yeyote anaepinga kwamba HIV haisababishi AIDs kwa manufaa ya wote .. But toka asubui til now sioni mtu yeyote btn nyie mnaoongoza kwa ubishi na matusi aliejitolea kua lab rat

ahaaa lab rat..kama intra muscular ya known serum with HIV +. wame iogopa basi waje tuwaduge ya isolation ya microbacterium tuberclosis ili kuwa thibitishia they are normal flora and nat causative wa kinga mwilini kushuka.....!! wanakuja kuwa threaten disease after <200 CD4.
 
Maelezo mazuri nafikiri gorgeousmimi anafuatilia.
Kwa vile TB ilikuwepo kabla ya hiv kugundulika (sijasema kuwepo), na umesema mtu ambaye kinga yake imepungua (mwenye Upungufu wa KInga MWIlini) basi ndio anaugua TB; kwa maneno mengine unapingana na Dr gorgeousmimi anayesema no HIV no Upungufu wa KInga MWIlini so ni next to imposible kwa mtu kupata TB?

Kuna sehem ambayo Dr. Gorgeousmimi amesema (( no HIV no upungufu Wa kinga mwilini?????)) Nisaidie kuilocate coz siioni mie

Punguzeni ubishi na unafki
 
Last edited by a moderator:
labda nisaidie jibu hili swali...!
nikwamba hali hii inatokana na swala la upungufu wa kinga mwilini niki maanisha kwamba mtu alie na kinga pungufu mwilini(cd4) ndiye atakaye pata TB(tuberclosis) ila kwa asye na upungufu wa kinga mwilini hawezi pata maambukizi ya TB...kwasababu kinga zake ziko vzuri...

Yaani mkuu nakushukuru sana kwa kujibu swali hili,big up sana mkuu,hata mimi jibu lako linaniingia akilini.Kumbe mtu anayepata TB huwa kinga yake inakuwa imeshukaaaaa! ok ok.Tuendelee;

...kuku thibitishia hili nakupa mechanism kidogo ya circle ya Microbacterium tuberclosis wanavyo mpata mtu adi jnsi anavyo kuwa infected.....M.tuberclosis ni normal flora(wadudu wasiyo na madhara) waishio kwenye ngozi ya binadamu na kwenye hewa hii ni kwasababu they are Anaerobic huweza kumpata mtu through inhalation ya air droplets from an infected individual ivyo basi kwakuwa ni anaerobic hukimbilia moja kwa moja kwenye mapafu(simanishi kuwa M.tuberclosis wana shambulia only upper pulmonary) wakiingia mwilini immune system huwatambua kama infected micro organism ivyo kinacho fanyika cells ambazo zko responsble kwajili yaku wazuia ni Microcytes ambazo moja kwa moja huenda kuzi enguf(phagocytosis..kuzimeza) TB ...kinacho fanyika ni kwamba m.tuberclosis bado wanakuwa hai ndani ya hiyo macrocytes ivyo CD4&cd8 znakuja saidia ku activw enzymes ambao wapo juu ya macrocytes ku release Toxic ambayo huzi angamiza M.tuberclosis ivyo basi iwapo mtu atakuwa na HIV+ cd4 zake ztashuka na ikimbukwe kuwa kutokana na process tajwa hapo juu m.tuberclosis(TB) wapo kwenye hewa ivyo asilimia 90% ya watu wote kila mtu anao tb ivyo baso immune system yako ikishuka kutakuwa amna destructipn tena ya hao Tb na ndiyo maana unakuta karbu kila HIV+ anayo TB...hii ni the same way with other OP(magonjwa nyemelezi) yote yapo mwilini mfano Candidias (fungi) wapo kwenye genital area ya mwanamke ila hawana madhara mpaka Cd4 zako ztakapo shuka....nafkiri utakuwa umenielewa kwanini watu wengine wanaweza ambukizwa TB na wengine hawawezi..!!

Na hapo juu nimekuelewa vizuri sana,yaani umesema wale wenye HIV+ CD4 zao huwa zimeshuka na ndio maana wanapata TB.

Swali:
Vipi kuhusu wale wanaougua TB lakini hawana HIV?
 
You are better than this.
Deception hajasema ukimwi haupo. Amesema hiv ndio fake. Au pengine uelewa wako ni ukimwi = hiv na kwamba nje ya hiv hakuna ukimwi; tuweke sawa

Check hii halafu nitakuwekea alivyojibu
 
Yaani mkuu nakushukuru sana kwa kujibu swali hili,big up sana mkuu,hata mimi jibu lako linaniingia akilini.Kumbe mtu anayepata TB huwa kinga yake inakuwa imeshukaaaaa! ok ok.Tuendelee;

Na hapo juu nimekuelewa vizuri sana,yaani umesema wale wenye HIV+ CD4 zao huwa zimeshuka na ndio maana wanapata TB.

Swali:
Vipi kuhusu wale wanaougua TB lakini hawana HIV?

mfano nani umesha wahi msikia anaumwa TB ambaye ana HIV+ ebu npe mfano...??
 
Sasa HIV ni fake AIDs ni nini then?Unajua maneno yenu yanawafunga kamba wenyewe!

Kwamba kama HIV ni fake kutakuwaje na Ukimwi. Na more than once ameinterchange hiv na ukimwi mimi nikafikiri ni makosa tu ya kupitiwa kumbe ni synonymous
 
Maelezo mazuri nafikiri gorgeousmimi anafuatilia.
Kwa vile TB ilikuwepo kabla ya hiv kugundulika (sijasema kuwepo), na umesema mtu ambaye kinga yake imepungua (mwenye Upungufu wa KInga MWIlini) basi ndio anaugua TB; kwa maneno mengine unapingana na Dr gorgeousmimi anayesema no HIV no Upungufu wa KInga MWIlini so ni next to imposible kwa mtu kupata TB?

Pengine kama amesema hivi basi ameteleza maana kimsingi si kila mwenye TB ana virusi vya UKIMWI! Mtu anapo fikia stage ya UKIMWI anakuwa ana andamwa na kila aina ya magonjwa na kati ya magonjwa nyemelezi na TB hipo kati yao...lakini kila aina ya Magonjwa humuandama mtu mwenye UKIMWI....!

Lakini tunatakiwa kujua magonjwa hayo yanaweza mpata mtu hata kama hana virusi vya UKIMWI!

Nafikiri kuna sehemu hamuelewani lakini mnaongea lugha moja!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,unajua madaktari hawana uelewa wa kutosha kuhusu nutrition kwa kuwa hawajafundishwa kwa undani.Wanachojua wao ni kwamba karibu kila ugonjwa lazima uupoison.

Too sad umeongea hilo jambo bila kufatilia...
Hebu kafatilie list ya topics wanafunzi mwaka Wa pili wanazosoma na kuzifanyia research mwisho wa semester ya 4
 
mfano nani umesha wahi msikia anaumwa TB ambaye ana HIV+ ebu npe mfano...??

Jamani TB nimeisikia tangu napata akili na I am born in 70s.
Na kulikuwa na wimbo unasema "usivute sigara utapata TB..". Nakumbuka mama alikuwa ananikataza kuimba huu wimbo baba akiwepo maana alikuwa anavuta sigara.
Tell me about mkanda wa jeshi. Nao si wanasema kinga ikishuka ndio unaibuka just like tb? Na wenyewe haukuwepo kabla?
Au HIV alikuwepo back then but was not known to science?
 
Back
Top Bottom