labda nisaidie jibu hili swali...!
nikwamba hali hii inatokana na swala la upungufu wa kinga mwilini niki maanisha kwamba mtu alie na kinga pungufu mwilini(cd4) ndiye atakaye pata TB(tuberclosis) ila kwa asye na upungufu wa kinga mwilini hawezi pata maambukizi ya TB...kwasababu kinga zake ziko vzuri
kuku thibitishia hili nakupa mechanism kidogo ya circle ya Microbacterium tuberclosis wanavyo mpata mtu adi jnsi anavyo kuwa infected.....M.tuberclosis ni normal flora(wadudu wasiyo na madhara) waishio kwenye ngozi ya binadamu na kwenye hewa hii ni kwasababu they are Anaerobic huweza kumpata mtu through inhalation ya air droplets from an infected individual ivyo basi kwakuwa ni anaerobic hukimbilia moja kwa moja kwenye mapafu(simanishi kuwa M.tuberclosis wana shambulia only upper pulmonary) wakiingia mwilini immune system huwatambua kama infected micro organism ivyo kinacho fanyika cells ambazo zko responsble kwajili yaku wazuia ni Microcytes ambazo moja kwa moja huenda kuzi enguf(phagocytosis..kuzimeza) TB ...kinacho fanyika ni kwamba m.tuberclosis bado wanakuwa hai ndani ya hiyo macrocytes ivyo CD4&cd8 znakuja saidia ku activw enzymes ambao wapo juu ya macrocytes ku release Toxic ambayo huzi angamiza M.tuberclosis ivyo basi iwapo mtu atakuwa na HIV+ cd4 zake ztashuka na ikimbukwe kuwa kutokana na process tajwa hapo juu m.tuberclosis(TB) wapo kwenye hewa ivyo asilimia 90% ya watu wote kila mtu anao tb ivyo baso immune system yako ikishuka kutakuwa amna destructipn tena ya hao Tb na ndiyo maana unakuta karbu kila HIV+ anayo TB...hii ni the same way with other OP(magonjwa nyemelezi) yote yapo mwilini mfano Candidias (fungi) wapo kwenye genital area ya mwanamke ila hawana madhara mpaka Cd4 zako ztakapo shuka....nafkiri utakuwa umenielewa kwanini watu wengine wanaweza ambukizwa TB na wengine hawawezi..!!
achana nae anajaribu kuku toa mchezoni just baki strong kumthibitishia you are a doctar.
mfano nani umesha wahi msikia anaumwa TB ambaye ana HIV+ ebu npe mfano...??
hili ndio limenipelekea kuulizia hizo equationWewe ndio huelewi kitu kabisa rafiki,Wapo nimesema bacteria hasababishi mapungufu ya kinga ya mwili??
Pengine kama amesema hivi basi ameteleza maana kimsingi si kila mwenye TB ana virusi vya UKIMWI! Mtu anapo fikia stage ya UKIMWI anakuwa ana andamwa na kila aina ya magonjwa na kati ya magonjwa nyemelezi na TB hipo kati yao...lakini kila aina ya Magonjwa humuandama mtu mwenye UKIMWI....!
Lakini tunatakiwa kujua magonjwa hayo yanaweza mpata mtu hata kama hana virusi vya UKIMWI!
Nafikiri kuna sehemu hamuelewani lakini mnaongea lugha moja!
Ndio yaleyale mnayoyaamini hakuna HIV-virus!!!Na ARV zinasababisha ukimwi naona ingelikuwa vizuri mkijua kwanza how ARV zinavyofanya kazi!!
Je ushawahi kusoma Pia Kwanini Virus Hawa Wanapotea Kama Mtu akiwa na Immunity Nzuri
Mfano . Hepatitis... HPV n.k sasa Kama Unakubali Kuwa hawa Wadudu ambao ni Deadly Virus wanaweza Kupotea Kmaa Una immunity nzuri Kwann Tusipate Elimu Mpya kuhusu HIV kama Wataalam baadhi wanavyosema Kwamba Anaweza na Yeye Akapotea kama Una Immune Nzuri
Mimi niliwahi kuugua TB lakini sikuwa HIV+.Historia yangu ipo kwenye hospitali fulani.Hilo unalizungumziaje?Kivingine,Je kama huna HIV huwezi kupata TB?Kivingine,Je,wote wenye TB wana HIV?
Naingia mzigoni bdae!
Seriously dude?ushawahi kusikia kuhusu residriv UTI hebu kamuulize daktari wa karibu yako inakuwa chronic.Kuna watu wanakuwa on antibiotics kwa mwaka au zaidi,Hasa vizee ambao hawana uwezo mzuri wa kukojoa mkojo wote.Wanakuwa na mabaki ya mkojo kwenye kibofu wakati wote kwahio wanakula dawa kumaintain UTI looool.Kama ww unajua zaidi kuliko mm HONGERAAAAAAAAAAAAA.Na kwani uliponiquote post hii uliona nimemjibu nani na nini?Nilimjibu Kaunga kuhusu antibiotics haihusiani na ARV usidandie daladala kwa mbele Troojan
kwanza niambie ulikuwa una TB ipi..ya mifupa, ya uti wa mgongo au ya mapafu...!!????
Mapafu
Dr.Gorgeousmimi & Retroviridae Kweli hapo pagumu labda nikuulize haya maswali
1) tuberculosis ni ugonjwa unaosababishwa na nn?
2)what causes pneumonia?
3 )virus wanaoleta viral pneumonia ni adenoviruses, rhinovirus es, influenza virus, para influenza virus, and respiratory syncytial virus (RSV)
4) je kama sio virus anahusika kuleta hayo magonjwa naomba unieleze umeona popote ambapo HIV virus anahusika hapo when someone is not hiv+positive
5)sasa swali langu ni hii equation ambayo mlitakiwa ku argue from med school
HIV -negative + pneumonia=AIDS
Hiv-negative +tuberculosis = AIDS
HIV +positive + pneumonia =AIDS
HIV +positive + tuberculosis = AIDS
Hapo kwenye hiyo scenario HIV katokea wapi?
Nipo theory kuwa HIV virus does not cause AIDS inapokuja na ndo hapo anaposingiziwa
Hebu kwenda huko kwani kuna mtu anayekaa na HIV-virus au tunasema ana ukimwi??Ukimwi unatoka kwenye nini then?
kiutaratibu wa kazi na mazingira huwa amna treatment kabla ya history taken ya mgonjwa..labda nkulize maswali machache kabla ya kujbu swali..
ulisha wahi pima HIV baada au kabla yakukutwa na TB...??
baada yakukutwa +ve ilipewa dawa zipi na ulitumia mda gani...!!?
je unaweza npa ushahidi wowote katika hilo tatizo ata picha ya hospital request...!??
I doubt if ur really a Dr mbna una hasira hivi???