Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Hilo la VVU ni pana sana,tutakwenda nalo kipekee.Kuhusu limao,sitashangaa kwa wewe kusema hivyo kwa kuwa halijaandikwa kwenye vitabu vyenu vya kiada,inabidi uende kwenye vitabu vya ziada.
Utakuwa haufahamu mambo mengi sana yanayoendelea duniani na hasa kwenye masuala haya ya kiafya.Hujui kama kuna vita baridi kati ya tiba asilia katika magonjwa fulanifulani na tiba rasmi.Hujui pia hata historia ya western medicine imeanzia wapi.Hujui pia kwamba waliondika vitabu vyenu mnavyovitumia ni kina nani(sina maana ya majina).Hujui pia kwenye vitabu vyenu nini hawajaandika ambacho kwao ni hasara kama watakiandika,hivyo hujui mmefichwa nini.
Inabidi kwanza uyajue haya ndio twende sawa,vinginevyo kila kitu nitakachokieleza utakiona kama hadithi tu,hivyo ni vigumu kwenda pamoja.

Naomba useme mengine mkuu. Niko kwenye tiba ya malaria kwa zaidi ya miaka 10 na hakuna kitu unaweza kunidanganya. Kama una dawa zako unazotaka kujua kama zina uwezo wa kutibu malaria basi lete tukusaidie! Ila haya mengine unayoyasema ni hadithi za kawaida sana ambazo tumezizoea kuhushu mgongano wa kinadharia kati ya tiba za magharibi na zetu za asili.
 
Kuna swali bado linanitatanisha.
Ni kwa nini thabo mbeki atoe kauli kama ile tena kama raisi,je alitaka wananchi wake wafe zaidi au ni kwa masilahi gani?,there must be somethng behnd ths halijalishi ni jema au baya.
Cc,dark city na wengine

Hilo swali lako,I bet,hutajibiwa.
 
Naomba useme mengine mkuu. Niko kwenye tiba ya malaria kwa zaidi ya miaka 10 na hakuna kitu unaweza kunidanganya. Kama una dawa zako unazotaka kujua kama zina uwezo wa kutibu malaria basi lete tukusaidie! Ila haya mengine unayoyasema ni hadithi za kawaida sana ambazo tumezizoea kuhushu mgongano wa kinadharia kati ya tiba za magharibi na zetu za asili.

Unaona eenh!
Nilishakwambia kwamba hutang'amua maana yangu kamwe unless unajua yale niliyoandika.Ok,tuachane na hayo twende kwenye mada ya msingi ambayo ni HIV/AIDS.
Karibu kupinga kwa hoja kile ulichoitiwa humu.
 
Kwani wanaoandika vitabu vya mashuleni wanaandika kama hadithi za shingongo?Ofcoz vithibitisho vipo na ndio maana kukawa na vielelezo.Masuala ya afya lazima yafanyiwe researches kabla hayajawa published.

http://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC2627644/pdf/9284370.pdf


Utafiti wa kisayansi umeshafanyika sana,kuna mafurushi ya tafiti.Nimekuwekea moja tu.

Tukienda upande wa pili kwamba 'HIV' hayupo na AIDS haisababishwi na HIV pia na mimi nitakuletea scientific papers nyingi sana,halafu mwisho wa siku tutakuwa tunashindana kutoa scientific papers.Wewe umetoa scientific papers za watu unaowaamini na mimi nitatoa zangu za wale ninaowaamini,mwisho wa siku hata wana JF hawatang'amua chochote.

Hao unaowaamini wewe wameshindwa na wale ninaowaamini mimi kwenye lab experiments(ambazo kwa hapa ni vigumu kuwathibitishia watu maana tutajaza scientific papers tu humu) na real life experince.Yaani kile kinachoonekana kiuhalisia.

Tukienda kwenye body chemistry, hilo mimi sina tatizo na ninyi kwa kuwa hata nikikwambia uniletee electronics photos za hizo cells najua utaniletea kwa kuwa zipo kiuhalisia.Tatizo linakuja kwenye electronics micrographs za purified HIV.Najua hata ufanye vipi huwezi kuniletea hizo na ukileta lazima zitakuwa feki kwa kuwa hata hao unaowaamini walishakubali kwamba wameshindwa ku purify HIV,wewe unajua umuhimu wa purification hivyo sina haja ya kueleza mengi hapa.

Kama wameshindwa ku purify HIV,sasa ile picha ya HIV kwenye vitabu vyenu wameipata wapi?Evidence nzuri hapa ni ile ya matukio tunayoyaona mtaani.Maana hata niki disqualify hizo paper zako bado watu hawataelewa nini kinaendelea.

Robert Gallo na Luc Montaigner hawajawahi ku purify HIV.Hawawezi pia kuthibitisha kwamba HIV anasababisha AIDS.Usifikiri Kary Mullis ameingia uchizi kukataa kwamba HIV hasababishi AIDS wakati kipimo alichogundua cha PCR ndio kinategemewa kwenye haya mambo yenu.

Usifikiri Prof.Peter Duesberg ameingia uchizi kusema kwamba HIV hasababishi AIDS.Robert Gallo na Luc Montaigner wameshindwa kujibu hoja za hawa wachache tu niliowataja hapa,wewe ukiweza kujibu nitakushangaa sana umepata wapi maelezo hayo.Cha msingi ni kujibu hoja za hawa jamaa.Fahamu kwamba na hawa ni madaktari pia tena wenye hadhi ya juu duniani.

Pia fahamu kwamba Peter Duesberg anaijua virology vizuri zaidi ya hao wanaojiita wagunduzi wa HIV kwa maana ndio field yake hasa na ndio maana wanamkimbia hata kwenye open debate,ninyi hamlijui hili na hamuwezi kuambiwa.

Robert Gallo na Luc Montaigner(wagunduzi wa 'HIV') wameshindwa kujibu (kwa usahihi) hoja zifuatazo za Peter Duesberg.Naomba wewe uzijibu kama hutajali.

Nimeongeza neno kwa usahihi kwa kuwa mtu yeyote anaweza kutunga kitu chochote ili watu wamwamini hata kama hakina ukweli wa kisayansi.Hawa kina R.Gallo na L.Montaigner ndio ma father wa kutunga,wanachokisema ukilinganisha na lab experiment viko tofauti kabisa.Sasa jibu hoja hizo hapo chini.

https://www.youtube.com/watch?v=pB8g0b-FkW0
 
Youtube isnt good enough mr Deception weka na ww scientific articles zako na uthibitishe unayoyasema na kama huna mm na ww hatuna chakujadiliana,i want references.

Nimeshawahi kufanya mijadala na madaktari wengi sana,huwa mnafanana,mkipewa hoja za msingi mnazikimbia.Naomba ufuatilie huyo Prof amesema nini halafu ujibu hizo hoja,kwa maana hoja zote hizo hazikutungwa bali zimetoka kwenye utafiti pia.
Kuhusu scientific paper,hilo lisiwe tatizo,soma hiyo hapo chini inayothibitisha mambo mengi sana likiwemo la kwamba HIV hasababishi AIDS na badala yake AIDS husababishwa na drugs(eg ARVs) consumption na noncontagious factors.
 

Attachments

Nimeshawahi kufanya mijadala na madaktari wengi sana,huwa mnafanana,mkipewa hoja za msingi mnazikimbia.Naomba ufuatilie huyo Prof amesema nini halafu ujibu hizo hoja,kwa maana hoja zote hizo hazikutungwa bali zimetoka kwenye utafiti pia.
Kuhusu scientific paper,hilo lisiwe tatizo,soma hiyo hapo chini inayothibitisha mambo mengi sana likiwemo la kwamba HIV hasababishi AIDS na badala yake AIDS husababishwa na drugs(eg ARVs) consumption na noncontagious factors.
Speculations...
 
Kuna swali bado linanitatanisha.
Ni kwa nini thabo mbeki atoe kauli kama ile tena kama raisi,je alitaka wananchi wake wafe zaidi au ni kwa masilahi gani?,there must be somethng behnd ths halijalishi ni jema au baya.
Cc,dark city na wengine

Na alivuliwa madaraka especially for that case.
 
Na alivuliwa madaraka especially for that case.

Unajua mainstream doctors huwa nawashangaa sana,sijui ni kitu gani kinachowafanya wasipende kuangalia na upande wa pili wanasemaje kuhusu hili jambo,ubongo wao una ganzi inayowafanya wasithubutu kuhoji masuala ya msingi ambayo kweli yanajitokeza kwa kiwango kikubwa sana katika maisha yetu tofauti na vile tulivyoambiwa mwanzoni.Hawapendi kufuatilia utata huu unaojitokeza hata kama una mantiki.

Hawajui pia kwamba wale wanaowaamini wanakesha usiku kucha kutunga nadharia mbadala ili kuelezea utata huu unaojitokeza ili kuendelea kuwapa watu sababu ya kuwaamini ilihali ni uongo mtupu.Wametunga nadharia kibao kama ile ya CCR5 gene mutation.Lakini pamoja na hayo,bado utata unazidi kuendelea kujitokeza,wanashindwa kuziba mapengo yote kwa wakati.

HIV/AIDS ni moja kati ya magonjwa ambayo madaktari wamefundishwa kinadharia zaidi,hawajafanya tafiti za kutosha wakiwa masomoni zaidi ya kudanganywa kwa kuoneshwa wagonjwa walioathirika na ugonjwa huo feki huku hawajui kwamba sababu za dalili wanazoziona za ugonjwa huo ni tofauti kabisa na sababu wanazoambiwa.

Ukitaka ugomvi na daktari,mwambie akuletee electronics micrographs za purified HIV.Au muulize daktari yeyote humu kama ameshawahi kumuona HIV kwa kutumia chombo chochote kile katika maisha yake yote ya udaktari.

Ukimuuliza kuhusu vijidudu vya TB,Malaria,Typhoid,Kichocho....nk atakuwa amewahi kuviona kwa kutumia vyombo maalum,utata unakuja kwenye HIV.
 
Mzima mdogo wangu Kaunga? Tumepotezana sana.

Kuhusu swali la Deception, ni kwamba; siyo kila tukio la kujamiiana na mwathirika wa VVU lazima lisababishe maambukizi. Hapa kuna sababu nyingi za kitaalamu. Kwa mtu anayependa, anaweza kuongeza uelewa wake kwa kutafuta kutoka google.com sababu za kuwepo kwa discordant couples. Hawa ni wanandoa ambao wanashiriki tendo la ndoa kama kawaida ila mmoja tu ndiye kaathirika.

Hata hivyo, kuna maelezo mengine nimeona (kwa ufupi) ambayo ni uongo na hatari sana. Kwa mfano, mtu anasema eti limao inatibu malaria....????

I thank God,kweli tumepotezana sana. Maisha yanakimbiza mno.

Hii kitu inachanganya sana na bahati mbaya wanasayansi hamtuelezi vizuri zaidi ya kutuongezea misamiati migumu migumu. Mbona std kama symphilis gono herpes na hata fungus inakuwa ni kama sheria mmoja akipata na mwingine anapata?
 
Last edited by a moderator:
I thank God,kweli tumepotezana sana. Maisha yanakimbiza mno.

Hii kitu inachanganya sana na bahati mbaya wanasayansi hamtuelezi vizuri zaidi ya kutuongezea misamiati migumu migumu. Mbona std kama symphilis gono herpes na hata fungus inakuwa ni kama sheria mmoja akipata na mwingine anapata?

Hapo ndo twatikiwa kutokua wabishi tunavyo viona kwenye move nahisi vipo kiuhalisia na hawa wenzetu waliojaaliwa hawana wema wowote zaidi ya kiini macho
 
Mkuu Deception naomba kujua ni kwanini hata watu wenye uwezo wa kupata mlo kamili na kujitibu vizuri wanakufa wakipata maambukizi? Hata matajiri wengi tunaona wanakufa na kuacha pesa zap nyingi tu ilhali wanapata mlo kamili!!? Nisaidie bila kunirefer.
 
Mkuu Deception naomba kujua ni kwanini hata watu wenye uwezo wa kupata mlo kamili na kujitibu vizuri wanakufa wakipata maambukizi? Hata matajiri wengi tunaona wanakufa na kuacha pesa zap nyingi tu ilhali wanapata mlo kamili!!? Nisaidie bila kunirefer.

Amepotea kidogo bila shaka majukum
Ila kwa nilivo muelewa kutojua chanzo na kuamini tulivo aminishwa yaweza kua sababu kwa kuna mtu katoa ushahidi kwa rafiki yake kabisa na kwamaelezo yake hata waliompima mwanzo walishangaa wakizani amekuja kuongeza dozi kwa mimi sikatai mojakwamoja maana taalifa kama hizi zipo na wanapona kweli


Kuna mtu hapo amehoji ni kwa nini magonjwa mengine ya zinaa nikama shiria mmoja akiwa nao mwenzie lazima apate? kitu ambacho ni tofauti na hili janga kiukweli ingekua kama gono tungekufa karibia wote hawa wenzetu ni binaadam kwa nje lakin hawana tofaut na ibilisi maana hupanga mipango ya myaka mia na kuifanikisha baada ya kutimia
 
  • Thanks
Reactions: naa
Fact kwa Fact
Haya mnaompinga deception kujeni

Inashangaza na huenda nikweli kwa mfano mimi nimetaabika sana na marelia na dawa zao zilinizoofisha sana nashukulu tangu niaze kutumia ndimu na dafu kama tiba nna miaka 8 au zaidi hata panado sinywi na katika kipindi hicho nilishauliwa nikapeme ngoma huenda uwoga umenisaidia maana kwa hofu ile chembe hai zilikua zimeshuka

Tuendelee kumdadisi maana anaushahidi wa nduguyake kama asemavyo tupime pande zote mbili wala sio zambi kujifunza jamba hatakama halitakua na faida
 
Nakusubiri kwenye hoja za msingi.

Mkuu Deception usife moyo ukipata wasaa njoo utupe unachokijua

HAOO WANAOPINGA WATUMIE KAMA UBAO SISI ILI SISI TUNAOPENDA KUJUA PANDE ZOTE TOSOME

maana habali ya watu kupona ipo na ya watu kuishi navyo na hawatumii dawa ipo vilevile

Karibu
 
Last edited by a moderator:
Deception

Itakuwaje biashara tu ya ARVs wakati zimegundulika juzi tu? Hapo kabla walikuwa wanafanya biashara kutoka kwenye nini?
 
Last edited by a moderator:
Hii mada ni nzuri kwa sisi wagonjwa watarajiwa (ofcourse kila mtu anaugua), sema mmeingiza ubishi wa kitaalamu mpaka mnatupoteza sasa.

Binafsi natumia dawa zote, za asili na hizi za Western, na zote zinanisaidiaga sana tu. Za kiasili nazitumia zaidi kama kinga, mfano ukitumia limao kama kinga kama Deception anavyosema ni kweli malaria unaweza usiisikie kabisa. Mi naweza kukaa zaidi ya miaka 2 bila kuugua malaria, naaminiga ni kwa sababu natumia sana limau pamoja na madawa mengine ya asili. Ikitokea nina malaria huwa natumia kwanza dawa za hospitali, nikimaliza dozi ndo naendelea na mambo yangu ya limau n.k.

Huwa naamini dawa za hospitali zinafanya kazi fasta, wakati hizi za asili ni slow, so za asili nazitumiaga kama kinga tu. Hivyo mimi kama mtumiaji naelewa vizuri anachozungumza Deception na pia naelewa vizuri wanachoongea kina georgeousmimi na madaktari wengine.

Kwahiyo badala ya kubishana mi ningewaomba chonde chonde mjikite kwenye kutoa uzoefu wenu ktk kutibu haya magonjwa ili mtusaidie sisi wagonjwa. Otherwise, mtakuwa mnatuchanganya zaidi na hayo maneno yenu ya kitabibu ndo kabisaa, mwishowe uzi utabaki wenu tu maprofessionals


Kaunga njoo bwana, we ndo umesababisha jana nije kuutafuta huu uzi pale ulipomstua Asprin kule MMU
 
Itakuwaje biashara tu ya ARVs wakati zimegundulika juzi tu? Hapo kabla walikuwa wanafanya biashara kutoka kwenye nini?

Mkuu umeingilia thread hii katikati/mwishoni,na nina wasiwasi bado utauliza maswali mengi zaidi ya hili ambayo yote nimeshayajibu.Kama unapenda na una nia ya kweli ya kujua ukweli,ninakuomba ufuatilie reply zangu za nyuma utapata majibu yote pamoja na hili pia.Najua hutapoteza muda mwingi zaidi ya mimi ambaye ndiye niliyeandika.
Karibu mkuu.
 
Back
Top Bottom