Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

asee hili somo limenigusa sana,hasa kwnye hivyo vipimo maana kuna rafiki yangu alinihadithia kuna siku alienda kupima HIV akakutwa iko positive yeye kwakwl kwa mshituko akakataa akadema wampime tena kipimwa tena kipimo kikasoma HIV negative,wakarudia tena kikasoma negative, sasa hapo ulivyosema ndo nimekumbuka lakini pia hapo hapo kwnye kipimo vipo vya aina mbili ambavyo ni bioline na determine nnavyojua mimi ukipimwa na bioline ukikutwa ni positive wanakupima kwny dertemine sasa je inamaana vipimo vyote hvyo ni fake??....

Vipimo vyote ni feki kwa kuwa HIV mwenyewe ni feki.

....na pia kama HIV haiambukizwi kwa sex inamaana nkienda kupima nkaambiwa niko positive japo nisitumie Arvs je naweza kumuambukiza mtu mwngne??

Kamwe huwezi,kwa kuwa HIV ni feki.

Karibu.
 
Unasemaje kuhusu wale ambao hawana hizo defects na wamepimwa HIV+ lakini hawatumii ARVs na wanaishi mpaka sasa zaidi ya miaka 15?

ts true broh___ kuna wa2 ka hao

we cal em ( long-term non-progressors (LTNP), can survive with HIV & without treatment 4 prolonged periods)

Inatokana na xabab nyingi here r som of em

1st.. TYPE OF HIV VIRUS

HIV viruses wapo wa aina nyingi ( different strains ) ..
Such ax HIV-1 & HIV-2 ..

Na HIV-1 wana groups tofauti
Group 'M'
Group 'N'
Group 'P'

HIV-1 group 'M' is the most common type ambayo hukutwa katka many cases 90% owf cases..and its tha most virulent with high infectivity..

hiloilo group limegawanyika katka clades(subtypes) according 2 different geographical location

HIV-2 less virulent & has lowest infectivity compared to HIV-1 ... it hv highest prevalence in west africa

Kuna uwezekano wa huyo m2 unaemtaja ana type-2 xo ata2mia mda mrefu til viral load kuwa threshold.. Ambapo ataanza kuonesha dalili(AIDS)

2nd... GENETIC FACTORS""
The human leukocyte antigens (HLAs)""

Are cell-surface proteins that dangle pieces of chewed-up virus for the immune system 2 recognize.

Several specific HLA alleles and genes 4 proteins dat interact with em hv bn implicated in AIDS progression
... People with the HLAB*57 or *27 alleles have slower progression;

...Those with HLAB*35 progress faster

...Xo I hop 4those few reasons utakua umenielewa
 
PEP ni ARV lakini utaratibu wake wa kutumika ni tofauti na zile ARVs zinazotumika kila siku.Niliwahi kusema hapo mwanzoni kwamba dawa hizi zina sumu ambazo zina challenge kinga ya mwili kiasi kwamba kwa watu wanaozitumia ni rahisi sana kuonekana HIV+ pale wanapopimwa na vipimo vyao feki.Ndio maana nilisema kwa mtu anayetumia ARVs kumpima HIV+ ni jambo la kawaida sana hata kama tunajua kwamba hana huyo HIV.Hivyo kuna uwezekano mkubwa sana PEP zimechallenge kinga yake na kusababisha vipimo vitoe majibu ya HIV+.

Pamoja na kwamba,suala zima la HIV/AIDS ni feki,lakini angalau kidogo kwamba aliyemshauri asitumie ARVs ametumia common sense,wengi hawawezi kutoa ushauri huo,wanatoa vifurushi vya dawa bila kujali kinga iko juu au la,eti wanakwambia "early treatment is better".

Huyu Dr alimshauri vizuri sana,ila ameharibu hapo alipomwambia atumie septrin.Lakini kutokana na protocols za kazi yake yeye anaona ni sawa.Madaktari wanajua vitu vingi sana muhimu kwa afya zetu,lakini kwenye masuala kama haya kwa kweli wamedanganywa,kiba zaidi ni kwamba hawajui kama wamedanganywa na si rahisi kujua,na hata wakijua hawawezi kufanya tofauti na jinsi walivyofundishwa kwa sababu wanataka kutetea ajira zao.

Hakuna HIV hapo,ni immunity yake imekuwa challenged na jambo fulani,na jambo hilo very possibly litakuwa hizo PEP alizokuwa anatumia.

Dawa nyingi za hospitali zikitumiwa muda mrefu huwa mwili unazoea hali hiyo.Lakini septrin hazina sumu hatari kuliko ARVs,ila zina sumu kwa kuwa ziko designed kuua vijidudu kama bacteria.

Ushauri:
Wala asitumie nguvu nyingi saaaana.We mwambie afuate ushauri wa doctor wa kula sana vyakula,tena si vyakula tu bali vyakula bora na apende sana kunywa maji.Baada ya muda kupita mwambie akapime tena kituo tofauti na cha mwanzo.Arudie kupima mara kadhaa hadi atakapopata majibu HIV-.
Ataacha kutumia septrin yeye mwenyewe bila kushauriwa.Halafu rudi hapa hata kwenye uzi mwingine utoe ushuhuda kwa wengine.Huu sio uchawi,hii ni sayansi.Kama bado hali itaendelea hivyo nitamshauri hapahapa specific type of food ambacho anatakiwa ale.
 
Kaka nashukuru kwa maelezo yako naahidi kurudi hapa tena kwa ajili ya mrejesho! In God we trust
 
Vipimo vyote ni feki kwa kuwa HIV mwenyewe ni feki.

Kamwe huwezi,kwa kuwa HIV ni feki.

Karibu.

Deception dix issue is real "" very real""" na ipo within our communities ...
Izo articles ulizosoma zickudanganye ukaja ingia chaka,,

maybe those drug dealer wanaweka ili kumanipulate our mind ili 2jichanganye wao waendelee kuuza ARV zao...

xo take care broh...
 
Hivi hili swala la use of condoms nalo ni tata kidogo na sitoshangaa kusikia kuwa nazo ni deadly
 
PEP ni ARV lakini utaratibu wake wa kutumika ni tofauti na zile ARVs zinazotumika kila siku.Niliwahi kusema hapo mwanzoni kwamba dawa hizi zina sumu ambazo zina challenge kinga ya mwili kiasi kwamba kwa watu wanaozitumia ni rahisi sana kuonekana HIV+ pale wanapopimwa na vipimo vyao feki.Ndio maana nilisema kwa mtu anayetumia ARVs kumpima HIV+ ni jambo la kawaida sana hata kama tunajua kwamba hana huyo HIV.Hivyo kuna uwezekano mkubwa sana PEP zimechallenge kinga yake na kusababisha vipimo vitoe majibu ya HIV+.

Pamoja na kwamba,suala zima la HIV/AIDS ni feki,lakini angalau kidogo kwamba aliyemshauri asitumie ARVs ametumia common sense,wengi hawawezi kutoa ushauri huo,wanatoa vifurushi vya dawa bila kujali kinga iko juu au la,eti wanakwambia "early treatment is better".

Huyu Dr alimshauri vizuri sana,ila ameharibu hapo alipomwambia atumie septrin.Lakini kutokana na protocols za kazi yake yeye anaona ni sawa.Madaktari wanajua vitu vingi sana muhimu kwa afya zetu,lakini kwenye masuala kama haya kwa kweli wamedanganywa,kiba zaidi ni kwamba hawajui kama wamedanganywa na si rahisi kujua,na hata wakijua hawawezi kufanya tofauti na jinsi walivyofundishwa kwa sababu wanataka kutetea ajira zao.

Hakuna HIV hapo,ni immunity yake imekuwa challenged na jambo fulani,na jambo hilo very possibly litakuwa hizo PEP alizokuwa anatumia.

Dawa nyingi za hospitali zikitumiwa muda mrefu huwa mwili unazoea hali hiyo.Lakini septrin hazina sumu hatari kuliko ARVs,ila zina sumu kwa kuwa ziko designed kuua vijidudu kama bacteria.

Ushauri:
Wala asitumie nguvu nyingi saaaana.We mwambie afuate ushauri wa doctor wa kula sana vyakula,tena si vyakula tu bali vyakula bora na apende sana kunywa maji.Baada ya muda kupita mwambie akapime tena kituo tofauti na cha mwanzo.Arudie kupima mara kadhaa hadi atakapopata majibu HIV-.
Ataacha kutumia septrin yeye mwenyewe bila kushauriwa.Halafu rudi hapa hata kwenye uzi mwingine utoe ushuhuda kwa wengine.Huu sio uchawi,hii ni sayansi.Kama bado hali itaendelea hivyo nitamshauri hapahapa specific type of food ambacho anatakiwa ale.

Hii comment alikujibu Deception kwenye maswali yako kwenye page #78 vp naona umeiweka tena hapa..vp umeamua kusisitiza jibu la Deception? Sawa ila inafanya ionekane kama hii ni ID nyingine ya Deception amejichanganya....!!!!!
 
napoteza & Deception..something is not right..
 
Last edited by a moderator:
Deception dix issue is real "" very real""" na ipo within our communities ...
Izo articles ulizosoma zickudanganye ukaja ingia chaka,,

maybe those drug dealer wanaweka ili kumanipulate our mind ili 2jichanganye wao waendelee kuuza ARV zao...

xo take care broh...

Mkuu,nakushauri soma kitabu cha Dr Leonard G. Horowitz kiitwacho,Emerging Viruses Aids & Ebola.Halafu fuatilia machapisho yake mengine,utajua kwamba unachofundishwa ni matango pori.
NOTE: Wakuu wengine pakueni hiki kitabu,msomeni Horowitz.
 
Chanjo nyingi sana sisi watu wa Dunia ya tatu tulizopewa /tunazoendelea kupewa ni majanga.
HUTAKI UNAACHA.
 
Habari ya mujini na Rejao hiyo coment ni mimi nimecopy na ku paste bila kujua nafanya nini naomba mnisamehe kwa hilo wakuu hapa nazungumzia hayo majibu ya number 178! U shamba mzigo
 
why majibu yao hayatofautiani ukishaambiwa unao ukimwi. ukibadili vituo vya upimaji lazima tu utaambiwa unao. hata ukijipima mwenyewe
 
why majibu yao hayatofautiani ukishaambiwa unao ukimwi. ukibadili vituo vya upimaji lazima tu utaambiwa unao. hata ukijipima mwenyewe

Mkuu ushaambiwa tatzo sio kujipima mwenyewe tatzo ni hvyo vipimo ambavyo ni fake,mi nimelielewa sana somo
 
Mkuu,nakushauri soma kitabu cha Dr Leonard G. Horowitz kiitwacho,Emerging Viruses Aids & Ebola.Halafu fuatilia machapisho yake mengine,utajua kwamba unachofundishwa ni matango pori.
NOTE: Wakuu wengine pakueni hiki kitabu,msomeni Horowitz.

Xo u mean HIV/AID's is nat real?
 
Xo u mean HIV/AID's is nat real?

Ushapakua hicho kitabu? Kama bado ,jinsi ya kupakua ,nenda search engine yoyote andika kama ifuatavyo Dr. Leonard G Holowitz,Emerging Viruses Aids & Ebola ,download mwisho gonga enter. Vitatoka vielelezo vya machapisho yake mengi,tafuta ambayo mwanzo imeandikwa (pdf). Nyonya hapDr. Rath Health Foundation Dr. Rath Health Foundation
Stop the AIDS Genocide of the Drug Cartel
The truth about ARVs – and what their promoters
don't want you to know
Questions and Answers
About Aids:
Does HIV exist?
Does HIV cause AIDS?
Does everyone who is diagnosed "HIV-positive" develop AIDS?
For more Q&As click here.
More information
Click here to read Dr. Raxit Jariwalla's biography.
Potential beneficiaries for whom these web pages were built: More
For 25 years, the promoters of anti-retroviral (ARV) drugs have been advocating these drugs as the treatment of choice for AIDS with claims of life-saving and life-prolonging properties. The promoters of these claims include certain media, ARV-supporters among the clinical community, activist groups as well as politicians around the world.
However, the scientific validity and truth of these ARV-related health claims has never been proven in well-controlled, long-term scientific studies. Moreover, the promoters of these drugs never had to defend these claims in court and under oath.
That has now changed. In 2007, a case brought against the British newspaper the Guardian presented for the first time the opportunity to challenge these claims in a court.
The exchange of scientific arguments about the value of ARVs in AIDS treatment also provided the Guardian and its scientific advisors – collectively described here after as "the ARV defendants" – with a chance to defend their position in sworn testimony.
Following is a summary of the key arguments from the historic scientific exchange that took place during this court case. As the several hundred pages of court documents on these web pages show, the ARV defendants were unable to defend the falsity of some of the key claims they have been advancing for a quarter of a century.
The truth regarding the clinical and scientific limitations of ARV drugs are presented below.
These web pages are provided as a service to AIDS patients, doctors, scientists, insurance companies and governments around the world who have to take decisions relating to this health challenge.
The promoters of ARV drugs infer that they cure AIDS. The truth is that ARVs are not a cure for AIDS. Click here to read more.
The promoters of ARV drugs say that they are "life-saving" and that they "prolong life". The truth is that even after a quarter of a century there is no controlled long-term clinical proof that they increase survival. Click here to read more.
The promoters of ARV drugs describe them as "safe". The truth is that ARVs have serious side effects, including damage to the immune system. Click here to read more.
The promoters of ARV drugs say that they help to "improve the immune system". The truth is that ARVs can potentially cause drug-induced deficiency. Click here to read more.
The promoters of ARV drugs consistently refer to "HIV/AIDS", thus deliberately creating the perception that there is a deadly threat to any HIV infected person unless they take ARVs. The truth is that it takes 9 to 10 years from HIV infection to the development of AIDS. Click here to read more.
The promoters of ARV drugs say that "without access to antiretroviral therapy, people living with HIV/AIDS cannot attain the fullest possible physical and mental health". The truth is that optimal treatment depends on agents that slow disease. Click here to read more.
The promoters of ARV drugs say that "good nutrition is important, but vitamin C is unlikely to prove to be better than medication." The truth is that HIV infection and AIDS are linked to nutritional deficiencies. Click here to read more.
The promoters of ARV drugs say "there is no evidence that, taken alone, micronutrient supplements prevent HIV disease progression." The truth is that the clinical benefits of micronutrient supplements have been demonstrated in HIV/AIDS. Click here to read more.
The promoters of ARV drugs say that "more research is needed to examine the micronutrient needs of people living with HIV/AIDS and the best role for micronutrient supplements in HIV/AIDS infected populations." The truth is that the pharma industry is biased against micronutrients. Click here to read more.

Click here to sign up for our Newsletter!

Page Tools:
Print This Page!
Inform A Friend!
Bookmark This Page!
Contact

What's New:
New study proves heart failure drug digoxin INCREASES risk of death: The time to consider natural alternatives is NOW!
The Benefits of Micronutrients in Heart Failure
Accuracy of articles on Wikipedia: Serious questions continue to be raised
Study finds women who consume fish-liver oil in adolescence or midlife have reduced risk of coronary heart disease when older
PRESS RELEASE: End of heart disease now possible – New study proves atherosclerosis is early form of scurvy
New study shows supplements of B vitamins and omega-3 can stop development of Alzheimer's disease

© 2015 by Dr. Rath Health Foundation
About Us!
Contact Us!
Print This Page!
Inform A Friend!
Bookmark This Page!
RSS Feed
The Health Organization Founded by Dr. Rath is Unique in the World: All the Profits it Makes Go to a Non-profit Foundation. Read More.o
 
1.Ukimwi hauambukizwi
2.Ukimwi hauambukizwi kwa njia ya ngono
3.HIV hawezi kusababisha ukimwi na hasababishi ukimwi kwa kuwa hana sifa ya kusababisha ukimwi.Nashauri tujitahidi kwenda nje ya mainstream kutafuta habari,mambo mengi tunayoyafahamu kwenye dunia hii hayapo kama tunavyoyaona au kuyasikia,na mambo yamewekwa hivyo kwa sababu maalum kabisa.Anayesikia haya kwa mara ya kwanza atadharau au kufunga milango yake ya fahamu,kufunga milango ya fahamu hakubadilishi ukweli kuwa uongo,ukweli utabaki palepale.
Ukielewa ukweli kuhusu jambo hili utakubaliana na mimi kwamba mtu yeyote anayeogopa HIV ni sawa na kuogopa kivuli chake mwenyewe.Kama una swali lolote ambalo unadhani lina utata kuwa huru kuuliza.Nimetimiza wajibu wangu kutoa dokezo,kama mtu ana dukuduku/swali awe huru kuniuliza.

Hebu gusa link hapo chini kwa kuanzia;

https://www.youtube.com/watch?v=pB8g0b-FkW0

nimekuwa confused kidogo,sasa wale wanaokufa kwa UKIMWi nini huwa kinawaua kama unasema hakuna UKIMWi?

Nini hupelekea wao kudhoofu mwili?
 
Back
Top Bottom