Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 196
- 265
Edward Jones savimbiNdio inawezekana kuna jamaa ana degree 7 I think ni mtanzania niliwahi msikiliza alisimulia alisoma degree mbili kwa wakati mmoja moja ya biashara na nyingine ya sheria I think Ila alikua analipiwa na Bank na Serikali pia na akamaliza kote na kutunukiwa vyeti, jina simkumbuki Ila inawezekana
Hakugraduate na hapo unaongelea geni assElon Musk alisoma BSc Physics na BA Economics kwa wakati mmoja.
Alihitimu bossHakugraduate na hapo unaongelea geni ass
Kumbe inawezekana kabisa, bila tatizo loloteInawezekana, kipindi nipo chuo kuna rafiki tangu alikua anasoma diploma ya computer science na hapohapo tunasoma nae degree. Shida ilikua kwenye mitihani, asubuhi anafanya mtihani wa diploma mchana tunafanya mtihani wa degree.
Mwaka wa pili ali graduate diploma, mwaka uliofatia tuka graduate nae degree
Why??Impossible
Vyuo vingine je?Full plus Open university it possible
Inaweza impossible is nothingWhy??