Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati mmoja au tofauti?

Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati mmoja au tofauti?

Kwani,utaratibu wa open ukoje katika utoaji wa taaluma.
Open unajisomea wewe mwenyewe at your own pace.

Kizuri zaidi kwenye course yako unachagua masomo unayoona utayamudu kwa muda ulionao na uchumi wako. Kwa hiyo una nafasi ya kujitengenezea muda wa kusoma course nyingine au kufanya mambo mengine.
 
Back
Top Bottom