Je, inawezekana mtu kupata HIV kwenye sex chini ya dakika 2?

Je, inawezekana mtu kupata HIV kwenye sex chini ya dakika 2?

Nilianza pep ndan ya saa 13 tu nkawa tayari ila yeye alisema amezaliwa nao na anakunywa dawa kwa wakati na wadudu ni chini sana
Doh kama ni kweli anakunywa dawa kwa wakati na ulimeza PEP bas uwezekano wa wewe kupata ni mdogo sana
 
Nilianza pep ndan ya saa 13 tu nkawa tayari ila yeye alisema amezaliwa nao na anakunywa dawa kwa wakati na wadudu ni chini san
Kwan kondomu bei gan au ilikuaje ad ukatake risk ya kibabe ivyo
 
Je, inawezekana mtu kupata HIV, kwenye sex chini ya dakika 2?! Ikiwa ulikutana nae anatumia dawa na wadudu wake ni wachache?
Unatafuta majibu ya kukufariji baada ya kuyatimba?? Kapime ndugu, usijifariji kwa majibu feki ya humu JF.
 
Nilianza pep ndan ya saa 13 tu nkawa tayari ila yeye alisema amezaliwa nao na anakunywa dawa kwa wakati na wadudu ni chini sana
Ulimgonga ukijua anao au alikuficha?
 
Nyie Si mnapenda vitoto vya 2000 bwana?? Hivi viingi vimezaliwa na ngwengwe .

Kumbuken miaka ipi ngoma ilitishia.

Mashangazi mengi ambayo yalivizaa hivi vitoto, wameshazeeka, au kutangulia mbele ya haki.

Yamebaki Mashangazi salama salimini ni kujichagulia na kusukuma nyama tu 👌🤩
Kwahiyo shekhe ni mwendo wa kusukuma nyama tu
 
Mkuu Kuna case kama hii jamaa angu leo wiki ya 10 Mara ya mwisho kupima ilikua week ya 9 siku 65 kwa oraquick majibu yakaja negative inaweza kuwa dalili nzuri kwake kwa PEP alizotumia?
Mimi sio mtaalamu wa hayo mambo tunaunganisha dots tu
 
Amn sina uhakika maan hat sex yenyew ni chin ya dakik 2, sidhan kam nlichubuk ila pep pia nmeanz mda mzur
Sasa na mdogo wangu sex chini ya dakika mbili jamani doh, si Bora usnge Fanya😀😀😀
 
Nilianza pep ndan ya saa 13 tu nkawa tayari ila yeye alisema amezaliwa nao na anakunywa dawa kwa wakati na wadudu ni chini sana
Kama anatumia dawa vizuri na ameanza kutumia dawa muda mrefu I mean zaidi ya miezi sita anatumia dawa huwezi pata kwa sababu anakuwa undetectable na akiwa hivyo hawezi kukuambukiza
Undetectable=Untransmittable
 
Back
Top Bottom