flynn05
Member
- Apr 7, 2024
- 63
- 93
- Thread starter
- #81
Ninazo na leo ni siku ya 11 natumia ndan ya mda sahihi tok nimepewaKama kweli ulienda kupata dawa za kufubaza uko salama. Ila kama umekuja kutafuta huruma humu nakuhurumia sana maana hata sekunde moja inatosha kirusi kuingia mwilini . Hiv sio mpaka mchubuko hata majimaji yanayopatikana kwenye k hubeba hivyo virusi. Kumbuka pia kucheki na Homa ya ini