Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Doh kama ni kweli anakunywa dawa kwa wakati na ulimeza PEP bas uwezekano wa wewe kupata ni mdogo sanaNilianza pep ndan ya saa 13 tu nkawa tayari ila yeye alisema amezaliwa nao na anakunywa dawa kwa wakati na wadudu ni chini sana
Kwan kondomu bei gan au ilikuaje ad ukatake risk ya kibabe ivyoNilianza pep ndan ya saa 13 tu nkawa tayari ila yeye alisema amezaliwa nao na anakunywa dawa kwa wakati na wadudu ni chini san
Shida ilikuwa umtie mimba nimeshaelewaIlikua iv kaka, na hat izo 2 hazikukamilik... kam nliingia san ni mar 6 nkaw nmemaliz
Jamaa yako au wew mwenyewe ndiyo ulitembelea ringi..Mkuu Kuna case kama hii jamaa angu leo wiki ya 10 Mara ya mwisho kupima ilikua week ya 9 siku 65 kwa oraquick majibu yakaja negative inaweza kuwa dalili nzuri kwake kwa PEP alizotumia?
Unatafuta majibu ya kukufariji baada ya kuyatimba?? Kapime ndugu, usijifariji kwa majibu feki ya humu JF.Je, inawezekana mtu kupata HIV, kwenye sex chini ya dakika 2?! Ikiwa ulikutana nae anatumia dawa na wadudu wake ni wachache?
Ulimgonga ukijua anao au alikuficha?Nilianza pep ndan ya saa 13 tu nkawa tayari ila yeye alisema amezaliwa nao na anakunywa dawa kwa wakati na wadudu ni chini sana
Kwahiyo shekhe ni mwendo wa kusukuma nyama tuNyie Si mnapenda vitoto vya 2000 bwana?? Hivi viingi vimezaliwa na ngwengwe .
Kumbuken miaka ipi ngoma ilitishia.
Mashangazi mengi ambayo yalivizaa hivi vitoto, wameshazeeka, au kutangulia mbele ya haki.
Yamebaki Mashangazi salama salimini ni kujichagulia na kusukuma nyama tu ๐๐คฉ
Ilikuaje waziri wa kaskazini alafu kichwa upo idle ๐๐ฎJamaa yako au wew mwenyewe ndiyo ulitembelea ringi..
Sasa na yy kwanini hakukushtua kabla?Nilianza pep ndan ya saa 13 tu nkawa tayari ila yeye alisema amezaliwa nao na anakunywa dawa kwa wakati na wadudu ni chini sana
Mimi sio mtaalamu wa hayo mambo tunaunganisha dots tuMkuu Kuna case kama hii jamaa angu leo wiki ya 10 Mara ya mwisho kupima ilikua week ya 9 siku 65 kwa oraquick majibu yakaja negative inaweza kuwa dalili nzuri kwake kwa PEP alizotumia?
Sasa na mdogo wangu sex chini ya dakika mbili jamani doh, si Bora usnge Fanya๐๐๐Amn sina uhakika maan hat sex yenyew ni chin ya dakik 2, sidhan kam nlichubuk ila pep pia nmeanz mda mzur
Kama anatumia dawa vizuri na ameanza kutumia dawa muda mrefu I mean zaidi ya miezi sita anatumia dawa huwezi pata kwa sababu anakuwa undetectable na akiwa hivyo hawezi kukuambukizaNilianza pep ndan ya saa 13 tu nkawa tayari ila yeye alisema amezaliwa nao na anakunywa dawa kwa wakati na wadudu ni chini sana