Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Hello,
I hope mko poa.
Mie ni mwalimu wa masomo ya Sayansi nafundisha shule moja ya Secondary hapa mkoani.
Nimeajiliwa na serikali, 2 years ago. Sasa katika kutafuta changamoto mpya, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi uko ajira portal, lakini nkitaka kuomba mfumo unakataa Kwa sababu Nina placement letter tayari.
Swali langu ni je, inawezekana mwalimu aliyeko Tamisemi(halmashauri) kuhamia kwenye tahasisi za wizara ya elimu kama NECTA, TIE, NACTVET, etc?
Na ni procedures gani naweza kuzitumia kufanya kazi kwenye hizo tahasisi?
Karibu Kwa ushauri