Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Vijana wanakimbia porini wanataka kwenda Dar au na NECTA washahamia DomInawezekana. Cha msingi ni kufuata utaratibu wa utumishi ili kuhama kutoka Kwa Mkurugenzi wako (Muajiri) kwenda huko unapopahitaji baada ya kupata hiyo nafasi huko NACTVET/NECTA etc.
Acha wajaribu bahati yao.Vijana wanakimbia porini wanataka kwenda Dar au na NECTA washahamia Dom
But watanzania poleni yaani salary ya mwl ni 600k 😁
Unaweza kuwa hata Rais wa Tanzania. Achilia mbali kuwa Afisa wa Necta.Hello,
I hope mko poa.
Mie ni mwalimu wa masomo ya Sayansi nafundisha shule moja ya Secondary hapa mkoani.
Nimeajiliwa na serikali, 2 years ago. Sasa katika kutafuta changamoto mpya, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi uko ajira portal, lakini nkitaka kuomba mfumo unakataa Kwa sababu Nina placement letter tayari.
Swali langu ni je, inawezekana mwalimu aliyeko Tamisemi(halmashauri) kuhamia kwenye tahasisi za wizara ya elimu kama NECTA, TIE, NACTVET, etc?
Na ni procedures gani naweza kuzitumia kufanya kazi kwenye hizo tahasisi?
Karibu Kwa ushauri
Hajakutana na vacancy not budgeted au empyee deficity mfumo ni kikwazo cha uhamishoPOSSIBLE. Anzia unapoenda wakubali, kisha ongea vizuri na masupavisors wako. Then ndio anza mchakato wa ESS. Utumishi wenyewe hawana shida.
KAA KWA KUTULIA. WE SI ULIKULA PESA ZA UCHAGUZI?Hello,
I hope mko poa.
Mie ni mwalimu wa masomo ya Sayansi nafundisha shule moja ya Secondary hapa mkoani.
Nimeajiliwa na serikali, 2 years ago. Sasa katika kutafuta changamoto mpya, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi uko ajira portal, lakini nkitaka kuomba mfumo unakataa Kwa sababu Nina placement letter tayari.
Swali langu ni je, inawezekana mwalimu aliyeko Tamisemi(halmashauri) kuhamia kwenye tahasisi za wizara ya elimu kama NECTA, TIE, NACTVET, etc?
Na ni procedures gani naweza kuzitumia kufanya kazi kwenye hizo tahasisi?
Karibu Kwa ushauri
aisee kumbe inakuwa hivyo?Hajakutana na vacancy not budgeted au empyee deficity mfumo ni kikwazo cha uhamisho
Umempiga za usoKAA KWA KUTULIA. WE SI ULIKULA PESA ZA UCHAGUZI?