Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Ningependa kufahamu hivi inawezekana vipi mwanamke akiwa katika siku za hatari mimba isiwe kukamata au asipate mimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
50% ya matatizo ya wanawake kutokupata mimba inachangiwa na hali za wanaume pia kushindwa kuwapa wanawake ujauzito ( MNH 2021 report).Hili swala linachangiwa na mambo mengi mno hvyo uchunguzi na ushauri wa kitaalamu huhitajika.Wanaume siku hzi wana matatizo ya low sperm count pamoja na mbegu kutokuwa na ubora unaotakiwa.Zamani kabla ya sayansi kukua,watu walidhan wanawake pekee ndiyo wanaweza kuwa wagumba kumbe sivyo.Ningependa kufahamu hivi inawezekana vipi mwanamke akiwa katika siku za hatari mimba isiwe kukamata au asipate mimba
Kampime mke wako je kizazi chake kipo sawa?Mirija ya uzazi ipo sawa? Na Hormone zake zipo sawa?na Wewe ukapime je shahawa zako aka Sperm zako je zina nguvu ya kuweza kumzalisha Mwanamke?kisha lete jibu hapo.Ningependa kufahamu hivi inawezekana vipi mwanamke akiwa katika siku za hatari mimba isiwe kukamata au asipate mimba