Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

Utaratibu wao tofauti, uingereza kiongozi wa taasisi yao ya mpira ni mtoto wa mfalme ‘Prince William’ kama ni fainali atakuwepo.

Pili team zao za mpira zina safiri kwa mipango yao binafsi; na delegate ya FA itaenda na usafiri wake kama sio match ya taifa. Waziri wa michezo akitaka kwenda azuiwi na serikali itagharamia ni optional kwake.

Lakini sio ajabu mawaziri wa wizara zingine kama ni washabiki wa team husika wakaenda kwa gharama zao; serikali yao huwa aigharami wasiohusika.

Mpira na michezo mingine ni silaha muhimu sana kwenye kutengeneza nationalism sentiments. Binafsi naunga mkono alichofanya ‘Bi Tozo’ kwenye kutoa hamasa ya kuona mafanikio.
 
Hakuwa na sababu yoyote ya kupiga hela za walipa kodi kwenda safari ambayo hata asingeenda bado yanga ingecheza vizuri tu naona tu wako pale kujijenga kisiasa.
Lolote wangefanya mngekuja huku JF kulalamika hivyo wameona wafanye wanaloona linafaa kufanyika, kulialia wakikuachieni nyinyi.
 
Back
Top Bottom